bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC03 Njia bora ya kuepukana na mikataba mibovu (Tanzania)

    Mkataba ni maridhiano baina ya watu wawili au zaidi,serikali kwa serikali,kampuni kwa kampuni au serikali na kampuni.Mikataba nayo husaidia kuinua uchumi wa nchi au kampuni inapokuwa na manufaa kwa nchi husika au kampuni.Pia huweza kusababisha hasara inapokua haina manufaa. mikataba mibovu ni...
  2. H

    SoC03 Mbegu ya uzalendo kwa watoto: zao la uwajibikaji na utawala bora kwa taifa

    Nimezaliwa mwaka 2013 katika wilaya ya Muleba na kulelewa na bibi yangu kipenzi, Bi.Khadija. Bi.Khadija alipenda sana kusoma na muda mwingi aliutumia kusoma vitabu vilivyoelezea utawala bora na namna babu zetu walivyo pigania uhuru lakini pia alipenda kusoma magazeti. Siku moja nikiwa nje...
  3. M

    SoC03 Kuendeleza Uwajibikaji wa Wafanyakazi kwa Mafanikio Bora

    Utangulizi: Katika sekta yoyote, mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kuendeleza ufanisi na mafanikio. Katika andiko hili, tutajadili mbinu zinazoweza kuchochea mabadiliko haya katika mazingira ya kazi. Andiko hili limezidi maneno mia saba. 1. Kuhamasisha Uongozi wa...
  4. M

    SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora Katika Sekta Yote: Mwongozo wa Hatua za Mabadiliko

    Kichwa Cha Andiko: Utasaidia kuongeza uwajibikaji na kuboresha utawala bora katika sekta yoyote kwa kuzingatia hatua zifuatazo: 1. Kuunda mfumo wa uwajibikaji: Fanya uhakiki wa muundo wako wa uongozi na uwajibikaji. Hakikisha kuwa majukumu na wajibu wa kila mtu wanaeleweka wazi. Weka njia za...
  5. Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Mazoezi bora yanatakiwa kuwa na sifa nyingi. Sifa moja kuu ni yachome nguvu za kutosha. Chakula tunachokula kinaenda kuupa nguvu mwili wetu. Kama tunakula zaidi ya mahitaji ya miili yetu, chakula hicho kinaenda kuhifadhiwa kama "Kitambi." Basi mazoezi bora yanatakiwa kuchoma kitambi cha...
  6. M

    Sasa ni rasmi: Timu 10 bora za CAF ikiwemo SIMBA zitaanzia mzunguko wa pili. Hao "wananchi" wataanzia mchangani/mzunguko wa kwanza!

    54 teams are engaged in CL 2023 / 2024. Accordingly, the 10 highest ranked clubs in the official clubs ranking, shall be exempted of the 1st preliminaryround.The remaining teams are divided into the following: highest ranked teams / less ranked teams / non rankedteams.7 pots have been created...
  7. Hawa ndio matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania,

    Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania. Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu Hans Macha Ernest Massawe Arnold B.S Kilewo Harold Temu...
  8. M

    SoC03 Kuleta Mabadiliko Yenye Tija kwa Uwajibikaji na Utawala Bora

    Utangulizi: Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kuhakikisha maendeleo thabiti na ustawi wa sekta yoyote. Katika andiko hili, tutajadili mbinu na mikakati ambayo inaweza kuchochea mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora. Lengo letu ni kuboresha ufanisi na uwazi na...
  9. M

    SoC03 Kubadilisha Mwelekeo Kuelekea Uwajibikaji na Utawala Bora

    Muhtasari: Andiko hili linahusu jinsi ya kukuza mabadiliko katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta yoyote. Lengo ni kujenga mazingira yenye uwazi, uadilifu, na uwajibikaji kwa faida ya jamii nzima. Andiko hili linatoa mwelekeo muhimu na hatua za utekelezaji ili kuwezesha mabadiliko haya...
  10. M

    SoC03 Uwajibikaji kazini: Kuboresha Utawala Bora kwa maendeleo endelevu

    Utangulizi: Katika kuimarisha uwajibikaji na utawala bora katika sekta yoyote, mabadiliko madhubuti yanahitajika. Makala hii inaelezea jinsi mambo manne yanayohusiana yanavyoweza kuchochea mabadiliko hayo na kuleta maendeleo endelevu. Andiko hili limeandikwa kwa maneno hayazidi 100. Sehemu ya...
  11. SoC03 Kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji kupitia teknolojia

