Kongole wanaJF.......kutokana na spika kuwajibika kwa bunge na wananchi, ikiwa matamshi yake yalikiuka mwenendo, sheria na taratibu za bunge, shutuma hizo zilitakiwa kuibuliwa na bunge lenyewe na kama ni kuomba msamaha ndugai alitakiwa aombe huo msamaha kwa bunge au moja kwa moja kwa wananchi...
Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh...
Waungwana habari zenu.
Hapo mwishoni mwa mwaka 2021 na mwanzo wa 2022 nchi yetu imepita kwenye sekeseke la mvurugano wa mihimili mikuu miwili ya nchi yetu ambapo Bunge kwa kupitia Spika limeonekana kumshambulia Rais ambaye ni Executive kutokana na yanayodaiwa kwamba hatupaswi kukopa pesa ingali...
Kitendo cha Spika wa Bunge la JMT kuandika barua yenye utata ya kujiuzulu na kisha kujitokeza hadharani kutamka kumwomba radhi raisi Samia Hassan, kina maana kubwa.
Job Ndugai ametojitokeza ameomba radhi na kisha amejiuzulu na kuondoka.
Huyu Spika si yule marehemu Adam Sapi Mkwawa na wala si...
Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo...
1- Spika wa kwanza wa Bunge la Tanzania huru, Adam Sapi Mkwawa, aliyeongoza kwa takribani miongo mitatu - alikuwa na sifa kubwa mbili; kwanza alikuwa Chifu mwenye heshima kubwa kutoka katika kabila la Wahehe lakini pia akiwa na historia ya kuwa mmoja wa watu weusi wa kwanza kuingia bungeni...
Makala maalum toka maktaba ya JF:
https://www.jamiiforums.com/threads/hamuoni-inavyopendeza-rais-samia-akiwa-magogoni-na-dkt-mpango-akibaki-dodoma.1873766/#post-39142626
KURUDISHA UHURU WA MIHILIMI MITATU YA DOLA TANZANIA, KATIBA ITAMKE KILA MHIMILI UWE NA MAKAO YAKE KTK MIJI TOFAUTI
Dodoma...
Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea
Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo
Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa...
MAMA TUVUSHE, TUKUVUSHE
Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge. Bila ushabiki wala uzembe, tuangalie yafuatayo kwa makini:
1. Ukubwa wa CCM si mtaji, ni hatari. Bila upinzani imara, CCM ni sawa na chatu aliyefugwa ndani chungu cha mfinyanzi...
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
Kwanza nimpe pole Speaker mstaafu kwa yaliyompata. Na hili liwe funzo kwetu kuwa unapokuwa na madaraka usiumize upande mmoja huwezi kujua kesho itakuwaje. Kuna observation nimeipata kutokana na sakata la Ndugai.
1. Kwanza, inaonekana Bunge ni tasisi ya CCM ndio maana hata speaker kwenye barua...
Wana JF.
Giza Nene lenye bundi limemfunika bwana Jobo, kakutana na mabundi wasiokuwa na huruma. Haya yote ni matokeo ya kulazimisha kila kitu kiende kigizagiza kwa kukanyaga katiba. Mabundi furaha huwa wanategemea baada ya giza totolo watapata nini, kelele za atoke zilishamili sana bila...
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.
Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.
Matokeao yake unaweza...
Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais.
Pili ni mtu asiyeamini katika kazi za Rais Samia, Tulia hakuwahi kuvaa barakoa wala kuhamasisha chanjo hadharani sio ndani wala nje ya...
Wabunge walioingia mjengoni kwa Hisani ya mwendazake hawawezi kuwa na uchungu na wananchi wa majimbo yao wala nchi kwa ujumla. Na kwa maana hiyo hawawezi hata siku moja kukusaidia katika kuondoa umasikini Tanzania. Kila utalosema wao akili zao zote ziko Chato na zaidi wanachowaza ni mwaka 2025...
Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
Naomba kumnukuu Mh.Tundu Lissu katika hotuba yake kwa wananchi. Tundu Lissu anasema
.......Kwa hiyo jumla ya madeni ya mwaka huu peke yake ni takriban dola
bilioni 2.5, sawa na takriban shilingi trilioni 6.245. Zaidi ya watu
wachache tu serikalini, sio Bunge wala watanzania kwa ujumla wetu...
Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.