bunge

  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Bunge la JMT lina hata alau Wabunge 5?

    Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5? Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu: 1. Jumanne Kishimba! 2. Josephath Gwajima! 3. Luhaga Mpina! Hao tu ndiyo Wabunge waliopo kwa sasa bungeni?
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la Mei 26, 2025: Wizara ya Mambo ya Ndani yaomba zaidi ya Trilioni 2/- kwa Bajeti ya Mwaka 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=cRKUyHuLjzA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, leo tarehe 26 Mei...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo na Uvuvi yaomba TSh 476.6 bilioni Bungeni, kamati yalilia fedha za maendeleo

    https://www.youtube.com/watch?v=Tmd7KodcC68 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025 / 2026 jijini Dodoma leo Mei 23, 2025. Dk Ashatu ameliomba Bunge lipitishe bajeti ya Sh476.6 bilioni yenye vipaumbele vinne ambapo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 30, Mei 22, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=XOU1mTLJLdw
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo yaomba kuidhinishiwa Bajeti ya TSh Tril. 1.24 kwa Mwaka wa Fedha 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=sOC6TgEjbr8 Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwasilisha Bajeti ya mwaka 2025/26 amesema; "Ukuaji wa Sekta ya Kilimo umeongezeka kutoka asilimia 2.6 mwaka 2021 hadi asilimia 4.2 mwaka 2023. Aidha, ukuaji wa Sekta ya Kilimo unatarajiwa kufikia asilimia 5 mwaka...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  7. meningitis

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya# hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina. mfano: 1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya. 2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii yaomba Bunge kuidhinishia Shilingi Bilioni 359.9 kwa mpango wa 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=fWPUrKEGauY Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 359.9 ili iweze kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka 2025-2026. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana Wakati akiwasilisha hotuba kuhusu...
  9. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kabisa Rais hafahamu chochote kuhusu haya ya utekeaji? Hiki ni kipimo kizuri

    Wakuu, Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake. Nadhani kuna mambo kadhaa anayoweza kuyafafanya kama ni kweli hafahamu chochote kuhusu yanayoendelea na...
  10. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge wa bunge la Tanzania, 1965-2025. ( Na Mawaziri)

    Tafadhali angalia wawakilishi na viongozi wa Tanzania. Kuna viashiria vya urithi katika siasa.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mawasiliano yaomba kuidhinishiwa Shilingi Bilioni 291.5 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo, Mei 16, 2025, jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inawasilishwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=eGdtJa7p75I "Sekta ya Mawasiliano na TEHAMA imekua kwa...
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Je, Nchi za Ulaya zimepuuza Bunge la EU?: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba muhimu

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa nchi kwa kuvutia uwekezaji wa kimataifa na utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Viwanda na Biashara 2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=z6ar2o298sA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 jijini Dodoma leo Mei 14, 2025. Wabunge wanachangia mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara hiyo iliyoomba...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 23, leo Mei 13, 2025

    https://www.youtube.com/live/WU3d6tBkzxg
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri awasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa Mwaka 2025/26

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Mei 12, 2025 Jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inasomwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=0TXxs_4iZg0 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha ombi...
  16. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Huyu Katrina, anaiwakilisha nchi gani kwenye bunge la umoja wa ulaya?

    Huyu bidada kwenye debate ya Tundu Lissu kwenye bunge la umoja wa ulaya, ndo Mbunge aliyepiga spana aswaa. Alienda mbali na kusema misaada ya umoja wa ulaya Kwa Tanzania ije na masharti ya ukuaji na kulinda demokrasia na haki za binadamu. Aliingea mengi ila mwisho alisema watanzania wanaoteswa...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

    Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi. Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi?? Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Bunge la Tanzania limekimbia majukumu yake ndio maana Bunge la Ulaya linatujadili

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi. Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
  19. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

    Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo: 1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba? 2. Kwa kutumia...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Serikali yetu kuhusu azimio la bunge la EU. Mila na desturi za Tanzania ni zipi? Hatukubaliani na Mila potofu kama utekaji, uuaji na umungu

    MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
Back
Top Bottom