bunge

  1. Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji. Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze...
  2. R

    Bunge laidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa (NIS)

    Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imeidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Usalama wa Taifa (NIS). Haji atakula kiapo siku chache zijazo akichukua nafasi ya Philip Kameru ambaye anatarajiwa kustaafu baada ya kuwa madarakani NIS tangu Septemba 2014. Rais...
  3. Je, kuna haja ya kuwarudisha tena bungeni hawa wabunge wa Bunge la 12, 2025?

    Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakilishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10, 2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni. Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakilishi...
  4. Kwa mujibu wa Montevideo convention on statehood, Mkataba wa uwekezaji wa DP batili na Bunge letu lina mapungufu makubwa

    Sisi Kama taifa ni sehemu ya mkataba wa Montevideo on the rights and duties of statehood. Ndio maana hata Zanzibar kama sehemu ya JMT haina balozi UN au haiwezi kuingia mikataba na nchi zingine. Dubai sio state, je ina mamlaka ya kuingia mikataba na nchi zingine? Jibu ni hapana. Maana sio...
  5. M

    Prof Tibaijuka amhoji Spika. Ataka kujua Je Bunge ndo limeridhia Mkataba wa Bandari na imeisha hiyo au kuna maboresho yoyote katika mkataba wa msingi?

    Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
  6. Bunge Hili Batili Lizuiwe Kujadili Chochote Kinachohusu Rasilimali za Taifa

    Kila mtu anajua kabisa kuwa hawa waliopo Bungeni, ni wahalifu, hawakuchaguliwa na wapiga kura. Je, ni halali wahalifu wa kupora haki za wananchi za kuwachagua wawakilishi wao kupitia boksi la kura, kufanya maamuzi juu ya rasilimali za Taifa? Mwizi haachi asili yake. Hawa waliopo bungeni ni...
  7. Nyerere na Magufuli wanatoa machozi baada ya azimio la bunge kuibinafsisha bandari za Tanzania kwa nchi ya Dubai

    Hayati Rais Magufuli alinunua mitambo miwili kwa ajili ya bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni World first class yenye thamani ya trillion 3.2 na imefungwa juzi tu wakati ameshafariki,ajabu katika maelezo ya mkataba uliopitishwa na bunge,wanasema Dp World wataleta mitambo na kuendeleza bandari...
  8. Emergency call kwa wazarendo wa nchi yetu ambao hawajaridhia maazimio ya bunge la CCM.

    Pamoja na hawa watu kujimwambafy kwamba wamepitisha hili azimio ovu biggest majority wanaugulia maumivu .ombi langu kwa hawa wafuatao. 1. Naomba experts wa JF waandae petition kukataa haya maazimio ambayo in reality hayareflect maoni ya wananchi. 2. Ombi la pili naomba expert wa jf waandae...
  9. Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" kuhusu jambo lolote lenye maslahi makubwa kwa taifa letu liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii. Mada ya leo ni kuhusu makubaliano ya kiserikali, IGA ambapo Bunge letu tukufu, limeridhia...
  10. Kama Raia tafadhali naomba kujua hizo Sheria 12 za TISS zilizopitishwa Kimya Kimya na Bunge linaloendelea sasa

    Kuna moja hiyo nimeisikia na Kabambe sana ( japo nakataa Kuiamini nikijua TISS si Makatili na Wapuuzi ) hivyo nawatahadharisha wale Wenzangu na Mie Wapenda Kugombea Mbunye za Baa kuwa ukigundua tu unayegombea nae Mbunye ni wa Kitengo ( TISS ) mwachie tu hiyo Mbunye na tafuta nyingine kwani...
  11. F

    Bunge lasikiliza maoni ya Freeman Mbowe kupitia simu ya mkononi. Spika ataka mbunge aandae audio nzuri

    Mjadala wa kubinafsisha shughuli za bandari ya Dar es Salaam umepamba moto leo katika ukumbi wa bunge Dodoma. Baada ya wabunge wa CCM kumshutumu Freeman Mbowe kwa kauli yake juu ya nafasi ya wazanzibari kwenye ubinafsishaji wa bandari za Tanzania, spika Tulia Akson amelazimika kuruhusu clip...
  12. T

    Je, umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi?

    Unajuwa yapo mambo hili Taifa asipo tokea mtu kama Jerry Rolling wa Ghana kamwe hatuto toka hapa tulipo. Hivi umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi na kile kina endelea kwa sasa? Kiufupi bunge letu haliangalii aina ya mbunge ukiacha elimu yeyote mtu ako nayo na kujuwa...
  13. N

    Baada ya kufuatilia Bunge kwa kina, nimejiridhisha kuwa wabunge hawajui majukumu yao kama wawakilishi wa wananchi

    Kwanza na_declaire interest, Mimi sio msomi sana lakini nimeona haya na nimejiridhisha yafuatayo: -Nimejiridhisha wabunge HAWAJUI wanachojadili mezani ni MOU na sio mkataba. -Matumizi mabaya ya "taarifaaa" wakati mbunge akiwa anatoa hoja ama kufunguka. -Spika anaingilia sana mbunge...
  14. R

    Mbowe alipiga bunge tatu bila akiwa ughaibuni

    Hotuba na maelekezo ya Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP world. Naamini sasa Watanzania si lazima tuende Bungeni ndipo tuweze kulitetea Taifa; popote tulipo...
  15. Spika Tulia Ackson, ninakukumbusha kuwa siku inakuja aibu yako itakufunika

    Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea. Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali. Inasikitisha sana wewe Spika Tulia Aksoni umegeuka sehemu ya kuitetea serikali kwa nguvu zako zote. Umepoka nafasi ya Waziri mkuu...
  16. Jinsi nafuatilia bunge la kupitisha DP-World

  17. J

    Spika na Wabunge kumbukeni maneno haya ya Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge mnapokwenda kuuza Bandari

    Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge “Ewe MWENYEZI MUNGU Mtukufu, Muumba Mbingu naDunia, umeweka katika Dunia Serikali za Wanadamu naMabunge ya Mataifa ili haki yako itendeke. Twakuomba, uibariki nchi yetu idumishe uhuru, umoja, haki na amani, umjalie Rais wetu hekima, afya njema na maisha...
  18. S

    Tetesi: Bunge halitakuwa LIVE Juni 10 kupitia mkataba wa bandari

    Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa. Wabunge hao inasemekana...
  19. Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa, umewapa 'Kinga ya Jinai' Maafisa Usalama

    Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara hiyo. Jambo hili limezua mijadala maeneo tofauti watu wakiuliza Rais Samia anataka kuwatumia maafisa...
  20. Kuhusu Mkataba wa kukodisha Bandari: Ni Rais na Mwenyekiti wetu tu ndiye awezaye yote tuyatakayo

    Kwa mujibu wa Katiba na Sheria zetu zinazoliongoza Bunge, Rais ni sehemu ya Bunge. Kama Rais aliridhia (kwa kuusoma au kusomewa au kutafsiriwa mkataba wa kuikodisha Bandari yetu kwa DP Word) kusainiwa kwa mkataba huo, sehemu moja ya Bunge imeshaupitisha. Mnaelewa? Kichama, Rais ni Mwenyekiti wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…