bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Bongo Hip Hop

    Uzuri wa huu mchezo kuwe na distrac ya kundi na kundi, ama mtu na mtu. Unadhani ipi iliwaka sana hadi mchezo wa live ukatace place….
  2. JamiiForums Tanzania Google yawapa nguvu content creators wasiojulikana!

    Google imeamua kuwapa Nguvu waandaji maudhui wa mitandaoni 😲. Kama ulikua unasoma tu profile za watu maarufu ulimwenguni kupitia Wikipedia Sasa ni zamu ya Content creator bhana 👋. 🔍 Google imezindua rasmi Mfumo mpya unaitwa Creator Search Profiles!, ambapo watengeneza maudhui (Creators)...
  3. S

    JamiiForums Tanzania D RAX MSANII WA BONGO FLAVA ANAEKUJA KWA KASI NCHINI TANZANIA MWENYE ZAIDI YA WAFUASI LAKI TATU

  4. JamiiForums Tanzania Bongo Star Search Season 16 Special Thread

    Bongo Star Search 2026 - Msimu wa 16 🔥 Sasa inaitwa CRDB Bank Bongo Star Search 2026 Mambo muhimu ya msimu huu: 1. Theme & Zawadi Theme: "Next Level Revolution" + "Beyond Borders" Mshindi anaenda na milioni 50+ na gari jipya 2. Sio uimbaji tu tena Msimu huu umepanuka. Sasa wanakubali...
  5. JamiiForums Tanzania Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

    Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.
  6. JamiiForums Tanzania Kombe la Arsenal, EPL lapelekwa Kenya, bongo tunafeli wapi?

    Kuelekea juma tatu ambapo, parade Lita happen uingereza jijini London tayari losha Anza kizungushwa nchi tofauti, ambapo limepita Kenya na litaendelea kwingineko sidhani kama bongo litakuja. Jamaa yangu Mmoja kanijuza wakenya wana connection kubwa hapa duniani na ndo mana hawakuhitaji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini harrier anaconda used hapa bongo zinauzwa sana

    Habari za weekend Team, Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 13 Bila Albert Mangweah: Bongo Flavour Artists wamejipangaje kumuenzi 2026

    28 Mei 2013 Msanii Maarufu enzi hizo wa Bongo Flavour alitutoka Duniani akiwa kwenye Matibabu huko nchini Afrika Kusini. Wasanii wa Bongo Flavour wamejipangaje kumuenzi? Naona kimya sisikii watu wakimzungumzia namna ya kumuenzi mwaka huu wa 2026. Kwangu Binafsi nitamkumbuka kwa nyimbo ya ni...
  9. JamiiForums Tanzania Mapenzi Bongo vs Ulaya: Mizengwe yote hii?

    Kule ulaya ukimfuata Demu ukamuambia unampenda jibu utalipata kabla hata dakika Tano hazijaisha. Akikupenda atakujibu I like you too na mazungumzo yataendelea akiona humvutii atakuambia I'm not interested kwa heshima. Hakuna Ile habari ya ngoja nifikirie ambayo itachukua mwezi mzima. Kwao, muda...
  10. JamiiForums Tanzania Kipi kipo nyuma ya shamrashamra za mastaa wa Kimataifa wanaokuja Bongo: Kuna jambo, au tunatolewa kwenye reli?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ujio wa watu maarufu duniani kama Didier Drogba na Rio Ferdinand ikielezwa kuwa ni kwa mwaliko wa Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo inayoongizwa na Paul Makonda. Kwa juu juu, hatua hii inaweza kuonekana kama jitihada za...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ozempic haijatua bongo wajameni?

    Naona mambele wanajidunga na miili inapungua hakuna tena mambo ya mazoezi
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wakunyumba tradition’s party ya wangoni yaja bongo

    Sherehe kubwa itakayowakutanisha Watanzania kutoka Kabila la Wangoni inakuja. Itafanyika jijini Dar es Salaam. Lakini pia watu kutoka makabila mengine watapokelewa kuhudhuria. Sherehe hii itakuwa endelevu. Itakuwa ikifanyika kila mwaka katika ukumbi au eneo litakalopendekezwa na kamati ya...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana wa Bongo na Ndoto ya Content Creation

    Siku hizi ukikutana na kijana ana laptop, ring light na simu nzuri usidhani ni IT specialist… mwingine anakesha usiku kucha akihariri video ya sekunde 45 huku background kuna motivational music na caption “never give up”. Lakini ukiangalia reality ya game yenyewe unaweza ukaanza kujiuliza… hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Group sex inaongezeka kwa kasi hapa Bongo

    Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo. Sasa hivi watu hawaoni haya kuchukuana kama kikundi na kwenda kufanya sex huku wakipasiana wenza yaani akipiga hapa anaennda kwa mwingine...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu alietoboa vilivyo kwenye biashara hapa Bongo utasubiri sana hadi uote sugu, Game lipo zigzaga tofauti na unachokiona

    Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani. kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo: Kati ya Tundu Lisu na Sinde Warioba nani, Mungu akitenda muujiza, nani awe Rais?

    SWALI ni hilo hapo juu. Maana chungu kimeishiwa kabisa , sana sana uchaguzi ni hao wawili
  17. JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amshtaki Mtanzania aliyemtishia kifo na matusi

    Raia mzungu Muingereza alielowea Tanzania na wakati flani alikuwa balozi wetu wa kujitolea anayezungumza kiiswahili Fasaha Bongo Zozo amshtaki Mtanzania polisi uingereza kwa kumtukana na kumtishia kumuua. Soma hapo chini. adriz de mbusii
  18. JamiiForums Tanzania Bongo Star Search (BSS) ishawahi kumtoa Star gani hapa Bongo?

    Back then nakumbuka Jumanne Idd, Chiku Ketto na Kala Jeremiah. Sijui nani mwingine ashawahi toka recently. Au ni drama tu kama drama nyingine?
  19. JamiiForums Tanzania Bongo Star Search ipo kwa ajili ya kuua vipaji au kuibua vipaji?

    Binafsi naona BSS inaua vipaji vingi sana kuliko inavyoviibua. Kupitia huyu Salama kuna vipaji vingi vimezimwa kwa kauli za kikatili zinazokatisha tamaa. Naona tuikatae Bongo Star Search. Soma alichoandika WAKAZI baada ya huyu binti mdogo kutendewa ukatili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo: Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi. Kusema Ripoti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa

    Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi, Kusema Ripiti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa Maana ya Tume ni kuweka vitu vyote wazi, kufungua milango yote ya nyumba nzima na kuruhusu mwanga uingie ndani, na kumulika palipokuwa na giza, lakini tume hii haikufanya hivyo kabisa, sana sana kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…