Kwa kweli Ruvu Shooting mlionyesha kiwango cha juu sana kimchezo katika mechi yenu na UTO ila tu bahati mbaya ile red card iliwatoa mchezoni.
Na baada hapo ndipo UTO waka-take advantage ya number na matokeo ndio yakawa hivyo. Asanteni kwa kumbikiri Diara na sasa asubiri tu mimba za mapacha.
I...
Nimekuwa naangalia hiki kipindi cha Bongo Star Search karibuni ila Kauli chafu na maneno wanayowapa hawa vijana sio sawa kabisa.
Sijajua kama hizi lugha zingeeleweka huko mbele kwa nchi za wenzetu katika ulimwengu uliostarabika.
Nimeangalia vipindi vingi sana kama hivi mfano American Idol ...
Ukodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii.
Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za...
Mpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda
1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc
2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc
3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc
4.Kocha bora ligi ya wanawake - Edna Lema-Yanga princess
5.Fair Play( mchezo wa kiungwana)- Kibwana Shomary-...
Kiuweli ni kama siamini hivi ila ndio ishazoeleka tena kwa sasa, kila siku najaribu kubrowse kwenye sites za ngono kuona labda mzigo umeachiwa lakini wapiiiii?
Ombi letu kama mlivyofanikiwa kufungia site za ngono tunaomba mdhibiti na wale wa makampuni ya simu wanaotutumia sms bila mpangilio...
Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.
1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M
2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams 26.2M
3. #DefinationOfLove -Mbosso Streams 3.6M
4. #StoryOfTheAfricanMob -Navy Kenzo Streams 3.3M...
Kwa muda mfupi wa mitandaao hi ya kijamii kusumbua wate wengi wamekwama katika shughuli zao nyingi. Mfano mshijai wangu kazini kwako kila kitu ni kwenye group la whatapp la job sasa jioni nii mtandao hakuna ndio kama likizo kwake,, Je kama ikichukua muda mrefu halii hii tutaimudu?
Huyu dada bwana sijui ni kweli anapitia shida ama ni uigizaji?
Kwenye interview moja na Diva clouds alionekana akilia maisha magumu na kutaka kujiua.
Leo hii anaibuka insta akiwa kang'aa
Cheki alichoambiwa
Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye.
Kwanini umtolee ada...
Wakuu majamaa kwa idadi ya muvi zao ambazo nimekucheki mpaka Sasa no.
Bongo na flava,
Giza la mchana
Chafu tatu
Fisi weusi
Mchepuko
Ishu ya simu
Siku za arosto(hii iliandaliwa kwa siku1 nazani walifeli kwa upande wangu)
Tuzo
Na hii muvi Bora Sana kutoka kwa rah c (mtunzi)na timu nzima ya bongo...
Kuna watu wanafikiri BMW X6 zile za beforward ndio toleo pekee la bmw x6.
Imefikia watu wanaanza hadi kuipambanisha x6 na v8. Inabidi tuelewe kwa nini huyu mnyama ana heshima na vyeo kibao huko ughaibuni, ukiona bmw x6 inazungumziwa ni inatembea usifikiri ni hizi x6 za beforwad.
Ukweli ni...
Habari wadau..
unaambiwa katika uvumbuzi uliozua gumzo ni huu wa Elon Mask uliofanyika katika Tesla Artificial Intelligent Event "Tesla AI event".
Robot ya 5ft na 8in ikiwa na 125pound yenye screen usoni ambayo inauwezo wa kusoma kile unachokiwaza na kutoa maandishi ya kile unachowaza kwenye...
Haya maeneo ni kiboko katika sekta ya kuwa na baridi Kali katika nchi hii
1. Makete
2. Njombe
3. Mbulu
4. Lushoto
5.Ngara
Kama unahisi Kuna pengine sema hapa , Ila haya ni balaa ,kwingine kupo pia,
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askari wa Barabarani ( Traffic Police ) Mmoja huko nchini Kenya amejikuta akiibiwa Simu kwa 'Kuchomolewa' na Kibaka wakati akiwa anaongoza Magari.
Nimewaonya Vibaka wa Bongo ( Tanzania ) nikiwa najua kuwa 'Matrafiki' wengi wa Tanzania huwa nakutana nao sana...
Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute wala Sandakalawe, afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.