bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ellie Mpanzu huu utakuwa usajili bora kuwahi kutokea Tanzania , Muda utaongea

    Leo Mpanzu ataanza safari yake ya mpira akiwa Msimbazi pale Simba inakapoumana na Kagera sugar . Hakika huu utakuwa usajili bora wa muda wote kutokana ya aina ya uchezaji wake na nafasi anazoweza kucheza uwanjani .
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Safu bora ya ushindi CHADEMA, Mkiti Lissu, Makamu Heche, Lema Mwenezi, Katibu Mnyika

    Hii combination hata CCM wanaomba isitokee. Sina haja ya kuandika wasifu wao kwa kirefu maana sifa zao zinajulikana, Lissu hakopeshi, Heche jasiri, Lema mwanaharakati na hana bei, Mnyika anakijua chama tangu chuoni. Mbowe awe mlezi wa chama kama alivyo Mtei.
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Lowassa ilikuwa bora kuliko ya Slaa ?

    Kwa nini Lowassa (mtuhumiwa wa fisadi) alipata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa 2015 kuliko alizipoata Willibrod Slaa (msafi) mwaka 2010? Ni mvuto wa kisiasa, pesa, sera, upadri wa Slaa au kitu gani kilicholeta matukio ya kuchanganya hivyo?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini wa wanasiasa bora 2024

    Mwisho wa mwaka huo unaelekea ukingoni. Leo tutaangalia baadhi ya wanasiasa waliojitahidi kuzingatia miiko ya siasa kwa kutanguliza maslahi ya raia (wananchi) mbele bila kuzingatia maslahi yao binafsi kwanza. Nchi ya Tanzania ina viongozi wengi wa siasa ila ni maskitiko makubwa kwamba wengi wao...
  5. Wauzaji wa Aluminium

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mnahitaji kusafirisha containers, lose cargo n.k naomba tuwasiliane ili muweze kupata huduma bora za usafirishaji

    This service for now is unavailable , we Appreciate your endeavors in making us great Thank you 🙏🏽
  6. U

    JamiiForums Tanzania Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

    Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu Kichwa cha habari chahusika Niwatakie siku njema
  7. residentura

    JamiiForums Tanzania Mbowe; Recruiter Bora kuliko hata TAI!!??

    Huyu ndugu yangu Freeman Mbowe naamini ndiye recruiter bora kwa miongo 3 katika nchi hii (kwenye upande wa siasa). Kwa nini serikali/system isimchukue na kumpa kitengo cha kutafuta vijana wenye uwezo, kuwapika na kisha tukapata wakina Lissu wengi, wakina Heche wengi, wakina Mnyika wengi...
  8. haszu

    JamiiForums Tanzania Nimeshazichoka vurugu za watoto, bora shule zifunguliwe

    Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe. Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu. Bora warudi shule.
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

    1. Mbowe alizingua kwa Zitto. 2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa. 3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano. Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king. Sasa;- 4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake. Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena. You cannot lie...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi, maoni yangu ni haya

    Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:- 1. Kiundwe chombo cha kitaifa kitakachoongoza na kuratibu hii movement. - Chombo hiki kitokane na angalau Watanzania wa makundi...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Jamii zinawatengeneza wanaume kuwa viongozi kimfumo, wanawake wanahitaji juhudi na sifa za ziada kuwa viongozi bora

    Katika sehemu nyingi za dunia jamii zimekuwa zinawajenga au kuwatengeza wanaume kuwa viongozi kimfumo kwa kipindi chote cha maisha ya binadamu. Tukichukulia jamii zetu mtoto za sasa kwa mfano mtoto wa kiume ndiye anachunga mifugo porini na ndiye msimamizi wa mbwa nyumbani, haya ni mambo ya...
  12. Scars

    JamiiForums Tanzania Je, kweli ni bora kuamini Mungu yupo halafu siku ya mwisho usimkute, kuliko kutoamini halafu ukamkuta?

    Makala hii nitaiweka kwa vipande kuepusha kero ya usomaji. Moja ya hoja maarufu kutoka kwa watu wanaoamini Mungu (Theists). Ni hoja ambayo imelenga kuweka matumaini ya mwelekeo katika maisha ili kuwafanya watu waone kuamini Mungu yupo ndio uchaguzi bora zaidi (rational) kwasababu haitakupa...
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Acha kuteseka na Usafiri wa mikoani jaribu kusearch BUS BORA...yapo mengi unajichagulia....

    Wiki iliyopita baada ya shule na vyuo vingi kufungwa nilikosa kabisa usafiri wa kunitoa Dodoma kwenda Arusha kwani mabasi yale yenye majina makubwa yote yalikuwa yamejaa. Jioni kabisa nikakumbuka huduma ya kubook online hivyo nika jaribu Ikatokea; www.busbora.co.tz
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama & NHS ya Uingereza Wajadili Namna Bora ya Utoaji Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa 'National Health Services' (NHS) ikiwa ni muendelezo wa...
  15. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kipindi Cha LIVE NA G cha EAST AFRICA RADIO ni miongoni mwa vipindi bora vya Radio Tanzania

    Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA. Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana...
  16. mjasiriamali mdogo

    JamiiForums Tanzania Hii ndio 10 Bora ya gari zinazoongoza Kwa kununuliwa hapa Tanzania 2024

    Hizi ndio gari wauzaji wanasema ndio chaguo Lao kwasasa.
  17. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Kabila la Kiarabu la Druze huko Syria milimani Golan wanataka eneo lao lichukuliwe na Israel.. Wasema bora kuishi na Shetani umjuaye kuliko usiyemjua

    Habari inayosambaa Mitandaoni: Wadruze wa Syria wanaomba wao wenyewe kuunganishwa eneo la Milima yao ya Golan yote iwe ndani ya taifa la Israeli. Jumuiya ya Wadruze wa al-Hader nchini Syria wameamua Israel iwatwae, Israel 'wanauovu mdogo' mbele ya uwezekano wa kunyakuliwa na waasi wa Syria...
  18. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: CCM huwa hawachagui Mwenyekiti, wanateua Mgombea Urais wanamteka kuwa Mwenyekiti wao

    Vyama vyote vya siasa hapa nchini ni vyama vya viongozi, siyo vyama vya wanachama. Vyama vyetu vya siasa hapa nchini vina tatizo moja kubwa, ni vyama vya viongozi sio vyama vya wanachama. Matashi ya wanachama hayaheshimiwi na viongozi, kwahiyo nani anagombea nani hagombei kwangu siyo tatizo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwekeza milioni 40 kwa miezi 3 , UTT, je inawezekana? Mfuko upi bora?

    Nataka niweke kama milioni 40 hivi kwa miezi mitatu, je itawezekana? Ni mfuko upi mzuri?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi waaswa kuzingatia kuwapeleka watoto wao shule zenye malezi bora

    Uongozi wa kituo maalum cha kulelea watoto cha Bero Kids (Bero Kids Day Care) kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mgeni rasmi na wahitimu wa mahafali ya pili. Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Fatuma Juma akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya kituo...
Back
Top Bottom