Baada ya kufuatilia Bunge kwa kina, nimejiridhisha kuwa wabunge hawajui majukumu yao kama wawakilishi wa wananchi

ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,749
2,437
Kwanza na_declaire interest, Mimi sio msomi sana lakini nimeona haya na nimejiridhisha yafuatayo:

-Nimejiridhisha wabunge HAWAJUI wanachojadili mezani ni MOU na sio mkataba.

-Matumizi mabaya ya "taarifaaa" wakati mbunge akiwa anatoa hoja ama kufunguka.

-Spika anaingilia sana mbunge anapoongea, halindi muda wa mbunge aliyemuingilia . Spika angejikita kwenye KUONGOZA bunge na sio ku interrupt mtu anaeongea.

-Wabunge wanaiita Dubai ni nchi Yani hawajielewi kabisaaa

-Wamejikita kujibu hoja za wananchi kienyeji badala ya kuishauri serikali kipengele kwa kipengele na kutoa maoni ya nini kifanyike.

-Wananchi nao wanaogopa DP sababu tu ni waarabu.

-Wabunge wengi wanatoka nje ya hoja na wanajigonga na kusifu tu badala ya kuwawakilisha wananchi.

-Halima Mdee na Cecil Mwambie ni wabunge pekee waliojaribu kuishauri serikali ingawa waliopata upinzani mkubwa kutoka kwa spika.

-Nashindwa kuelewa kwanini mwanasheria nguli na spika wetu anaruhusu kina mwita Waitara na wenzake kutoka nje ya mada na kutupotezea mda wananchi badala ya kujikita kwenye swala la kuishauri serikali

-Nashindwa kuelewa hao wabunge wanaunga hoja zipi wakati wanatakiwa wajadili "MOU"

-Nalia machozi kabisa,,, kaaa spika anasema mjadala uishe sababu mwita ameshangiliwa sana na wabunge mpaka wamesimama, basi hamna haja ya kuendelea na mjadala huu na hoja imefungwa mkono.

Wabunge wazeni maslahi, usalama na ulinzi, wazeni mambo mengi na mumshauri mama yetu mh Rais na serikali yake vizuri. Wananchi tuna hoja na zinahitaji UFAFANUZI na kuna hoja za kufanyia kazi. Sisi sio vichaa.... Hivi ni LAZMA mwarabu ndo apewe??

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikufundishe jambo leo. Bunge liliwekwa tu ili kufuata utaratib wa muingereza kama kwao ili mzungu aridhike. But bunge halipo kwaajil ya kuisimamia serikali!! Never ever, reference zipo nying tu mikataba inapitishwa ya hovyo badae Taifa linaingia kweny madeni na hasara!
 
Mimi sijaelewa kabisa kabisa, Hao wanaounga hoja ya dipi kunyakua anatokea wapi kwa maana ya TZ au hapana. Na je wanakenua meno kufurahia ujambazi huu!!? Nilitegemea wote kwa pamoja twende kwa neno moja tu, la hapana haikubariki. Kama Yudas wapo humo basi tumshitakie Mola tuuu, kila aliye chukua kipande cha dhahabu au pesa basi na asikitumie yeye na KIZAZI chake hadi cha saba.
 
Kama taifa tumeshindwa pakubwa sana kuiendeleza nchi yetu.

UBINAFSI,ROHO MBAYA,CHUKI,WIZI na mengine mengi yamejaa kwa viongozi wetu.

Unashangaa unashangaa hoja ni bandari,lakini vinaongelewa vyama vya CCM na CHADEMA.

Hili litakuwa Bunge la hivyo sana katika historia ya Tanzania,tangu tupate Uhuru.
 
Wanajua vzr sana,shida ni mfumo wetu wa Sasa,ukienda kinyume na serikali,utashughulikiwa,na wabunge wengi ni njaa ndio inawaweka pale,wapo tayari hata kuuza mama zao ili mradi wasimkele mpangaji wa ikulu,
Ukitegemea wengi wanauhitaji ubunge maaana ndio ajira tamu na fulsa ya kutqjirika,wanaogopa uteuzi wa chama kwenye majimbo.

Anayeamua nani asimame Jimbo Fulani ni kenge wachache wa ccm,sas ha wa wajomba wa bungeni,hawapo tayari kupoteza hiyo nafasi,Bora nchi nzima iuzwe,hata makalio ya mama zao,lakini wabaki bungeni
 
Kama taifa tumeshindwa pakubwa sana kuiendeleza nchi yetu.

UBINAFSI,ROHO MBAYA,CHUKI,WIZI na mengine mengi yamejaa kwa viongozi wetu.

Unashangaa unashangaa hoja ni bandari,lakini vinaongelewa vyama vya CCM na CHADEMA.

