block

A block of the periodic table is a set of elements unified by the orbitals their valence electrons or vacancies lie in. The term appears to have been first used by Charles Janet. Each block is named after its characteristic orbital: s-block, p-block, d-block, and f-block.
The block names (s, p, d, and f) are derived from the spectroscopic notation for the value of an electron's azimuthal quantum number: sharp (0), principal (1), diffuse (2), or fundamental (3). Succeeding notations proceed in alphabetical order, as g, h, etc.

View More On Wikipedia.org
  1. bizzle for shizzle

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA MBWENI JKT BLOCK NO 8 KWA MAMA SAMIA

    Kiwanja kizuri kipo 𝖩𝗂𝗋𝖺𝗇𝗂 na bahari Chenye UKUBWA wa sqm za mraba 1000 kina hati miliki kutoka wizara ya Ardhi KINAUZWA kwa shilingi 450 Milion MAONGEZI YAPO jamani huku ni Pazuri sana BARABARA zote ni lami mpaka baharini wamejenga vigogo wengi wa serikali na kuhakikishia ukifika hauchomoki ...
  2. Erick_Blocks_Machine

    JamiiForums Tanzania Interlocking Block Machine

    Mashine imara ya kufyatua tofali za kuingiana zinapatikana kwet. Mwenge Dar es salaam opposite na SUMA JKT MILITARY BASE Bagamoyo Road. Wasiliana nasi kwa namba 0767798050
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alini block ila now naona kwenye whatsapp yake " Hi there am using WhatsApp " Hii ina maanisha nii wataalamu? Kwamba ame ni unblock? Au?

    Huwaga ana ni block kisha ana ni un block mwenyewe. This time around naingia WhatsApp kuna jina nilikuwa na search herufi ya mwanzo ya jina lake inafanana na ya huyu mtu, so likaja jina lake na tazama naona " Hi there am using WhatsApp". But kwenye profile still bado hakuna picha yake...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua tofali la kuchoma ni imara na bora kuliko tofali hizi za block za cement?

    Tofali za kuchoma ni imara zaidi kuliko tofali za block za saruji. Zina nguvu na uimara mzuri, na zinaweza kuhimili uzito mkubwa, hivyo zinatumika sana katika ujenzi wa kuta za kubeba uzito. Sababu za Uimara wa Tofali za Kuchoma - Nguvu ya Compression: Tofali la kuchoma lina compressive...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan authorities block screening of ‘Blood Parliament’ documentary: BBC

    Kenyan authorities block screening of ‘Blood Parliament’ documentary: BBC By Dennis Musau Published on: April 29, 2025 08:17 (EAT) A Kenyan Police officer fires a tear gas canister towards protesters during a demonstration against tax hikes as members of the Parliament vote the Finance Bill...
  6. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Iwambi block E sqm 1100

    Kiwanja kina uzwa Iwambi block E. Sqm 1100. Bei Tshs 30m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemshauri aoe kaanza kunikwepa na kukata mawasiliano, nimefanya kosa ?

    Ni ndugu yangu huyu mtoto wa baba mdogo Mwaka jana nilimwambia vipi ndoa akaniambia mwaka huu, basi nikaona hakuna tatizo Mwaka ndio umefika huu nikaona nimkubushe vipi kuhusu ndoa, ni ghafla tu kama vile ananikwepa, hata nikimpigia simu atasema ana drive, yupo kikaoni, n.k, Leo nilimuona...
  8. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa mwanadamu ni mawazo yake ( Mental block chain)

    Hapa kuna mpangilio mzuri zaidi wa maandishi yako kwa mtiririko mzuri na uwazi: Nguvu ya Hofu na Sanaa ya Kubadilisha Nishati The Keeper Don Pablo – The Master of The Mind Brotherhood Kumtawala mwanadamu, mpandikie hofu ndani yake, na utateka akili yake yote. Hofu ni nguvu kubwa zaidi...
  9. COMORIENNE

    JamiiForums Tanzania CONCRETE BLOCK MOULDS

    Habari wakuu, ninauliza naweza pata wapi hizi concrete block moulds kwa hapa Tanzania? Ahsante, Natanguliza shukran.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya na mambo mapya JF: Nitawa-unblock wote niliowa-block nikitegemea nao watabadilika na kuwa waungwana katika maandiko yao JF

    Nina list ndefu. Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like. 2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025. Nawatakia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba Tanga-Kange Block 25mln inauzwa!

    Habari, nauza nyumba na Mimi ndio mhusika,ipo Tanga mjini,Kange Area block D. Nyumba ina vyumba vitatu, viwili ni self contained na cha 3 ni master bedroom,ina varandq(sitting kubwa) dinning na kitchen. Niliweka magrili na wiring baada ya ujenzi,ujenzi ulizingatia uimara kwa kuweka msingi wa...
  12. Olaw2jr

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Beam & Block Slab - Gharama na Mafundi

    Habarini Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua: Gharama ya kuweka beam and block slab kwa eneo la takriban mita za mraba 160 Uzoefu wenu na aina hii ya slab - ubora wake na changamoto zake Mapendekezo ya mafundi wazuri wenye uzoefu na kazi hii...
  13. Bemendazole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka kukilamba block kitoto cha 2000!

    Kilikuwa kinapenda kula vijisenti vyangu ila mzigo kinabana. Kwenye maslahi kuna majukumu. Vyangu kale bure vya kwake agome kutoa why? Nimekalamba block kasinizoee kabisa.
  14. Candela

    JamiiForums Tanzania Wameblock telegram? Bila VPN haifanyi kazi

    Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao. More https://www.jamiiforums.com/threads/mbona-telegram-haifunguki.2251573/...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo vinara wa kutembeza block mitandaoni ukiwa kinyume na mawazo yao

    Ukiwa umewa-follow hakikisha hau-comment chochote kilicho kinyume na mawazo yao. Inatakiwa usapoti au upige kimya. Kwenye platforms zao mawazo mbadala hayatakiwi. Followers wao wapo kusifu na kuabudu tu. 1. Malisa GJ 2. Maria Tsehai 3. Wakazi 4. Martin Maranja 5. Nape
  16. cold water

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa Kum - block na kum - unblock X (mpenzi wa zamani) moja kwa moja

    Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja. Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga a view! Mtoto anaishi nae.
  17. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Dora Block: Mateka wa Israel Aliyesahaulika Entebbe

    Jina ni Dora Bloch na siyo Dora Block kama ilivyoandikwa katika kichwa cha habari hapo juu. Na: Mwalimu Makoba Mapema tarehe 28 mwezi Juni mwaka 1976, ndege ya Air France ilitekwa na kikundi cha Popular Front for the Liberation of Palestine na kuilazimisha ndege hiyo itue katika uwanja wa...
  18. Mathanzua

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The growth of BRICS by inviting new members is welcome, but the block needs to be careful

    The growth of BRICS by inviting new members is a welcome development,but the block needs to be carefully because the West may use members to sabotage it. 24 Aug, 2023 The 15th BRICS Summit in South Africa has finally concluded but a lot of murmurs are making their way through the media. Most...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

    Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeambiwa Simba SC wakitumia Low Block na Counter Attack Wydad Casablanca FC anatupeleka Semi Finals CAFCL

    Nami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals? Karibuni...
Back
Top Bottom