Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

XYZ987

Member
Joined
Dec 18, 2018
Posts
63
Reaction score
83
Nawasalimu wote,
Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale.
Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu..
Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua..
Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao uwezo wa kukusafirishia popote.

Karibu inbox tuyajenge...

Asante
Fingerling 2 sato.jpg
Fingerlings 3 sato.jpg
Fingerlins 1.jpg
IMG-20250710-WA0020.jpg
Sato miezi mitano.jpg
 
Nawasalimu wote,
Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale.
Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu..
Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua..
Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao uwezo wa kukusafirishia popote.

Karibu inbox tuyajenge...

Asante
Kwa nini mnawaita samaki wachanga ''vifaranga''? Mnatukosea sana heshima sisi wafuga kuku.
 
Nawasalimu wote,
Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale.
Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu..
Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua..
Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao uwezo wa kukusafirishia popote.

Karibu inbox tuyajenge...

Asante
Hivi nikichimba bwawa la kizushi sehemu kama Iringa, nikajaza maji Sato watafugika? Au au kambale? Nina mpango siku zijazo nije nifanye hii project. Siyo biashara bali siku nikitaka kula anavua mwenyewe kama unavyochukuwa kuku bandani.
 
Yes inawezekana. Ukiwa tayari karibu kwa maelekezo na ushauri mkuu
 
Yapo Mlandiizi kijijini
Nimeuliza ili kutaka kujua pengine aina ya udongo wa sehemu fulani unaweza athiri samaki,
Tuliwahi kuwa na bwawa, Boko ya Tumbi(Mnemela). Lakini katika hatua za mwanzoni samaki walikufa.. Mpaka leo hatujajua tatizo ni nini.! (tulikuwa tunafuga kienyeji bila utaalamu)
 
Nawasalimu wote,
Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale.
Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu..
Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua..
Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao uwezo wa kukusafirishia popote.

Karibu inbox tuyajenge...

Asante
Mkuu ulisema utapandisha picha pandisha kwa faida ya wale wasio wajua itakuongezea kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom