bunge

  1. Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Habari! Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea. Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutokana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha. Kuna taasisi hazifai kabisa...
  2. J

    EALA: Kinana na Shaka wawafunda Wabunge wa CCM walioapa, Mnyaa wa CUF ndani, ACT Wazalendo hawakubahatika CHADEMA walisusa

    WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ( EALA ) WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC. Viongozi...
  3. Bunge la Marekani linataka Urusi iondolewe kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Congress Wants to Boot Russia From U.N. Security Council The Biden administration is also interested in watering down Russia’s influence at the United Nations. By Jack Detsch, a Pentagon and national security reporter at Foreign Policy., and Amy Mackinnon, a national security and intelligence...
  4. B

    Uchaguzi wa Bunge la Wananchi CHADEMA

    15 December 2022 LIVE UCHAGUZI WA BUNGE LA WANANCHI CHADEMA Wagombea waelezea jinsi wanavyoweza kulitumikia Bunge la Wananchi la CHADEMA Source: ZAMAMPYA TV https://www.jamiiforums.com/threads/nimependa-concept-ya-chadema-ya-bunge-la-wananchi.1981876/ Katika hotuba yake Mwenyekiti wa...
  5. Jinsi ‘mikono’ ya Serikali ilivyotishia uhuru Bunge sintofahamu ya kujiuzulu Ndugai

    Spika wa Bunge, Job Ndugai anadaiwa huenda kujiuzulu kwake nafasi ya Spika alilazimishwa na hakujizulu kwa matakwa yake kama ilivyoripotiwa. "Mbali na mawazo hayo, kuliibuka kauli mitandaoni kwamba kiongozi huyo alijiuzulu kwa kulazishwa, jambo ambalo halikuthibitishwa wala kukanushwa"...
  6. Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

    Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU. Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
  7. Bunge la Peru lamuondoa Rais Madarakani huku Tanzania Mzee Makamba akichochea kuni moto uwake

    Bunge la nchini Peru limemuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamu wa Rais Dina Boluarte baada ya Rais huyo kufanya jaribio la kuvunja bunge la nchi hiyo Rais huyo alitangaza kutaka kulivunja bunge la nchi hiyo baada ya bunge kuanza mchakato wa kupiga...
  8. Indonesia: Bunge kupitisha Sheria, watakaofanya ngono kabla ya ndoa Kwenda jela

    Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja. Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo. Uchumba...
  9. Naibu Waziri na Waziri Makamba wajiuzulu. Ni kwa kulidanganya Bunge kuwa mgao utaisha Desemba 2022

    Nipo hapa home umeme umekata. Na hii ni Desembe 3. Mlisemea Kinyerezi 1 itakuwa imekamilika. Sasa mbona mmedanganya bunge? ==== Walichokisema November 2, 2022 Serikali imesema makali ya mgao wa umeme nchini yanaweza kupungua mwezi ujao wa Novemba baada ya kukamilika kwa miradi ya umeme...
  10. Senegal: Mbunge mwanaume asitisha hotuba aenda kumpiga mbunge mwanamke, Bunge likiwa ‘LIVE’

    Massata Samb aliyekuwa akitoa hotuba Bungeni alisitisha na Kwenda kumshambulia Amy Ndiaye Gniby kwa kumpiga kichwani, Gniby akajibu mapigo kwa kumrushia kiti Samb. Licha ya Wabunge wengine kuingilia kuwatuliza vurugu ziliendelea kwa wawili hao kuendelea kutupiana maneno na kutaka kushikana...
  11. China yaikabidhi Zimbabwe 'zawadi' ya jengo la Bunge

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya dola ambao China imelitoa kwa taifa hilo kama Zawadi China ilifadhili na kujenga jengo kubwa la Bunge...
  12. Tuanze kuwatoza kodi wafanyabiashara wanaofanya matangazo ya sauti kwenye maeneo ya biashara

    Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele. Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine. Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo? Ni wakati...
  13. Suala la umeme Tanzania ni uzembe wa Serikali

    Wanyamwezi tuna usemi "if it ain't broke, don't fix it." Tulikua tunaenda vizuri tu, umeme ukikatika hauendi muda mrefu unakua umerudi. Lakini tukaona hapana, tupindue meza. Kalemani kaa pembeni ili aje January. Makamba tungeweza kumuweka hata wizara ya mambo ya nje, lakini wapiii? Kalemani...
  14. Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuwaondoa kazini Maafisa wa IEBC waliokataa ushindi wa Rais Ruto

    Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
  15. Democrats wafanikiwa kutetea udhibiti wa Bunge la Seneti

    Democracts wamefanikiwa kupata viti 50 vya Wabunge huku chama anachotokea Donald Trump, Republican wakibaki na viti 49. Rais Joe Biden amesema amefurahishwa sana na matokeo hayo huku akiwataka Wabunge wa Republicans kufanya uamuzi wa kujua wao ni nani kwenye siasa za Marekani. Pamoja na...
  16. Ni kwanini Siku hizi 'Visitors Gallery' ya Bunge la Tanzania 'wanaalikwa' tu 'Watu' wa 'ovyo ovyo' Kifikra na Kiushawishi?

    Ipo Siku mtakuja Kuwaalika hata Wemdawazimu hapo kama hamtokuwa makini. Nimejaribu kuchunguza Wageni wanaoalikwa katika Mabunge ya Kenya Rwanda na Uganda na Kugundua Watu wanaoalikwa hapo si tu wamefanya nini ila je, wana Akili Vichwani mwao na wana Tija ya Kimaendeleo kwa Maisha ya Vizazi...
  17. KISASI: Trump apendekezwa kuwa spika wa bunge la Marekani,

    Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka. Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake...
  18. Bunge laazimia Serikali ianze ujenzi wa Bandari Bagamoyo je haya waliyazingatia wabunge?

    BUNGE limepitisha azimio la kuitaka Serikali iharakishe utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandarii ya Bagamoyo. Azimio la Bunge hili la Bunge kuhusu Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo limeazimia na Bunge lakini mradi haujawahi kuwepo. Azimio la Bunge kuagiza mradi huu utekelezwe haraka...
  19. Kamati ya Bunge PAC yapewa semina na Wizara ya Nishati baada ya azimio la Bunge kuhusu Symbion

    Siku moja baada ya Bunge kuazimia watumishi wa Wizara ya Nishati, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango na TANESCO walioshiriki katika mchakato mzima wa uingiaji, utekelezaji na uvunjaji wa mkataba kati ya TANESCO na Symbion uliosababishia Serikali hasara ya Bilioni...
  20. B

    Luhaga Mpina (mb), akichangia kuhusu taarifa za kamati za kudumu za bunge za PAC, LAAC na PIC

    1. UTANGULIZI Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya Mwaka 2008 inayofafanua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…