bunge

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Mitaala inayotengenezwa haimsaidii Mtanzania

    Katani Ahmed Katani (Mbunge wa Tandahimba) amesema Vyuo vinaendelea kutengeneza Mitaala na Kozi ambazo hata Mhitimu akienda 'Ajira Portal' hakutani na kitu alichosomea. Amesema, "Tunaendelea kutengeneza Mitaala ambayo haiendi kumsaidia Mtanzania" Amefafanua, "Tunaendelea kutumia Mitaala ya...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwanaisha Ulenge: Hakuna usawa katika upatikanaji wa Elimu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mwanaisha Ulenge amesema Tanzania haina usawa katika upatikanaji wa Elimu kwasababu ipo Mikoa ambayo bado ipo nyuma Kielimu, ikimaanisha kuna watu wataendelea kubaki nyuma kimaendeleo Amefafanua, "Wakati tunaenda kufanya Mapitio kwenye Sera ya Elimu, tufanye Tafiti kujua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la sasa ni la walalamikaji sio la viongozi!

    Wabunge wa bunge la sasa wengi ni walalamishi na washabiki badala ya kuwa viongozi. Sasa bei ya mafuta mnataka Rais afanyeje kama bunge lenyewe haliwezi kukata kodi. Kukata kodi inabidi mkate na budget! Sasa mnataka mishahara iongezeke, kodi ipunguzwe , miradi imalizike na Mama asikope sasa...
  4. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani atua Ukraine na aapa US kuisaidia Ukraine mpaka vita itakapoisha

    Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done' Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'Close The speaker of the US House of Representatives, Nancy Pelosi, has met the Ukrainian president, Volodymyr Zelensky, in Kyiv. Ms Pelosi said Ukraine was fighting for everyone's...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameliomba Bunge la Marekani kuidhinisha msaada wa ziada wa dola bilioni 33 kwa lengo la kuisaidia Ukraine wakati huu inapokabiliwa na uvamizi wa Urusi. Rais Biden amesema kuwa lengo sio kuishambulia Urusi bali kuisaidia Ukraine, ambapo msaada huo unahusisha dola...
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Salma Kikwete ataka Sheria ya Stahiki za wake wa Viongozi Wakuu

    Habari! Hii taarifa imenipata nikaona niilete kama ilivyo. My Take: Yani wanataka kila kitu serikali iwaandalie yani hadi Future yao kweli? Mbunge wa Mchinga (CCM), Salma Kikwete ameishauri Serikali kutengeneza utaratibu ama sheria ya kuwahakikishia stahiki zao wake na wenza wa viongozi wa...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei: Mchakato wa utoaji mikopo ya Halmashauri ufanyiwe tathmini

    Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Mchakato wa kulenga vikundi haufanyi kazi duniani kote akisisitiza, "Tutumie mbinu mpya kutoa mikopo hata kwa mtu mmoja mmoja. Kutoa kwa Vikundi inaleta ugumu katika uwajibikaji". Akichangia Mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Rais -...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Serikali iwekeze kwenye miradi yenye tija

    Tunza Malapo (Viti Maalum) amesema Mkoani Mtwara Soko la Chuno limejengwa kwa Bilioni 5.5 katika eneo ambalo ni tofauti na mwelekeo wa watu wengi akieleza, "Unaweza kujiuliza aliyependekeza Soko lijengwe kule alikuwa anawaza kitu gani? Maana yake ni Bilioni 5.5 zimelala pale hazina tija" Aidha...
  10. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna Mbunge hajui kama kuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025? Tulikosea 2020, tujisahihishe 2025

    Inashangaza, inasikitisha, inakera, inaumiza, inahuzunisha, Ikiwa Mbunge wa kuchaguliwa hajui kama nchi tuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Je mbunge huyu anajua kuwa kuna Ilani ya chama? aliombaje kura kwa Wananchi kama hajui chochote? je anajua yuko bungeni kwa kazi? akiwa kama Mwenyekiti...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uvivu wa wananchi na bunge ni vya kulaumiwa kwenye bei ya chakula

    Utamaduni wa uvivu ndiyo umesababisha tatizo kubwa la bei ya Chakula. Hakuna sababu ya Tanzania kuagiza mbolea, ngano, mafuta ya kupikia na sukari. Uvivu huu sio kwa Tanzania nzima lakini mikoa ya pwani, kati na mashariki inaongoza kwa uvivu. Vijana wanataka kukaa mijini tu bila shughuli wakati...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni mbunge Mpina pekee anayetumia ubunge wake ipasavyo, wabunge mliobaki naomba tujikumbushe majukumu ya Bunge la Tanzania

    Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake. Majukumu ya Bunge yametamkwa katika Ibara ya 63 (2) ya Katiba ya Nchi, kwa maneno yafuatayo: “Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania; wanatimiza wajibu wao kikatiba.

    Ninawaza kwa kina majibu sipati, hawa waheshimiwa wanatekeleza wajibu wao kikatiba kweli?. Ninaona wenzetu hawatangulizi masrahi ya taifa mbele badala yake wamejaa chuki binafisi, kujipendekeza na kulinda masrahi Yao binafisi.Ninamuangalia Luhaga mpina wa 2015-2020 si huyu wa 2021-2025.Musukuma...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Polepole washamjulia kelele zote ni njaa! Wakati wa jukwaa la Katiba akatupwa kwenye Bunge la Katiba, na Wakati wa kelele za "wahuni" katupwa Ubalozi

    Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke. Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba. Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo ataka Bunge liahirishwe, kujadili mfumuko wa bei

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo leo Ijumaa Aprili 8, 2022 ametoa hoja akitaka bunge liahirishe shughuli zake ili wabunge wajadili kwa kina kuhusu upandaji wa bei za bidhaa nchini ikiwemo vyakula na vifaa vya ujenzi.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

    Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai. Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Japhet Hasunga (Mbunge wa Vwawa): Tatizo la Ajira litakuwa bomu kubwa lisipowekewa mikakati

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema Vijana wengi wana wamesoma hadi ngazi ya Chuo na kupata Elimu lakini Ajira imekuwa changamoto. Akizungumza Bungeni amesisitiza hatua zisipochukuliwa, litakuja kuwa bomu kubwa. Amefafanua, "Serikali imesema itatoa Ajira zaidi ya 32,000 lakini hiyo itakuwa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Bunge baadhi zatenguliwa kutokana na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    KANUNI ZA BUNGE ZATENGULIWA KUPISHA MFUNGO Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua Kanuni kwa ajili ya kuruhusu Mfungo wa Mwezi wa Ramadhan ambapo mabadiliko hayo yataendelea hadi mwisho wa mfungo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, George Simbachawene amewasilisha hoja hiyo...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

    Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitaanza kurushwa live. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, Katibu wa Bunge. Ndg. Nenelwa Mwihambi. Nenelwa amesema baada ya maboresho ya Studio ya Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia vikao vya Bunge vitaanza kurushwa...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Eti Waziri Nape! Watanzania hawana shughuli za kufanya mpaka mnawarudishia Bunge 'Live'

    Mwaka 2016 wakati Waziri wa Habari na Utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na wengine wanajenga taifa hivyo wakaamua kutengeneza kupindi maalum usiku kuonesha 'Edited clips' za...
Back
Top Bottom