bunge

  1. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yabariki kusamehe kodi

    . Serikali imebariki hoja yake ya kuwatambua na kuwasamehe walipakodi mahiri, huku mbunge mwenye hoja kinzani akiendeleza msisitizo wake kwamba anaona ishara ya kasoro na kashfa. === Akizungumza bungeni jijini hapa jana, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, alisema serikali...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Taja Wabunge 10 bora katika Bunge la Bajeti 2022, waliobeba hoja nzito za Wananchi

    Bunge la Bajeti liko ukingoni kumalizika ni wabunge gani tunawapa nafasi kumi bora kwa kuwakilisha vema na kubeba hoja zenye maslahi mapana kwa taifa letu
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

    Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki. Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Bashe anaogopa Tume kuchunguza kashfa ya mbolea?

    Wana JF Wakulima tunataka kuona bei ya mbolea inashuka nchini, pia tunataka kuona mikakati ya Serikali ya kushusha bei ya mbolea lakini maelezo aliyoyatoa Waziri Bashe hayaleti unafuu wowote kwa wakulima. Tatizo la Bei ya mbolea kupanda haliwezi kumalizwa na ruzuku kwani ruzuku inayotolewa...
  5. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson simamia ubora wa bunge na michango yao Hii ni aibu nyingine

    Ni aibu nyingine imejitokeza bungeni kwa mbunge kuisimanga nchi jilani. Bahati mbaya anapoongozwa na Mbunge mwenzake haoni sababu ya kuona kosa lake. Lakini anapoonywa na Waziri, anakubali kurekebisha kosa. Kuna mambo matatu; Kwanza Mbunge hajitambui kabisa! Pili mbunge haoni sababu ya...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Bunge la Seneti la Marekani lapitisha Muswada wa Udhibiti wa Bunduki

    Bunge la Seneti limepitisha mswada wa udhibiti wa bunduki nchini humo, kwa kura 65 dhidi ya 33, kufuatia mfululizo wa matukio ya mauaji katika maeneo mbalimbali nchini humo kuhusishwa ununuzi na umiliki holela wa silaha Mswada huo utalazimika kupitishwa katika Baraza la Wawakilishi kabla ya...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Bunge nchini Ghana kuchunguza matumizi ya Trilioni 3.5 za COVID-19

    Wabunge wameidhinisha mpango wa kuchunguza matumizi ya Tsh. Trilioni 3.5 zilizotengwa kudhibiti kuenea kwa COVID19 na kuwaokoa raia dhidi ya athari za kiuchumi za janga hilo kufuatia madai ya kutofautiana kwa stakabadhi za malipo yaliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Ken Ofori-Atta...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Bunge kuendelea kuwakumbatia wabunge waliovuliwa uanachama wao na Chadema, kinaonyesha udhalilishaji wa mhimili wa Mahakama?

    Tulipokea taarifa jana kuwa Mahakama Kuu, chini ya Jaji John Mgeta, kuwa ameyatupilia mbali maombi ya wabunge 19, wakiongozwa na Halima Mdee, waliofungua shauri lao Katika Mahakama hiyo kupinga kuvuliwa uanachama wao na kilichokuwa chama chao cha Chadema. Ikumbukwe kuwa wabunge hao mwezi...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Warioba ipo tayari, tupate Katiba Mpya ndani ya mwaka huu tuwakatae wabunge vibogoyo na bunge lao lisilofaa

    Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa. Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi na huku wananchi wakiwa na maisha magumu. Hatusikii bunge likifanya kazi yake kama bunge ya...
  10. system hacker

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Ngorongoro, Spika Tulia ana bahati sana yupo kwenye Bunge ambalo halina wapinzani

    Imagine ishu ya ngorongoro; halafu ndani ya Bunge yupo: 1. Tundu Lissu 2. John Mnyika 3. Godbless Lema 4. Peter Msigwa 5. John Heche 6. Sugu 7. Freeman Mbowe 8. Ezekiel Wenje 9. Halima Mdee (enzi hizo akiwa Chadema) 10. Ester Bulaya (akiwa Chadema) Halafu, anakuwa na flanks toka kwa Ole...
  11. MtuHabari

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia VS Mbunge Lissu: Lingekuwa Bunge la aina yake

    Nimeona Spika Tulia akizinyanyasa hoja za wananchi zilizoletwa na Waitara kuhusu mauaji ya watu Tarime na ya Ole Sendeka kuhusu Loliondo. Kwa kutumia ujuzi wake wa sheria ameamua kutumia kiti chake cha uspika kuwa mtetezi wa serikali na kuwagaragaza wabunge hao waliokuja na hoja zenye nguvu...
  12. JF Member

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu anafananisha utendaji na ulipaji wa Serikali na Bunge

    Hii ya mwigulu kufananisha benefits na compasation za serikali zifanane na wabunge kwa maana ya ulipaji ila hataki kusema kiasi pia kilingane. Mfano.. Mwanasiasa anatembele jimbo tu, na nyingi ni private trip.. ukitaka wakadiliwe mafuta unawafanya waende tu kama unavyotaka wewe. Wabunge nao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni harufu ya ufisadi tu! Mikataba mikubwa ya trilioni ya pesa haiwekwi wazi na wala Bunge hatusikii likihusishwa. Tunaibiwa tushtuke kabla ya 2025

    Huwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu. Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge. Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Bunge limeahirishwa ili wabunge wakajifunze kuvaa na table manners?

  15. M

    JamiiForums Tanzania Tupate Katiba Mpya haraka ili tumfute kazi Rais Samia na Bunge kibogoyo la CCM

    Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa. Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu. Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja. Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa. Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Afisa Ugavi Daraja la II Bunge la Tanzania - 2 Posts

    POST AFISA UGAVI DARAJA LA II - 2 POST EMPLOYER Parliament of Tanzania APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (Schedule of Requirements); ii. Kuandaa utaratibu wa upokeaji wa vifaa...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge Daraja la II - 6 Posts

    EMPLOYER: Parliament of Tanzania APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekodiwa katika sauti; ii. Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge; iii. Kufanya uhariri wa awali wa nakala za...
  18. Dabil

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Bunge kina matangazo mengi yanayopoteza muda

    Bungeni kumekuwa na matangazo mengi na inasababisha muda wa maswali na majibu au kujibu hoja kuwa mdogo. Unaweza ukadhani ni kipindi cha michezo iliyojaa matangazo kila baada ya dk 3. Mfano utambulisho wa wageni usio na tija, wageni kama timu ya mpira kufanya vizuri kupongezwa ni sawa ila...
  19. R

    JamiiForums Tanzania 2025 ni Samia tena, ila kwa Bunge lenye wabunge hawa haitasaidia kitu

    Kuna kila sababu ya kuendelea na Rais SSH 2025, sababu ana mipango na miradi mingi ya kuikamilisha. Tatizo ni kwa hili Bunge halimsaidii sana mama Samia bado wana mawazo ya CCM ya zamani kwamba kitu kikishaletwa na Rais au Waziri ni cha kupitisha tu wengine hawajisumbui hata kufuatilia mijadala...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Bunge latengua kanuni kuruhusu Serengeti Girls kutinga mbele ya Bunge

    Leo Waziri ametoa ombi la kuvunja kanuni na kuruhusu timu ya Serengeti girls na viongozi wake kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge. Bunge limechukua hatua hiyo ili kuwapongeza baada ya kufuzu kushiriki michuano ya kombe la dunia kwa wanawake chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini India. Spika...
Back
Top Bottom