bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. M

    Hawa wachambuzi wa soka uchwara wa bongo: Waliishia kucheza mchangani, wanaongozwa na unazi badala ya weledi. Ni Ali Mayai Tembele tu anayestahili.

    Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua soka!! Ni Tembele tu ambaye akichambua soka unaona **** weledi ndani yake!! Mliobaki oneni AIBU...
  2. Nionavyo mimi, hakuna nchi inaongoza kwa Wanawake kutongozwa na Wanaume wengi kwa siku kama Tanzania

    Hii ni independent study yangu. Nimeweza kubaini mwanamke wa kitanzania akiwa pisi kali, sio wanaume chini ya 20 watajaribu kuchukua namba kwa siku. Vile vile akiwa sura ya kawaida sio chini ya wanaume 2. Ni mazingira ya kutokuwepo mapenzi ya dhati kama nchi zingine. Na ugumu wa maisha...
  3. NALA imeprove wrong expertise wengi wa Tanzania baada ya kuraise $ million 10

    Tanzania ni nchi moja ya ajabu ambo watu wake wengi ni wabinafsi kupita maelezo, mwanzoni walimbeza sana Fernandez na hii naongea kwa experience Kuna ambao niliwauliza kuhusu Nala na Fernandez wakaishia kumbeza kwamba afiki Mahalia Juzi jumanne ameraise USD million 10 inaweza ikawa ndo startup...
  4. Mchimbo Dubai: Tujuzane namna ya kufika, maisha yalivyo, machimbo ya bidhaa na kuufikisha mzigo Bongo.

    Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo. Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano. Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua...
  5. Nini faida na hasara za nyumba za mawe? Bongo kuna wataalamu wa kujenga kwa mawe namna hii?

    Eti wakuu, bongo kuna wataalamu wa kujenga na mawe namna hii, wakatoa nyumba imara? Pia naomba kujua faida na hasara za nyumba ya mawe. Gharama zake zikoje?
  6. IT wa bongo mbona hamuanzishi platforms dark net?

    Ndo kusema haya mambo hamyawezi au? Toka nimetembelea kule sijawahi ona hata chat room ya kiswahili au hata forum ya kiswahili!,mnakwama wapi au mnaogopa kuonyesha ufundi wenu. Ni mbaya sana kufikiri kule Kuna vitu viovu tu!,na kule ndio Kuna michuano mikali ya kivamizi (platform yako kuwa...
  7. Hivi Bongo movie hawawezi kuuza movie zao kwenye flash?

    Bongo movie inakufa, sababu si quality (japo kweli quality ni chini) kama wengi wanavyodhani bali ni hawana namna ya kuuza movie zao. Ilianza kwa kuuza VHS za kina Majuto. Ikaja CD na DVD. Kipindi hiki walau walikuwa wanapata chochote. Ghafla watu wakaanza kupirate DVD na kuziweka kwenye flash...
  8. Msaada wa Kwaito Zilizotamba Bongo kuanzia 2014

    Wakuu! Natumaini mu wazima Nina shida na kwaito kutoka South Africa "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii. Nimepita kwa baadhi ya Djs huku Nanjilinji lakini sijazipata Nimefanikiwa kupata ngoma moja...
  9. Juma Nature ndio best storyteller wa muda wote Bongo. Wasanii wachanga mnao-rap jifunzeni kwa Juma Nature

    Kwenye muziki wa hiphop bongo hakujawahi kutokea msanii mwenye nguvu kama Juma Nature. Juma Nature aliingia kwenye muziki akaukuta umejaa umarekani mwingi na akaubadilisha mchezo kabisa. Silaha yake kubwa ilikuwa ni storytelling. Ipo wazi Juma Nature ndio bingwa wa storytelling kibongobongo...
  10. Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

    Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic. Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic. Wasanii wa bongo...
  11. Collaboration bora zaidi za Bongo Fleva

    Hi 👋 Ningependa kushea orodha yangu ya nyimbo bora walizoshirikishana wasanii wa bongo ambazo hazichuji hata ikipigwa leo hii lazima uipende. Naruhusu kurekebishwa penye makosa, lakini pia nipende kuwapa pongezi kubwa Producers Miika Mwamba, PFunk na Master J kwa kazi nzuri waliyofanya maana...
  12. Nini kilicho nyuma ya ma-producer wa Bongo kutokea kwenye familia za kishua/zenye unafuu kiuchumi?

    Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
  13. Jinsi biashara nyingi Bongo zinavyoanguka ghafla

    Kuna kitu nimekiona miongoni mwetu sisi waswahili, ambacho sio salama kabisa katika kuendesha miradi yetu ya kibiashara. Hii unaweza kuwa ndio sababu kubwa sana ya biashara nyingi kufa kifo cha mende hasa pale zinapoanza kuchangamka tu. Jana nilipita mahali kupata lunch majira ya...
  14. Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

    Habari zenu wana JF. Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka pamoja na selection lakini ningependa kujua mapema ili nijipange(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa mbaya kuhusu DIT kwamba inashuka viwango naomba unisaidie...
  15. Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

    Habari zenu wana JF. Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka kwa selection ya 2022 lakini huwa na penda kufatilia vitu mapema ili nijipange.Ningependa kupata mawazo yenu kuhusu hiyo title.(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa...
  16. Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

    Wasanii wengi wametoka kwenye maisha magumu ya kuishi chumba kimoja familia nzima tena hapo wamepanga. Wengine wametoka mikoani wamekuja Dar hawana pa kulala wanalala stendi, mitaroni, Kariakoo shimoni au wakibahatika ndio ile wanaishi maisha ya ghetto chumba kimoja mtu sita, yaani kifupi...
  17. Soka la Bongo ni pasua kichwa

    Binafsi huwa siwaelewi bodi ya Ligi wala TFF. Yani timu hizi mbili hasa wale wa ngumi mkononi Ratiba ikipangwa wataambiwa waanze mechi kumi nyumbani ili wapate hela ya kusafiria. Sasa hiyo ni Ligi au ni Ligi ya timu mbili tu? Au wengine wacheze saa nane mchana ilihali wengine siyo, pana usawa...
  18. Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
  19. K

    Sakata la Martin Saanya na Nguvu za Wachambuzi Wa Soka Bongo

    Iwapo Kamati ya Maamuzi Ingekaa mara tu baada Ya Dk 90 za mtanange Wa Simba na Geita, huyu Refarii Uwezekano mkubwa Asingepona kufungiwa. Martin Saanya Sasa ni Kama amesafishwa na Upepo umebadilika. Kwamba alitoa maamuzi sahihi. Faulo ya Geita halali.! Japo Wachambuzi wengi Wanaitwa Wachambuzi...
  20. Mkubwa Fella adai hakuna msanii anastahili kulinganishwa na Diamond Platnumz Bongo

    Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella amesisitiza kwamba mwanamuziki anayewakilisha ndiye kigogo wa muziki nchini Tanzania. Akiwa kwenye mahojiano ya hivi majuzi na Mbengo TV, Fella ambaye pia ni mwanasiasa alisema kwa sasa hakuna mwanamuziki anayestahiki kulinganishwa na Diamond Platnumz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…