Hili litakuwa Bunge la hivyo sana katika historia ya Tanzania,tangu tupate Uhuru.
Hawawezi kuongelea bandari,maana kuutetea uoongo ni kazi kubwa,nafsi zinawasuta,Sasa kwa zile dk walizopewa Bora uongee pumba TU iri mladi,maana yule mkaazi wa chamwino kutoka maykunduchi,alivyo na akili ndogo,atakuwa anacheka Cheka TU,
 
Kama taifa tumeshindwa pakubwa sana kuiendeleza nchi yetu.

UBINAFSI,ROHO MBAYA,CHUKI,WIZI na mengine mengi yamejaa kwa viongozi wetu.

Unashangaa unashangaa hoja ni bandari,lakini vinaongelewa vyama vya CCM na CHADEMA.

Hili litakuwa Bunge la hivyo sana katika historia ya Tanzania,tangu tupate Uhuru.
Wametoka nje ya mada na kuongelea mambo ya vyama, Hadi sauti ya mtu sio mbunge ikawekwa kwenye vipaza sauti vya bunge.... Spika angeekekeza mjadala kwenye MOU tuuu, washauri, watoe maoni, wasahihishe..... Ingesaidia pia wananchi kuelewa

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna (mbu.nge) mmoja katika kuisifia DP WORLD..kwamba wamewahi kupata tenda USA chini ya bush...kuna mbu.nge mwingne akam crush kwamba DP WORLD USA hawakupata tenda senate ilikaaa...nkajua kuna wabunge wa CCM wamelitisha azimio kwa uoga na hofu ya kuukosa ubunge...
 
Ngoja nikufundishe jambo leo. Bunge liliwekwa tu ili kufuata utaratib wa muingereza kama kwao ili mzungu aridhike. But bunge halipo kwaajil ya kuisimamia serikali!! Never ever, reference zipo nying tu mikataba inapitishwa ya hovyo badae Taifa linaingia kweny madeni na hasara!

If that is the case the how comes current bunge la waingereza like very active ? Not sitting ducks kama hawa ha hapa
 
Ngoja nikufundishe jambo leo. Bunge liliwekwa tu ili kufuata utaratib wa muingereza kama kwao ili mzungu aridhike. But bunge halipo kwaajil ya kuisimamia serikali!! Never ever, reference zipo nying tu mikataba inapitishwa ya hovyo badae Taifa linaingia kweny madeni na hasara!
Sawasawa 💯
 
Kwanza na_declaire interest, Mimi sio msomi sana lakini nimeona haya na nimejiridhisha yafuatayo:

-Nimejiridhisha wabunge HAWAJUI wanachojadili mezani ni MOU na sio mkataba.

-Matumizi mabaya ya "taarifaaa" wakati mbunge akiwa anatoa hoja ama kufunguka.

-Spika anaingilia sana mbunge anapoongea, halindi muda wa mbunge aliyemuingilia . Spika angejikita kwenye KUONGOZA bunge na sio ku interrupt mtu anaeongea.

-Wabunge wanaiita Dubai ni nchi Yani hawajielewi kabisaaa

-Wamejikita kujibu hoja za wananchi kienyeji badala ya kuishauri serikali kipengele kwa kipengele na kutoa maoni ya nini kifanyike.

-Wananchi nao wanaogopa DP sababu tu ni waarabu.

-Wabunge wengi wanatoka nje ya hoja na wanajigonga na kusifu tu badala ya kuwawakilisha wananchi.

-Halima Mdee na Cecil Mwambie ni wabunge pekee waliojaribu kuishauri serikali ingawa waliopata upinzani mkubwa kutoka kwa spika.

-Nashindwa kuelewa kwanini mwanasheria nguli na spika wetu anaruhusu kina mwita Waitara na wenzake kutoka nje ya mada na kutupotezea mda wananchi badala ya kujikita kwenye swala la kuishauri serikali

-Nashindwa kuelewa hao wabunge wanaunga hoja zipi wakati wanatakiwa wajadili "MOU"

-Nalia machozi kabisa,,, kaaa spika anasema mjadala uishe sababu mwita ameshangiliwa sana na wabunge mpaka wamesimama, basi hamna haja ya kuendelea na mjadala huu na hoja imefungwa mkono.

Wabunge wazeni maslahi, usalama na ulinzi, wazeni mambo mengi na mumshauri mama yetu mh Rais na serikali yake vizuri. Wananchi tuna hoja na zinahitaji UFAFANUZI na kuna hoja za kufanyia kazi. Sisi sio vichaa.... Hivi ni LAZMA mwarabu ndo apewe??

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Nasisitiza Tena, wabunge eti wanaiita na kuitambua Dubai kama nchi, wabunge hawana uwelewa Dubai sio nchi, Sasa ni wabunge gani Hawa??? Wanaridhia nchi ya jamhuri ya muungano kuingia mkataba na mji kivipi?? DUBAI SIO NCHI, DUBAI NI SEHEMU YA U.A.E, KISHERIA NA KIMATAIFA DUBAI HAIWEZI KUINGIA MKATABA WOWOTE NA NCHI. YANI DARESALAM IFANYE CONTRACT NA NCHI YA KENYA, ULIONA WAPI????

Back
Top Bottom