Naomba kupata taarifa za Wasanii wa Makundi ya Bongo Fleva

Benaire

JF-Expert Member
Dec 13, 2011
1,958
306
Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao
1: Living with Purpose (LWP)
2: Big Dog Pose (BDP)
3: Waswahili by Nature
4: Manzese Crew
5: Wandago
6: Wateule
7: Watengwa
8: Daz Nundaz
9: Manyema Family
10: Muzimuni
11: Solid Ground Family
12: Mabaga Fresh
 
1. LWP kulikuwa na Slota, Ally G na Rockman
2. Drezzy Chief, Drezzy Computer, Callymoor, Issa
 
8. Daz nundaz, iliundwa na Ferouz, Daz Mwalimu(Daz baba), Sajo, La Rhumba na Critic
images%20(1).jpeg
 
Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao
1: Living with Purpose (LWP)
2: Big Dog Pose (BDP)
3: Waswahili by Nature
4: Manzese Crew
5: Wandago
6: Wateule
7: Watengwa
8: Daz Nundaz
9: Manyema Family
10: Muzimuni
11: Solid Ground Family
12: Mabaga Fresh
#9 - Chegge,Dede -goma lao lililowatambulisha mjini ni - Jinsi tulivyo sisi ft Juma nature kundi kutoka kigoma
 
Back
Top Bottom