bosi

Bósa saga ok Herrauds or Saga of Bósi and Herraud is a legendary saga written around 1300, whose earliest copies are preserved in three 15th-century manuscripts, relating the fantastic adventures of the two companions Herraud (Old Norse Herrauðr) and Bósi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni maajabu, Frank Kanyusi kurejeshwa kuwa bosi RITA

    Mapema mwezi wa saba mwaka huu Rais Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho BRELA ilikuwa inanuka rushwa, kipindi ambacho watu wengi walidhulumiwa kampuni au shares kwenye makampuni mbali...
  2. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Bosi wa bahari barbershop nakufikishia haya malalamiko

    Bosi mwenye saluni inayoitwa bahari popote ulipo nakufikishia haya malalamiko, Mimi ni mteja hapo saluni kwako tokea 2017 mpaka Sasa hata nikienda mikoani nikirudi huwa nakuja kupata huduma hapo huduma ni nzuri Ila kero yangu ni kwa baadhi ya vinyozi wako wanaomba Sana hela yaan najikuta...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kuna mwalimu mkuu mmoja yupo njiani muda huu, anaenda kwa bosi kujieleza kwanini hawakufundisha Jumamosi hii

    Ndo hivyo jamani! Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi. Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Lebahati (35-37) anatuhumiwa kumtorosha mtoto wa kiume wa bosi wake na kwenda kuishi naye kinyumba kwa miezi mitano mfululizo huku akimlawiti. Kijana huyo aliyekuwa anafanya kazi ya kuchunga mifugo kwa bosi wake Simioni Abel huko wilayani Moshi mkoani...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bosi wa kiwanda cha A to Z Arusha anawadhalilisha na kuwakandamiza Watanzania

    Merchandising executive kwa jina la Perumal aliyepo kiwanda cha A to Z katika kampuni ya Red Earth amekuwa na tabia endelevu ya kuwatukana, kuwabagua, kuwadhalilisha na kuwaonea watanzania wanaofanya kazi katika ofisi ya merchandising kiwandani hapo. Malalamiko hayo yalipelekwa kwa uongozi wa...
  6. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Wagner atangaza hatua kuu 'kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi'

    Kundi hilo linafanya kazi kuifanya Afrika kuwa "huru zaidi," Evgeny Prigozhin alisema katika video ambayo inaonekana ilirekodiwa katika bara hilo. Kampuni ya binafsi ya kijeshi ya Wagner inaendelea kuajiri na inafanya kazi kwa bidii "kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi," mkuu wa kundi hilo, Evgeny...
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Bosi anasemaje kuhusu mkasa huu wa kukamatwa Askari wake?

    Nauliza kama boss ana taarifa, au habari inayohusu kamata kamata ya askari wake? Kama anayo taarifa, je amechukua hatua gani kuwasaidia, au ukishamlipa mtu akufanyie kazi basi litakalompata huko mbeleni ni juu yake? Au askari wake wamevuka mipaka ya kile alichowaagiza, kwa kuanza kumshambulia...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zanini, mwanamke anayefanya kazi za ndani miaka 20 kwa Bosi mmoja

    Mara kadhaa kumeripotiwa matukio ya kikatili yanayodaiwa kufanywa na wafanyakazi wa ndani, ikiwamo kuwaua au kuwapiga watoto wa mabosi zao wakati wazazi husika wakiwa hawapo nyumbani, Hali hiyo imesababisha kujenga uadui kati ya wafanyakazi wa ndani na waajiri. Hatua hiyo, imesababisha wenye...
  9. Liu Yun

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu huwa hataki nimpigie simu wala SmS bosi wake wa kiume akiwepo

    Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini. Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo kuwepo akawepo wa kiume huwa hataki tuchati wala kupigiana simu (Hasa usiku) , akidai hataki boss...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapate shida ya mafuta lakini viongozi husika wanazidi kuneemeka

    Wananchi wanapata tabu kubwa kwenye suala la mafuta lakini familia za kina Makamba, Tulia na mumewe Bosi wa Ewura ziendelee kuneemeka huku Watanzania wakiteseka kwenye nchi yao. Nimeona huko Kiteto mafuta lita Tsh. 5,000 wao wanaona sawa tu. Ili mradi waendelee kubaki kwenye nafasi zao. Nchi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bosi wa zamani wa UDA ashtakiwa kwa kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. Bilioni 14

    Ni Mfanyabiashara Simon Masumbuko Bulenganija aliyefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akikabiliwa na mashtaka 3 ambayo ni Kughushi, Kutakatisha Fedha Haramu na Kuisababishia Serikali Hasara ya Tsh. 14,088,983,873. Katika Shtaka la Kughushi, Oktoba 1, 20211 Simon anadaiwa...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

    Zuhura Ramadhani ambaye ni dada wa kazi za ndani amemshitaki mwajiri wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali za Mtaa wa Mpiji Magoe Jijini Dar es Salaam akidai kutolipwa mshahara wake kwa muda wa miaka mitano. Akisimulia kilichotokea Zuhura ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 30 anasema...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

    Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati. Wabunge mko bungeni kwa ajili ya...
  14. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Bosi TRA anavyoitafuna nchi

    Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Houseboy' ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua bosi wake

    Arusha. Mfanyakazi wa ndani wa kiume (house boy), Ismail Sang'wa (28), amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua kwa kumkata shingo na panga aliyekuwa mwajiri wake Emily Kisamo (52) Kisamo alikuwa Ofisa wa Intelijensia wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (Tanapa). Hukumu hiyo...
  17. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Mtu na bosi wake wakibadilishana mawazo...

  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

    Kuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa. Yule mzee majirani zake waliuza vile viwanja kwa mamilioni kadhaa cha chini ilikuwa bilioni moja Ghafla afya ya yule mzee ikaanza...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

    CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota. Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14. Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lucia Pande ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Mtendaji Red Cross Tanzania

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) chini ya Mwenyekiti wake David Kihenzile, imemteua Lucia Pande kuwa Katibu Mtendaji wa shirika hilo. Awali, Lucia alikua Makamu wa Rais wa shirika hilo. Taarifa iliyotolewa ya Januari 8, 2023 inasema kuwa uteuzi wa...
Back
Top Bottom