bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchini Wachezaji wa Timu Bingwa hawajumuiki na wenza wao wakati wa kukabidhiwa kombe?

    Sijawahi kuona hii, shida ni nini? Kule mamtoni ni kawaida sana wachezaji kujumuika na wapenzi wao wakati wa kukabidhiwa kombe.
  4. JamiiForums Tanzania 2015-2023 ten best bongo flavor on my playlist

    Hii ndo list Kali inayotamba kwasasa kwenye playlist yangu ya bongo flavor(kizazi cha Sasa tu), list ipo ndani ya hiyo miaka haitatoka nje!. tulieni tuwafundishe mziki kwa wale msiojua mziki mzuri ni upi!..😅
  5. JamiiForums Tanzania Airbnb za Bongo

    Mnaorentisha watu Airbnb Bongo 90% bora mfunge tu mfungue hostel. Hamjui kabisa how the online world works. Nimesafiri nchi chache zingine Africa but none nimekutana na ukuda wa Bongo. Jaman hii huduma ya kuwa online 24/7 Km huwezi ajiri mtu wa kuwa online at least before your place haijawa...
  6. JamiiForums Tanzania Wachambuzi bongo hakuna tena, wanatumia artificial intelligence kuandaa makala za mchongo

    GOLI KIPA ILI AWEZE KUWA BORA ANAHITAJI KUWA NA VITU VIFUATAVYO⚽ . 1. Uokoaji: Hii inahusu jinsi golikipa anavyoweza kuokoa michomo inayoelekezwa kwenye lango lake. Uokoaji mzuri unahitaji muda wa mwitikio, uamuzi sahihi, na ufundi katika kukabiliana na mipira inayoingia. 2. Mawasiliano...
  7. JamiiForums Tanzania Nikisema mastaa wenu hawana hela hasa bongo sasa Zari wakwenda kuspend element kwa jina alilonalo?

    Hellow africa Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wana habari wengi wa media za Bongo ni mashabiki wa Simba wamejaa fitina

    Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga. Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
  9. JamiiForums Tanzania Bongo movie hazifundishi ujasiri bali msisitizo upo kwenye mahusiano

    Kama ulishawah angalia bongo movie hata kwa uchache wake utagundua bongo movie hazifundishi ujasiri kabisa visa vyao karibia vyote ni vya mapenzi hii imepelekea kuwa na kizazi ambacho sio majasiri Tanzania hatuna majasiri kabisa hii ni kwa sababu mtoto anakua katika mazingira ambayo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

    Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ndio Album 20 za bongo fleva toka muziki uanze

    Not naongelea bongo fleva upande wa kuimba Hizi ndio album bora 25 za miaka 23 1.Tid-sauti ya dhahabu-2001 2.Alikiba-cinderella-2007 3. Lady jay dee - Binti 2003 4. Bushoke -Barua 2004 5.Mb dogg- Si uliniambia 2006 6.Marlaw -Bembeleza 2007 7.Diamond- Kamwambie 2010 8. prince Dully sykes...
  12. JamiiForums Tanzania Usanii na Akili nyingi aliyotumia Prof Jay katika Wimbo wa Bongo Dar es Salaam

    Huu wimbo uliachiliwa Mwaka 2001, katika albam yake ya Machozi, Jasho na Damu. Nitachambua na kuunganisha na Matukio ya sasa ambayo enzi hizo yalikuwepo ila baadhi ya watu wanayafanya kama ni mambo mapya... na uzuri huyu PROFESA Alichimba ndani sana.. 1- Ushoga 2- Umalaya na Kuuza Miili 3-...
  13. JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English. Karibu +++++++++++++++++++++++++++++++++++++ If we don't change, we don't...
  14. 5

    JamiiForums Tanzania Bongo usanii mwingi

    📸
  15. JamiiForums Tanzania Duniani wawili wawili; Hawa ndio mastaa wanaofanana hapa Bongo

    1. Ally Kamwe na Privaldinho 2. Beka Flava na Mayele Ongeza na wako.
  16. JamiiForums Tanzania Ma IT wa Bongo tutengenezeeni hii APP (kupanga/ kupangisha/ kununua etc)

    Habari za muda huu... Leo nimewaza jinsi madalali wanavoharibu soko la vitu TZ ila ni sisi wenyewe ndio tunawaendekeza sana, nikiangalia vyuo vyetu UDSM, DIT, MUST etc etc wanazalisha ma IT kibao kila mwaka ila wote wanaishia kutengeneza website ambazo ndani ya mwaka zinakufa. Leo naomba...
  17. JamiiForums Tanzania Wasanii na Celebrities wa Bongo mjifunze kupitia Colonel Mustafa, maana suala la akiba ni Kitendawili kwenu

    Mapema wiki hii, imetrend habari imuhusuyo aliyekuwa Rapa Maarufu nchini Kenya, Colonel Mustafa baada ya kuonekana akifanya kazi za Ujenzi. Katika mahojiano rapa huyo alikiri kuwa amelazimika kuingia mzigoni ili apate fedha za kumtibia Mama yake aliye mgonjwa wa Saratani. Wakenya wenye roho...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuamini kwenye siasa za bongo kuna miungu watu kiasi hiki

  19. JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo

    Only Legends ndio wataelewa hili jibu.
  20. JamiiForums Tanzania Nataka niagize Dye za kurudisha rangi za nguo zilizopauka rangi na kuchuja, Nipeni mawazo yenu ya ziada kuhusu hii business idea kwa bongo

    Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi. Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…