Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
Aslaam aleykum !
Katika kipindi nilichokuwa humu hawa ni miongoni mwa watu wenyewe visa na mikasa ya kweli na wana vipawa vya kusimulia,
Ingekuwa jeshini walikuwa wanapewa nyota na bibi na bwana mabegani,wasimuliaji hawa ni kama ifuatavyo
1 LWANDA MAGERE ,huyu mtu atengwe dunia yake ili tulaza...
Ingetokea wameshinda. Yaani ingekiwa samia Samia samia. Makelele kibao. Kwa kweli tusingepumua.
Kwa sasa.CCM hawana agenda maalumu tofauti na propaganda kuhadaa watu. Mara wajishike kwa wasanii. Mara.chadema wanaleta ebora kifupi ni siasa za maji taka.
Ila.mambo haya yana mwisho wake hasa...
Me yangu hii nimei understand sana chuma ni kutoka kwa mtibeli Robertinho..
Thread 'Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa' Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa
Kwanini NIMEIPENDA??
Kwa sasa nimerudi kwenye kiini changu...
Tunajenga Tanzania bora kwa pamoja! Jiandikishe kwenye Daftari la Kudumu la Kupiga kura ili kushiriki kikamilifu katika Demokrasia.
Dkt. Kuduishe Kisowile
Influencer wa Mtandaoni (Kudu_ze_Kudu)
Ndugu wa tz habari zenu, Leo naomba mnisaidie mawazo na nyie km nipo sawa au na mm nakosea,
Kaka angu alieniachia kuzaliwa ni muajiriwa serikalini sekta ya afya,
Aliniomba ushauri kua anataka kuchukua mkopo bank afungue duka la nafaka,
Anasema kaenda Bank kuuliza rate ya riba anasema ni kubwa...
Wataaalam wa uezekaji mnaweza kutusaidia Kwa hili. Na vigezo vya ubora ni vipi?
Jee Gauge 28(Geji 28) ya Ando ndiyo geji hiyo hiyo Kwa ALAF. Yani kipimo cha geji ni kimoja kwa mabati yote?
Kama kipimo cha geji kwa mabati yote ni kimoja, Sasa nini kinacholeta utofauti kwenye mabati toka kwenye...
Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja.
1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana.
2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi
3. Dotto...
Wakuu ninaomba kwa wenye utaalamu wa hivi vitu wanijulishe nataka kifaa cha kuchomea nyama kipi ni bora kati ya hivyo hapo juu?
Kwaajili ya matumizi yangu binafsi ya nyumbani.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia
"Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama...
Nimeamua kulitumia Jukwaa hili la habari za Michezo kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa benchi la Yanga SC.
Ndiyo ni ukweli usiopingika Huu, Kibwana Shomari ni talanta kubwa sana inayofanyiwa Figisu, Kila mmoja ni shahidi huyu bwana mdogo Kipindi na Kocha Nabi alipigika Miguu yote Beki namba 2...
Kuwa mke sio kazi rahisi, khususan kuwa mke bora na sio bora mke. Lakini, iwapo unafanya mambo haya 14, kuna nafasi kubwa mumeo anajua kwamba ana mke bora kwenye uso huu wa dunia.
1. UNAFURAHIA MAFANIKIO YAKE
Amepandishwa cheo kazini, amemaliza masomo yake, au amefanikiwa kufanya jambo fulani...
Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;
1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi...
Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi.
Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA, UBORA WA KUDUMU! 🔥🏗️
Unataka nyumba yako iwe ya kuvutia na ya kisasa? Tunakuletea huduma bora za ujenzi na ukamilishaji kwa viwango vya juu! 👌🏾🏠
🔨 Huduma Zetu:
✅ Finishing & Decorations – Tunamalizia kwa ustadi wa hali ya juu ✨
✅ Plasta – Ukuta wako...
Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma.
Wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu.
Daaah inauma sana chakula unakiona...
Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa.
Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo hayo.
Pamoja na hayo yote,Masaki bado ni the best.
Ukitaka kujua kama chuo unachosoma ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.