    UTANGULIZI Teknolojia imechukua nafasi kubwa sana na kuwa msaada mkubwa kwa utendaji kazi kiurahisi na kwa haraka katika maisha ya watu wote dunia kwa sasa na inaaendelea kukua na kubadilika kwa kasi kubwa kila siku. Teknolojia kwa sasa inauwezo mkubwa wa chochea utawala bora na uwajibikaji, sio...
  12. M

    Wakati mwingine ni bora hata kutojua maamuzi ya ovyo yanayofanywa na watanzania wenzetu wenye dhamana ya kutuongoza. Inauma sana

    Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya ufisadi mkubwa uliowahi kufanywa na unaofanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wenye dhamana ya...
  13. SoC03 Tusidanganyane, hakuna litakalochochea utawala bora wala uwajibikaji. Tumeharibu tuwaambie ukweli

    1.Tukumbuke Miaka ya kwanza baada ya uhuru wa Tanganyika chini ya uongozi wa Julius Nyerere yalikuwa na changamoto na mafanikio katika suala la uwajibikaji na utawala bora. Hapa ni muhtasari wa kipindi hicho: Uwajibikaji na Utawala Bora: Nyerere alijitahidi kuweka misingi ya uwajibikaji...
  14. Poleni watumishi wa umma uyo ndio mama anaupiga mwingi hakuna ongezeko la mshahara

    Poleni sana tena sana endeleni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
  15. D

    SoC03 Mabadiliko kuleta Utawala Bora

    MABADILIKO KULETA UTAWALA BORA Mabadiliko, ni hali ya kutoka hatua moja ya chini kwenda juu kuna aina nyingi za mabadiliko ila kuu ni mosi binafsi yaani mtu mmoja mmoja na pili mabadiliko kitaifa nchi kwa ujumla kutokana na hali ya kawaida kwenda kwenye hatua bora, mabadiliko mazuri ni ya...
  16. K

    Upinzani unawavunja moyo Watanzania. Hili la bandari halitapita Bure bila kuleta ufa Kwa upinzani watanzania wakiujua ukweli wa adui yao wa maendeleo

    Wapinzani wanatumia ujinga wa watu kujieneza. Wanatambua nchi hii wenye uelewa wa mambo ni wachache na hao wachache wapo kimya Kwa sababu hawataki kuonekana ni wanasiasa. Kuhusu hili la bandari, ni uthibitisho tosha kundi la wasio na uelewa linaburuzwa na kukokotwa bila kujijua. Wanatumia mbinu...
  17. SoC03 Nguvu ya Redio: Kuunda tabia mpya kwa jamii bora

    Katika historia, mawasiliano ya umma yamecheza jukumu muhimu katika kuunda jamii, na redio, kwa hakika, imejitokeza kama muhimili wenye nguvu katika kusambaza habari na kuathiri umma, ikileta matokeo mazuri na mabaya pia. Katika mfano muhimu wa athari nzuri ya redio, BBC ilizindua kampeni yenye...
  18. SoC03 Mabadiliko katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta mbalimbali nchini Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika nchi yoyote, ikiwemo Tanzania. Sekta zote nchini zinahitaji kuwa na mifumo madhubuti ya uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha kuwa rasilimali zinatumika kwa ufanisi, uwazi na...
  19. Azam wazindua Jersey bora zaidi Duniani

    Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24 Jersey hizo zenye rangi ya Blue, Nyeupe na dhahabu zimevutia sana watu na wengi wakimiminika kkoo kwenda kuzipata ambapo zinauzwa kwa bei ya kizawa kabisa ya Tsh 25k tu kwa moja, Simba na Yanga...
  20. Naiona Simba na Azam zikiwa na safu bora mno za ushambuliaji

    Wakati sajili zinaenda kutamatika kwa timu mbalimbali, hadi sasa kwenye mpira wa kimtazamo ( mpira wa makaratasi) Simba na Azam wananda kuipa wakati mgumu Yanga kwenye mbio za ubingwa wa NBC na Azam Federation cup. Hakuna shaka kuwa msimu uliopita, Simba ndio timu yenye safu bora ya ushambuliaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…