boss

  1. F

    Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

    Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao...
  2. Ukiwa boss, usilewe na suti. Kesho ni jana ya keshokutwa yenye majuto na gharika

    Siku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini. Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala yake, nitawaongoza kwa kuhamasisha na kusikiliza. Siku nikiwa boss, nitajenga mazingira ya kazi...
  3. P

    Kumekuchaaa, watacheza, boss kakimbilia USA, apewa onyo!

    Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende. Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi akili! Yanga wamekubali kupeleka na kuingiza timu uwanjani huku wakifanya maandalizi ya mechi nje...
  4. K

    Rais Samia na Mwigulu mchemba nani boss wa mwenzake?

    Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana, maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea...
  5. B

    Boss wako hawezi kufurahia unapomzidi mafanikio

    Leo katika pita pita zangu wakuu nikaenda, kuna boss(HR) mmoja wa Rafiki angu akaniagiza nimletee vifaa vya umeme, Basi katika kuniharakisha Ikabidi niazime gari kwa mwana niwahishe vifaa vile, kufika tu napaki chuma nashangaa, Eti huyo boss wa anasema Yani hujaajiriwa na umeshaanza kuendesha...
  6. Abbas Tarimba, wewe uko tayari mtoto wako afe badala ya mtoto wa boss wako?

    "Mtu anatolea mfano mtoto kipenzi wa rais et akitobolewa macho itakuwaje? Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu anajua uchungu wa kulea kweli? Nashauri chama changu kimuite kamati ya maadili achukuliwe hatua hatuwezi kuwa na mtu ana kadi ya chama halafu anatusumbua"_kauli ya mbunge wa jimbo la...
  7. A

    Naomba Kazi ya udereva boss Dar es salaam.

    Habari zetu wakubwa. Mimi nipo Naishi Dar es salaam. Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka. Naweza kuendesha Manual na Automatic. Lessen yangu ni daraja A,D,E na nilipita VETA yaani cheni cha udereva ninacho lakini ni basic driving. Nilijiunga mafunzo...
  8. Kataa kufanya kazi na boss was namba hii

    Watanzania wengi maisha yetu hatuishi kwa kujiajili wengi tumeajiliwa na waajili Lakini katika kuajiliwa huko wapo ambao wameajiliwa na watu sahihi lakini wapo ambao wameajiliwa na watu wasio sahihi Sasa Basi Kuna watu hawafai kabisa kufanya kazi chini yao labda uwe hauna jinsi naa hata Kama...
  9. Ofisini mkiwa na boss anayependa bata mnapata hela

    Ukweli ndo upo hivyo mkiwa ofisini au kwenye duka au popote unapopatia maokoto mkiwa na boss mjanja, akiishiwa anaumiza akili mfanye nini mpite wapi mpate pesa. Ila mkiwa na mkuu ambaye mkoloni mla ugali wa muhogo na dagaa daily ambaye mshahara wa mwezi uliopita bado anao na posho ya week...
  10. G

    Ajali ya boss wa TANESCO najiuliza haya

    Ajali ilitokea usiku wa manane, dereva na abiria wakafa hapohapo. Tunaambiwa dereva alikuwa anamkwepa mwendesha baiskeli. Je nani alimuona huyo mwendesha baiskeli? Huyo aliyemuona alikuwa wapi? Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia Je...
  11. M

    Nauza Water Pump Ya Boss Brand New

    Pampu ni Ya Inchi 3 Haijawahi kutumika nilinunua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji lakini mipango ya kilimo haikwenda sawa. Pampu haijatumika kabisa. Bei 200000/= Location: Ubungo-Dar Es Salaam 0779080365
  12. Kipi kitatokea nikiagiza Henessy mbele ya Boss mlipa bill aliyeagiza K Vant?

    Does everyone in your team EAT ?! Au Boss tu ndio anafaidi..?! Kwenye timu yako kila mtu ana uhuru wa ku-order anachotaka au wanasoma upepo wa Boss kubwa kwanza; kama anapiga K-vant basi hawa agizi Hennessy wanasema “naomba konyagi ndogo” au “na mimi K-Vant” Kila mtu akiwa ana nufaika kwa namna...
  13. K

    Kuna boss wangu wa zamani aliwahi kunifukuza kazi, leo kanicheck kuniomba connection

    Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana. Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss...
  14. Kwa boss 300,000/= na mafuta 280,000/=

    Hizo Tata za chanika na ruti mbali mbali mkiziona tata hiyo ndo hesabu Hii hesabu naiona ni kubwa na kwa maoni yangu ni ya kinyonyaji na hii inafanya dereva alale late aamke mshale na pia inachangia mwendo kasi sana kwa haya ma TATA kama mnakumbuka kuna lile lilidondoka juu kwenye fly over
  15. Mwanaume mdada akikuita "Boss" Kimbia mbio nyingi saanaa

    Hapo umeelekezwa kibra. Ni tumsalie sala ya mwisho tu. Uzi tayari.
  16. Mali za Zari The Boss Lady hatarini kupigwa mnada. Anashtakiwa na SARS kwa kukwepa kodi ya TSh. Milioni 729

    Mamlaka ya Mapato ya Afrika Kusini (SARS) imechukua hatua za kisheria dhidi ya reality TV star na mfanyabiashara Zarinah Hassan, kwa kukwepa kulipa kodi takriban TSh. milioni 729. Kutokana na deni hilo, mali zake zinadaiwa kuwa hatarini kupigwa mnada ili kufidia deni hilo. Hata hivyo, Zari...
  17. Tetesi: CRDB anzeni mchakato wa Boss mpya pia Dr Madelu jiandae kisaikolojia!

    1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. 2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo kifuatacho kuna ingizo jipya pale HAZINA/Moyo wa nchi ulipo 3. Wizara ya Fedha inataka mtu mnyoofu na mweledi...
  18. Usingomaza unaongezeka kwa maana wadada hawataki tena kutii mabwana zao ila wakienda makazini hata boss akimtuma maji ya kunywa anasema "yes sir"

    Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha. Tatizo kuwa hamtaki tena role ya "traditional woman" iliozoeleka katika mapenzi, mnataka mapenzi ya instagram, ukweli ni kuwa mwanaume...
  19. Kama waziri hapati nafasi kuonana na boss wake unaweza kupata picha nia,dhamira na utendaji kazi wa ufalme huu

    Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi. Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…