Napenda kuwapongeza wabunge wa jamhuri la muungano wa Tanzania kupitia kambi kuu mbili za bunge, kwa kumaliza muhura wa takribani miaka mitano.
1:Hongera kwa kambi ya Chama tawala Yani wabunge wa CCM kwa kufumbia macho vitendo vya kinyama, uonevu na kikatili walivyokuwa wanafanyiwa watanzania...