"Vijana wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka zaidi ya milioni moja, wanaopata ajira ni asilimia 20 tu. Yaani hawapati ajira zaidi ya vijana 800,000.
Sasa ajira zenyewe nazo zinakuwa za Godfather, mpaka uwe na Godfather ndio upate ajira. Ukikosa Godfather ndio hivyo tena. Teuzi nazo zenyewe...