bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wawili bora kwangu kwa mwaka 2024 ndani ya Simba Sports Club

    Mwaka 2024 unaisha leo, kesho majaliwa ni mwaka 2025, nimeona kikosi chote cha wachezaji wangu wa Simba Sports Club, kiukweli hadi kufikia leo binafsi ni wachezaji wawili tu ndani ya timu yangu ukimuondoa kiungo wa pembeni Elie Mpanzu ambaye ndio kwanza anajitafuta na ambaye nina matarajio naye...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ingia 2025 ukifahamu kifo ni zawadi na kuzaliwa ni zawadi. Ishi kwa misingi Bora kulingana na jamii .

    Binadamu kumbuka u mavumbi wewe na mavumbini utarudi, Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake hapa duniani ni chache Sana, Ushawahi kukutana na hizo quotes? Ndio mfumu WA maisha ulivo yaani kila kiumbe kinachozaliwa mwishowe hufa, La of nature inatakiwa ikuongoze katika maisha yako ...
  3. milele amina

    JamiiForums Tanzania Bora ulivyosema Free man mbowe mitano Tena! Ungesema Saa100 mitano Tena , wangekuua kabisa!

    Picha inajieleza! Sitaki maswali mengi,ninajiandaa kumaliza mwaka 2024.
  4. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu hawa ndo wanachama bora kwa mwaka mwaka 2024

    Mshana Jr - huyu ni mwanachama ambaye ameonesha talanta yake na karama katika kuijenga jamii kisaikolojia , kisosholojia na kiroho na Kwa mbali sana kisiasa . Sitomuelezea Sana maana huyu ndo GOAT wa JF great of all time tangia jamiiforum imeanzishwa huyo ndo mwanachama bora wa muda wote...
  5. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

    Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi. Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetu
  6. Logikos

    JamiiForums Tanzania Je ni Heri kuvaa Suti ya Bei wakati una Jasho, unanuka na kuwashwa au bora ununue Sabuni uoge na kuvaa Lubega yako ?

    Better one Step with the People than 10 Steps Without...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanaume bora lazima umtoe out mkeo na kumnunulia zawadi. Haiwezekani mwaka mzima hujafanya hivyo!

    MWANAUME BORA LAZIMA UMTOE OUT MKEO NA KUMNUNULIA ZAWADI. HAIWEZEKANI MWAKA MZIMA HUJAFANYA HIVYO. HUO NI USHENZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siku 365 na masaa kadhaa Mkeo na watoto wapo nyumbani kama gereza la Kinguruila. Kila siku kupika chakula hapo nyumbani huyo Mkeo hachoki tuu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora

    Habari Ndugu wa Jf, Chukua yatakayokufaa kuhusu Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora Utangulizi Msimu wa sikukuu ni wakati wa sherehe, lakini pia unaweza kusababisha kula kupita kiasi na kupata uzito Kupita kiasi. Tunapojiandaa kuukaribisha mwaka mpya 2025, azimio la kuweka afya na ustawi...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Hii ndio misemo Bora iliyobamba zaidi kwa mwaka 2024, upi ulitembea nao sana?

    Ubaya Ubwela Gusa achia Twende kwao Sicheki na Wowote Ninge comment ila Mwanasheria wangu yupo likizo We huogopi..! Yanga hii unaifungaje? Mtoto Kautaka Naijua hiyo Kipengele uje nacho wewe tajiri Watoto wa 2000 Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi Kamdomo Mambo kwa ushahidi Na hapa ipo...
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

    Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
  11. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Leo jioni CCM Liti tunakwenda kushuhudia game bora ya msimu kati ya Simba na Yanga B

    Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Huenda bwana Dudu Baya akawa ndio akawa ndio Mshauri mashuhuri wa NCHI!

    Heri ya Xmas Niende kwenye mada kwa Tanzania asaiv huenda bwana DUDU BAYA akawa ndio MSHAURI mashuhuri wa NCHI hii ni baada ya kuona ikitokea sintofahamu yoyote nchini waaandishi mara moja hukimbilia kumuomba ushauri au maoni iwe kisiasa kimapenzi nk...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuagiza laptop kwa ajili ya kuuza, ni masoko Gani ambayo ni Bora

    Ndio msaada wa jambo Hilo sihitaji kusafiri kwenda huko ikiwa Kuna mbadala tujuzane
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sifa za mwanaume bora wa kukuoa, kuwa mumeo ni hizi hapa! 2025 fanya kweli

    SIFA ZA MWANAUME BORA WA KUKUOA, KUWA MUMEO NI HIZI HAPA! 2025 FANYA KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanawake wengi hulalamika kutokujua ni mwanaume gani anasifa za kumwoa. Wengi hawajua sifa za mwanaume mzuri atakayekuja kuwa Mume na Baba wa watoto wake. Sasa Binti yangu, Mimi kama...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi licha ya malipo bora

    Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi bila sababu za msingi,licha ya mshahara mzuri wanaolipwa,sababu. Ni Nini? UK soldiers quit in thousands despite Labour's pay rise Soldiers are quitting the British Armed Forces at an alarming rate, despite a pay rise over the summer, Report informs...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Bacca anyang'anywe tuzo ya mchezaji bora katika mechi ya leo dhidi ya Prisons

    Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons. Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa. Najua mechi imeisha na goli haliwezi...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Taqwa Foundation Yatoa Msaada wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, Ikiwasaidia Kujenga Mustakabali Bora

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar Jamii imetakiwa kuungana kwa pamoja kuwasaidia watoto yatima ili kujenga upendo na mshikamano baina yao. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Taqwa Foundation Zahra Issa Kassim wakati wa ugawaji wa vifaa vya skuli kwa watoto yatima huko Mpendae Wilaya ya...
  18. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo chini ya Zitto Kabwe nimeamini ni chama bora kuliko CDM ya Mbowe

    * Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano; * Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM; CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
  19. phantomnation

    JamiiForums Tanzania Uzi bora wa mwaka JF 2024

    Habari za jioni wakuu, natumai mko salamaa niskuchoshe tusichoshane kama kichwa cha habari kinavosema je kwako upi ni uzi bora wa mwaka 2024 unahisi unastahilii kutunukiwa tittle hiyo, mimi binafsi uzi uliotikisa ni wa @INSIDERMAN na uzi wake wa Jinsi biashara ya uber ilivyonikutanisha na mrembo...
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ellie Mpanzu huu utakuwa usajili bora kuwahi kutokea Tanzania , Muda utaongea

    Leo Mpanzu ataanza safari yake ya mpira akiwa Msimbazi pale Simba inakapoumana na Kagera sugar . Hakika huu utakuwa usajili bora wa muda wote kutokana ya aina ya uchezaji wake na nafasi anazoweza kucheza uwanjani .
Back
Top Bottom