bunge

  1. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa Kumi na Tisa, Kikao cha 49, Juni 19, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, leo Juni 19, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Wakati huo huo...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Hii Ajari Imetokea Ila Kuna Ukimya, Gari ya Nani Hii?

  3. JamiiForums Tanzania Wajibu wa Mihimili ni Katiba: Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana!. Je Bunge Lifanye Minimum Reforms Kabla Kuvunjwa Au ?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo nikijkita kwenye kumpongeza Spika wa Bunge, Dr Tulia Akson kwa kukumbushia majukumu na wajibu wa mihimili ni kwa Katiba ya JMT : Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana na sio kwa mihimili kujinyenyekeza kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa, Kikao Cha 48, 18 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=U14SZR1OTYg&pp=ygUFYnVuZ2XSBwkJ3gkBhyohjO8%3D Serikali imesema itaendelea kuwalea na kuwapatia matunzo wazee wasiojiweza ambao hawana familia na ndugu wa kuwatunza kupitia makazi ya wazee na wasiojiweza 13 inayoyamiliki. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa...
  5. JamiiForums Tanzania BUNGE LIWEKE KANUNI-Mchango wa Mbunge utokane na vikao halali vya wananchi ngazi ya chini

    Ni ukweli usiopingika kuwa mawazo na maoni halali yanayotolewa kupitia mfumo halali wa kukusanya maoni na mapendekezo ya wananchi kupitia mikutano yao ya vijiji,kata na mabaraza ya madiwani hayapati fursa stahiki kulifikia bunge kupitia wawakilishi hawa wa wananchi. Badala yake bungeni...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kuijadili Tanzania siyo jambo la afya!

    Sikiliza hapa wanajadili kesi za Tundu Lissu. https://twitter.com/EduTalkTz/status/1934829754852491305?t=TiZp-zvXELlD5i62LV7I2Q&s=19
  7. JamiiForums Tanzania BUNGE LA 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 47, Juni 17, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Ta0IRczlVrg
  8. JamiiForums Tanzania Bunge halitungi Sheria

    Kama nitakua nimekosea mtanielewesha, maana ninachofahamu mimi ni kwamba; Bunge linapelekewa Mswada wa sheria, kisha wabunge wanajadili na baadae kupitisha Mswada ili ukasainiwe na Rais, na sio kwamba Bunge ndio linauandaa huo Mswada wa sheria. Kwa sababu huwa naona Mswada hupelekwa Bungeni...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 46, Juni 16, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 16, 2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti itawasilisha taarifa ya Kamati hiyo kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa...
  10. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wahofia uwezo wa Bunge la 12 kuwakilisha wananchi, tuzo kwa Rais Samia yazua mjadala

    Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson likielekea ukiongoni kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kumekuwa na maoni ya kupwaya kwa Bunge hilo kwa kushindwa kufikia malengo ya Wananchi wanaowakilishwa zikiwamo changamoto za utawala bora, uchumi na kijamii. Hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Je, bunge litatii amri hii ya mahakama ya rufani?

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa na mtetezi wa haki za binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rufaa hiyo ilisikilizwa mbele ya jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Waziri Mwigulu kusoma Bajeti ya 25/26 njoo utuambie kama ni 'No Reforms, No Election' au 'October Tunatiki'

    Wakuu, Bajeti kuu ya serikali Mwaka 2025/2026 inawasilishwa leo Bungeni na Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba, ikieleza mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti mwaka 2024/2025 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 leo Juni 12, bungeni Dodoma
  13. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 45 Juni 12, 2025 Dodoma

    Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa? Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
  14. JamiiForums Tanzania Burundi: CNDD-FDD kuongoza Bunge bila mpinzani

    Kwa mjibu wa taarifa za awali, uchaguzi wa tarehe 5 Juni, 2025, unaiacha CNDD-FDD katika nafasi ya kuwa na wabunge wote wanaohitajika bungeni. Kwa mjibu wa katiba ya Burundi, vyama vya siasa, vinahitaji angalau 2% ya kula zote, na mpaka sasa hakuna chama kilichofanikiwa kupata kura hizo. Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Bunge letu ni kama Mbunga ya wanyama. Waliomba saluti, wakaomba hadhi ya VIP kwa wenza wao, sasa namba za magari

    Ndani ya mbuga ya wanyama, kila mtu ana ombi la kumfanya aishi bila kujali mwenzake. Hawa wabunge waliwahi kuomba wapigiwe saluti, ikashindikana. Karibuni kuna mbunge aliomba wenza wao pia wapewe hadhi ya VIP, ikapita kimya. Sasa kuna mwingine ameomba namba pekee za magari kwa wabunge. Soma...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 11 Juni 11, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 11 Juni 11, 2025 ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO I. Dua II. Hati za kuwasilisha mezani III. Maswali IV. Hoja za Kamati https://www.youtube.com/watch?v=Q31sbspK74k
  17. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  18. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa alishukuru Bunge kwa kupambana na watu wa nje wasioitakia mema nchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa amemshukuru Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Ackson kwa kuwa Bunge lake limesimama na Serikali dhidi ya watu kutoka nje ya nchi wasiokuwa na nia njema na nchi. Bashungwa amesema hayo leo Juni 9, 2025 wakati akimkaribisha Rais Samia...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa Kikao Cha 42. 09 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  20. E

    JamiiForums Tanzania TanzaGIZA Serikali mfu kuanzia BUNGE mpaka VYUO VIKUU

    kwema ndugu zangu wa kitanzania Hivi serikali imeshindwa kabisa kuendesha mwendokasi Hivi Tanzania nzima hakuna kichwa/mtu wa kuweza kusimamia mwendokasi Hivi UDSM inazalisha wasomi kweli au ni chuo cha siasa, yaani Chuo cha TAIFA kimeshindwa kutoa akili moja ya kusimamia Mwendokasi Hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…