Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,256
- 6,893
Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano.
🇹🇿Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000
🇹🇿 Mwisho wa mwaka atapigwa value retention fee ya 6%=10,000,000*6%*5=3,000,000
Jumla yadeni =18,000,000
➡️Kwa mwezi atakatwa 500,000* 15%=75,000
➡️ Kwa mwaka atalipa Jumla 75,000* 12=900,000
➡️Huyu mwisho wa mwaka ataongezewa tena6% ya value retention fee=10,000,000*6%=600,000
➡️This means kwa mwaka atakua amepunguza (18,000,000 - 900,000=17,100,000)
🇹🇿Then watamuongezea Tena laki sita ka value retention fee,=17,100,000+600,000=17,700,000
✔️It's very obvious huyu mtu ataendelea kulipa hili deni for the rest of his life. Halitokuja kuisha.
➡️Mungu wabariki decision makers wetu ili wawe na upeo na akili ya kutambua.😭
➡️ Kwakuwa UVCCM pengine wao hawalipi huu mkopo ndiyo maana wanakuja na nyuzi za ajabu ajabu kila siku, laiti wangekuwa wanalipa wasingekuwa wapumbavu kiasi Cha kutokujua unyama unaotendeka.
➡️Mzazi if unapesa msomeshe tu mwanao...hii kitu inaitwa Mikopo Ni mateso makubwa
KWA MWALIMU WA SERIKALINI MWENYE DEGREE DEGREE..
➡️MSHAHARA Aprox. 713,333
➡️ Ukiwa hajalipa mkopo kwa miaka saba atakua anarudisha (713,333*(15/100)=107,000/
➡️Kwa mwaka atakua amekusanya 1,282,999
➡️Huyu atakua amepunguza (18,000,000- 1,282,999= 16,717,001)
➡️ Akiwekewa value retention ya laki sita atabaki na deni la=17,317,001