bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga. Wengi wasichokijua nyuma ya pazia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaofanya mashirika ya UN kama UNHCR, WFP hapa bongo huwa wanakatwa kodi na NSSF?

    Hivi ukifanya kazi UN kama WFO na UNHCR hivi unakatwa Payee na NSSF? Asante
  3. JamiiForums Tanzania Tuchemshe Bongo kidogo, huyu mchezaji ni nani?

    Je, Huyu Mchezaji ni nani? Ameshinda Ballon d'Or Copa America La Liga Copa del Rey Kombe la Dunia Klabu Bingwa Dunia Mfungaji Bora World Cup Mfungaji Bora Ulaya Mchezaji Bora Ulaya Amecheza Klabu 4 Kubwa Ulaya Pamoja na mafanikio yote hayo, Mchezaji huyu hajawahi kushinda Taji la Ligi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza..... https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
  5. JamiiForums Tanzania Tushirikishane Beats (instrumentals) za Bongo Flava

    Habari zenu wanajukwaa? Hii ni kwa wale wapenzi wanaopenda kusikiliza beats mbalimbali za ngoma kali.. Beats nyingi ambazo zipo mtandaoni ni za ngoma za nje ya Tanzania tu, Za TZ ni chache sana japo kuna ngoma kali zinatengenezwa bongo na zina beats kali sana Hivyo basi, Kwa wake wapenzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Pampers na boxer zimeanza kutumika miaka gani hapa Bongo?

    Kichwa cha Habari kinajitosheleza. Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
  7. JamiiForums Tanzania CHEMSHA BONGO: Watakaopata wana IQ zaidi ya 100, Kwa kutumia Hints Jibu swali kwa mtiriko husika

    Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi.. Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
  8. JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga ashangazwa na mambo yanayoendelea soka la Bongo

    Tangu nimeingia kwenye mpira wa Tanzania, kitu ambacho nimekua sifurahishwi nacho ni kwamba Yanga ikiwa na jambo flani ikaenda kwenye taasisi yeyote hapa nchini, taasisi hiyo itapeleka jambo ambalo mnataka kufanya upande wa pili eti isionekane inapendelea upande mmoja. Nina mifano hai, Yanga...
  9. JamiiForums Tanzania Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  10. JamiiForums Tanzania CHEMSHA BONGO: Nina Uhakika watakaopata Hawatazidi hata Kumi, "KIPIMO CHA IQ"

    ☆☆Tupunguze Stress kwanza ¤☆☆☆ Angalia Video kwa makini sana Na ukipata Jibu niambie hapo Chini hiki ni kipimo cha IQ na utambuzi wa haraka na ueleze umepataje jibu Kila Nikikumbuka Jibu la Hilo swali lilivyopatikana Namuangalia Huyo mzee nacheka Sana maana Alivyoona wenzake wamepata ndo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Unaweza ukawa na PhD ya Bongo na Performance yako ikawa sawa au Chini ya Mtu Mwenye Degree Moja

    Nimefanya kazi na watu watu wenye elimu (academic performance)mbalimbali na uzoefu mbalimbali (working experiences) kwenye fani mbalimbali (faculties). Kwa sasa ninaweza kuthibisha kati ya waliofanya kazi na mimi basi wale waliokuwa na PhDs walikuwa na ufahamu na ufanisi mzuri (competency and...
  12. JamiiForums Tanzania Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia amerogwa huyo siyo akili zake

    Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia ndugu na majirani wakisema amerogwa huyo siyo akili zake
  13. JamiiForums Tanzania Concious Lyrics za BONGO HIP HOP

    ...
  14. JamiiForums Tanzania Ligi ya Tanzania inakuzwa na watu wa nje, viwango vya wachezaji wetu (timu ya Taifa na vilabu) bado

    ....
  15. JamiiForums Tanzania Bongo new york ( album ya soggy doggy)

    SOGGY DOGGY ANTER. Jamvi la Ukwaju wa Kitambo lilibahatika kupiga stori na Msanii mkongwe katika Game ya Bongo fleva soggy doggy. Tulibahatika kuzungumza mengi ila kwa faida ya wafuatiliaji wa page hii ya "ukwaju wa kitambo" Mazungumzo hayo ni kama ifuatavyo: Ukwaju wa Kitambo :- brother...
  16. JamiiForums Tanzania Bongo movie wapi mnakwama?

    Taasinia ya Sanaa ya michezo ya kuigiza hapa Tanzania inapitia changamoto nyingi sana zipo tunazoziona sisi mashabiki na pia zipo wanazokumbna nazo wasanii husika. Binafsi hiz ni baadhi ya changamoto ninazoziona kama mdau. 1. UKOSEFU WA SIMULIZI ( STORIES)NZURI. story nyingi za hapa kwetu...
  17. JamiiForums Tanzania Tv online za bongo 92% hakuna ubunifu wala kutofautiana, zote zinafanana

    kuna msemo unaotumiwa na ccm ukiwafanya watu wawe maskini watasikia njaa na hiyo njaa itapunguza kufikiri na kuwaza. Yani hizi tv online za bongo hakuna ubunifu ili mradi tu wakusisitizia ulike na follow tv yao.wakati wengine ukiingia hayo mambo uwezi kukuta ila kilicho andaliwa kitakufanya...
  18. JamiiForums Tanzania Kama kuna timu hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita na Simba ipite mbele.

    Simba kuwapa watu dozi nzito ni kawaida yake, kama kuna timu yeyeto hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita upite mbele.
  19. JamiiForums Tanzania Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

    Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kupata taarifa za Wasanii wa Makundi ya Bongo Fleva

    Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao 1: Living with Purpose (LWP) 2: Big Dog Pose (BDP) 3: Waswahili by Nature 4: Manzese Crew 5: Wandago 6: Wateule 7: Watengwa 8: Daz Nundaz 9...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…