Asilimia 95 ya wafanyakazi wasema wataacha kazi endapo bosi aliyefukuzwa asiporudishwa!

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,832
Zaidi ya wafanyakazi 738 kati 770 sawa na 95% wa kampuni maarufu zaidi duniani ya akili bandia ya OpenAI inayoendesha mfumo wa ChatGPT wamesema watajiondoa kazini na kujiunga na Microsoft endapo bosi wao mkuu aliyeondolewa, Sam Altman asiporudishwa kazini.

Sam Altman ambae pia ni mwanzilishi mwenza wa kampuni hiyo aliondolewa na bodi ya wakurugenzi wakidai hawana imani na uwezo wake wa kuendelea kuiongoza OpenaAI.

Altman Satya.jpg
 
Hakuna punguani hata mmja anaweza acha kazi kisa mtu fulani
 
Back
Top Bottom