Sakwe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 246
- 881
Aslaam aleykum !
Katika kipindi nilichokuwa humu hawa ni miongoni mwa watu wenyewe visa na mikasa ya kweli na wana vipawa vya kusimulia,
Ingekuwa jeshini walikuwa wanapewa nyota na bibi na bwana mabegani,wasimuliaji hawa ni kama ifuatavyo
1 LWANDA MAGERE ,huyu mtu atengwe dunia yake ili tulaza na viatu sio kwa simulizi zile 🔥
2.ANALYSE , huyu nae ni kisanga cha kuotea mbali alitupa simulizi tukakesha macho mpaka asubuhi sifa yake huyu mtu ni comedian
3.KIGAYOKO,zipo fununj kuwa hatuko naye tena 🕊️ila huyu alikuwa na kipaji cha kipekee ile mikasa yake du ilikuwa balaa
4.leandermore( sina uhakika na jina ) huyu naye na ile bolt yake aaah alitulaza na viatu msimuliaji bora sana
5.KONDA MSAFI, konda iltupa picha ya sauzi na kumbu aaah ile ilikuwa ya moto mnooo tuli lala na viatu afanalek
6 PATRICK,huyu bwana alichipukia na kisa cha mkewe na ndoa yake aaah huyu naye ni miongoni mwa watu bora sana
7.Mshana ( mzee wa nguvu za giza) huyu mtu kipekee nimpe maua yake kwa visa vyake vya kuofya alaaa mtu wa maana kabisa.
8.Mzee bourne huyu mzee na mkewe amina khaa ile ilikuwa kisanga kipekee ans kila sababu ya kuingia kwenye kitabu cha kumbukumbu.
Hao ndio magwiji wa simulizi halisi za maisha kama hujapitia machapisho utaburudika na uandishi na ubunifu wao kama wapo wengine ruksa kuwataja ila kwangu hao ni magwiji