Bosi wa zamani wa UDA ashtakiwa kwa kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. Bilioni 14

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1687345876844.png
Ni Mfanyabiashara Simon Masumbuko Bulenganija aliyefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akikabiliwa na mashtaka 3 ambayo ni Kughushi, Kutakatisha Fedha Haramu na Kuisababishia Serikali Hasara ya Tsh. 14,088,983,873.

Katika Shtaka la Kughushi, Oktoba 1, 20211 Simon anadaiwa kutengeneza nyaraka za uongo kuonesha Mkataba wa kukodisha kiwanja kati ya UDA na kampuni ya Simon Group Limited kwa Tsh. Milioni 400 kwa mwaka kwa miaka 10.

Shtaka la pili na tatu la Utakatishaji Fedha na Kusababisha Hasara, mshtakiwa huyo kwa tarehe tofauti kati ya Mei 1, 2011 na Desemba 31, 2018 jijini Dar es Salaam, anadaiwa kujipatia Tsh. Bilioni 14 kutoka UDA kwa njia za udanganyifu.

Hakimu aliahirisha Kesi hadi Juni 28, 2023 baada ya Jamhuri kueleza kuwa ushahidi haujakamilika na Mshtakiwa amerudishwa Rumande kwasababu Makosa ya Uhujumu Uchumi yanayomkabili hayana Dhamana

Pia soma > Mwamba Mahakamani kwa kughushi mkataba wa kukodisha eneo la UDA na kuisababishia hasara ya Tsh bilioni 14

===========

Former Executive Director of Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) Limited, Simon Bulenganija has been taken to the Kisutu Resident Magistrate's Court, facing three charges of forgery, money laundering and occasioning a loss of Sh14 billion to the corporation.

Bulenganija is accused of leasing UDA’s 13.6-acre plot located at Kurasini Depot, Dar es Salaam, to Simon Group Limited at a rent of Sh 400 million per annum for a period of ten (10) years, a fact he knew to be false.

The accused was arraigned on Friday evening and had his economic sabotage case no. 29/2023 read in court by senior state attorney, Fatuma Waziri before the court’s principal resident magistrate Richard Kabate.

However, before his charges were read, the magistrate told the accused that he was not required to enter any plea in court because the court had no judicial authority to hear the case, except with a special permit.

In the first charge of forgery, Waziri told the court that the accused, with intent to defraud, made a false document namely, lease agreement, between UDA and Simon Group Limited for a period of 10 years, an incident he is alleged to have committed on 1 October, 2011 in Dar es Salaam Region.

In the second charge of money laundering, Waziri told the court that the accused, on diverse dates between May 1, 2011 and December 31, 2018 within the city and region of Dar es Salaam, is alleged to have obtained Sh14 billion from UDA while knowing the money was obtained through the first offence of forgery.

In the third charge, Waziri told the court that on diverse dates between May 1, 2011 and December 31, 2018, within the city and region of Dar es Salaam by his willful acts, the accused obtained Sh14 billion, hence accessioning losses to UDA.

However, the senior state attorney told the court that investigations into the case are incomplete and asked the court to set another date for its mention.

Magistrate Kabate adjourned the case until June 28, 2023 when it will come up for mention and the accused was sent back to remand prison because the charge of money laundering he is facing has no bail by law.

THE CITIZEN
 
Hii kesi ya mchongo.


1. Waliouza Uda ni Jiji, Kwa Simon group ltd. Mmiliki wa Simon group ni Robert Simon kisena.


2. Robert ...SGL akamwajiri Simon bulenganija kama kaimu CEO!
 
Back
Top Bottom