Spika Ndugai: Bunge limebakiza vikao viwili tu kisha tunaagana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,889
141,823
Akifungua kikao cha leo cha bunge ambacho kimehudhuriwa na wabunge wachache sana, Spika Ndugai alianza kwa kucheka kisha akasema "tumebakiwa na vikao viwili tu kabla ya kuagana"

Mjadala unaendelea na sasa mbunge Mariam Ditopile ndio anachangia.

Source: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!
 
Walete walete tuwasurubu, kama walikula ya mbuzi wakaota mapembe sasa ni SAA za kuwangoa mapembe
 
Watu wamekimbia wakurudi watarudi na wengine ndio story yao inaishia hapa na ndio hivyo historia itawakumbuka kuwa waliwahi kuwa wabunge
 
Mkirudi Bunge lijalo jambo la kwanz sie wanyonge tunataka ni kumlazimisha Rais atake asitake atawale Milele

Roosevelt Rais wa zamani wa Marekan alipoivusha Nchi yake kwny zahma ya Great depression, kipengele cha mihula miwili kilisitishwa atawale zaid na ndio Rais alietawala kwa zaid ya mihula miwili Marekani

JPM katuvusha kwny Corona hadi waliodai kujiweka karantini wametoka kwa furaha na kushangilia kwa kulewa hadi kuvunja Miguu

JPM aondolewe kizingiti cha kikatiba atawale mpaka mwisho wa uhai wake atake asitake
 
Tunaomba tukapate wabunge wenye weledi, maarifa, busara na hekima ili tukapate spika bora wa viwango mwenye weledi na hekima tukaachane na bunge la mipasho na uswahili kama hili linaloisha sasa! EE Mola tusaidie.
 
Amina
 
Akifungua kikao cha leo cha bunge ambacho kimehudhuriwa na wabunge wachache sana, Spika Ndugai alianza kwa kucheka kisha akasema "tumebakiwa na vikao viwili tu kabla ya kuagana"

Mjadala unaendelea na sasa mbunge Mariam Ditopile ndio anachangia.

Source: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!
Roho inamuuma tuki anavyochukua kiti chake wakati huo yeye yuko utmraiani maana hata jimbo hapati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom