Bunge Laridhia Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,886
938

BUNGE LARIDHIA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI 2023/2024 YA TSH. BILIONI 295.9

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Bajeti hiyo iliyowasilishwa Mei 2, 2023 na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ilikuwa na jumla Shilingi Bilioni 292.5, ambapo sekta ya Mifugo fungu 99 ni Shilingi Bilioni 112.1 na Sekta ya Uvuvi fungu 64 ni Shilingi Bilioni 180.5, na Bunge baada ya kuijadili liliridhia kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo na matumizi mengine ya kawaida.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-05-04 at 15.56.18(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-04 at 15.56.18(1).jpeg
    41.1 KB · Views: 7
  • WhatsApp Image 2023-05-04 at 15.56.18.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-04 at 15.56.18.jpeg
    40.1 KB · Views: 7
Back
Top Bottom