Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Bila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa.
Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti mbadala bila mkwamo hivyo wameshinda mtihani wa kuhujumiwa kwa miaka mitano na sasa Bunge linakwenda kuvunjwa na hata kama wako wataohama, bado hakuna kitachoiyumbisha CHADEMA.
Licha ya hujuma zote,CHADEMA iko kila mahali nchi hii kuanzia ngazi za vitongoji mpaka Taifa na iko imara katika ngazi zote kuanzia chini mpaka juu.
CHADEMA ni kama siti ya daladala,akitoka huyu anaingia mwingine tena kwa kuwahi faster asikose siti.
Poleni sana ila angalieni msife kwa frustrations baada ya kushindwa kutimiza azima yenu.
CHADEMA kwa watanzania ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa Mussa kwa wana wa Isreali.
Miaka mitano wanatwanga maji kwenye kinu na bado hawashituki!!!Sijui kama wako timamu!!
Aibuuu!!!!