Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,220
- 12,725
Eti wakuu, bongo kuna wataalamu wa kujenga na mawe namna hii, wakatoa nyumba imara? Pia naomba kujua faida na hasara za nyumba ya mawe. Gharama zake zikoje?
Rasilimali mawe tunayo yakutosha tu lakini gharama yake ndo usiguseEti wakuu, bongo kuna wataalamu wa kujenga na mawe namna hii, wakatoa nyumba imara? Pia naomba kujua faida na hasara za nyumba ya mawe. Gharama zake zikoje?
View attachment 2097396View attachment 2097398View attachment 2097399View attachment 2097400View attachment 2097401View attachment 2097403View attachment 2097404View attachment 2097405
Uhimara wake unapatika kwa ubora wa mjengaji. Hizi zikikosewa katika kuyaunganisha mawe zinaweka ufa mwingi tu na ubaya wa mawe ikitokea ufa mkubwa ni rahisi sana yakalazimisha kuporomoka kutokana ya kuwa jiwe haliwi na kitako nyoofu.Nyumba za mawe ziko imara zaidi kuliko za tufali (ni nadra sana kuwa na ufa kwenye ukuta). Lakini gharama zake ni kubwa kidogo kwenye kunyoosha kuta ili upate usawa kwani simenti inakwenda nyingi.
Zanzibar ziko nyingi tu hasa katika maeneo ya karibu na pwani.
Kabla ya ujenzi wa tofali kushika kasi ujenzi mkuu ulikuwa kwa kutumia mawe. Lakini fundi lazima awe mweledi wa kunyoosha kuta za nyumba bila ya hivyo inakaa upande.
Ujenzi wowote unahitaji utaalamu hilo halina shaka. Aidha aina ya mawe yanayotumika kujengea pia kuna utaalamu wake.Uhimara wake unapatika kwa ubora wa mjengaji. Hizi zikikosewa katika kuyaunganisha mawe zinaweka ufa mwingi tu na ubaya wa mawe ikitokea ufa mkubwa ni rahisi sana yakalazimisha kuporomoka kutokana ya kuwa jiwe haliwi na kitako nyoofu.
Kuna kitu kama chainsaw kinachonga mawe ukubwa unaotaka na linachongwa jiwe linakuwa kama tofali lakini yote haya kufanyika kuna bei yake.Ujenzi wowote unahitaji utaalamu hilo halina shaka. Aidha aina ya mawe yanayotumika kujengea pia kuna utaalamu wake.
Angalia yale majumba ya stone town Unguja mjini, yale ya asili yote yamejengwa kwa mawe na chokaa na yamekaa kwa miaka mingi sana. Sasa hivi baadhi yameanza kuanguka kwa vile hakuna uhudumiaji.
Hii nimeona Tanga kule wanakochimba yale mawe Tanga stones (nadhani ni Wilaya ya Mkinga). Mengine yanachongwa kama tiles kabisa na yanapendezesha sana nyumba.Kuna kitu kama chainsaw kinachonga mawe ukubwa unaotaka na linachongwa jiwe linakuwa kama tofali lakini yote haya kufanyika kuna bei yake.
Ukifanya finishing madirisha ya vioo inapendeza sanaNyumba za mawe ni nzuri ila ni gharama sana yaan unahitaji expert wa kufanya hiyo kazi (Fundi), pia huhitaji plaster wala rangi ukijenga umemaliza,
Maeneo ambayo mawe yanapatikana kwa urahisi kama Dodoma, Mwanza au Iringa kutakua na uafadhali katika ujenzi, ukijenga Dar jiwe unalitoa Lugoba utajua hujui
Hapo kwenye wataalamu naona ndiyo changamoto. Nimefanya utafiti inaonekana kuna mambo mengi sana ya kuzingatia, hasa unapojenga kwenye kona.Uhimara wake unapatika kwa ubora wa mjengaji. Hizi zikikosewa katika kuyaunganisha mawe zinaweka ufa mwingi tu na ubaya wa mawe ikitokea ufa mkubwa ni rahisi sana yakalazimisha kuporomoka kutokana ya kuwa jiwe haliwi na kitako nyoofu.
Zingetufaa sana huku nchi za joto. Vipi kwenye baridi? Si unakuwa kama upo kwa friji?Nyumba za mawe ni imara sana, mawe yana sharabu jua hivyo siku za jua kali inaweza kuwa joto kali nje lakini ndani hakuna joto.
Yale wanachonga na kama chainsaw yanakuwa sandstones. Siyo magumu sana. Yanatoa tofali nzuri sana. Bila shaka hata yale ya baharini unaweza kuchonga. Kuna haya ya volcano, granite. Magumu balaa, yapo kama chuma.Kuna kitu kama chainsaw kinachonga mawe ukubwa unaotaka na linachongwa jiwe linakuwa kama tofali lakini yote haya kufanyika kuna bei yake.
Hapa Rorya kuna secondary imejengwa Kwa mawe tuu inaitwa Waningo sec school. Nasikia na fundi aliyenga bado yupo hai mpaka Leo hii yupo Musoma na bado anajenga nyumba za dizaini hiiEti wakuu, bongo kuna wataalamu wa kujenga na mawe namna hii, wakatoa nyumba imara? Pia naomba kujua faida na hasara za nyumba ya mawe. Gharama zake zikoje?
View attachment 2097396View attachment 2097398View attachment 2097399View attachment 2097400View attachment 2097401View attachment 2097403View attachment 2097404View attachment 2097405
Ukiweza kujenga nyumba hii hutashindwa kuweka heaterMsimu wa baridi humo ndani unakoma