Black Madonna: A mysterious statue of virgin Mary

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,478
Wasalaam wana JF

Wanasema kuwa uyaone. Katika pitapita zangu kwenye maandishi na vipindi mahususi vya runinga nilipata kusoma na kuona mjadala kuhusu rangi ya bikira Maria. Kuna sanamu iliyowekwa kwenye makanisa ya kale na awali yakionesha huyo mama kuwa alikua mtu mweusi. Black Madonna

Uweusi huo wa huyo mama unasemwa kuwa ni wa ngozi na asili yaani ni mtu anyesemekana alitokea Africa. Kwa uchache wa maelezo ni kwamba ata huyo aliye mzaa naye alikua mweusi yaani Yesu Kristu.

Sanamu hiyo ya mama bikira Maria ipo pia kwenye makanisa mengi ulaya. NikiItohoa mahojiano ya mtalamu mmoja aliyeuliza kwanini sanamu hiyo iko hiyo hapo chini:

“In 1944, Leonard W. Moss, entering the church at Lucera in Southern Italy, came across his first Black Virgin and asked the priest, ‘Father, why is the Madonna black?’ The response was, ‘My son, she is black because she is black.’

ikiwapendeza mjadala ufanywe bila ya misuguano ya kiimani, nawasilisha.



images.jpeg
 
Back
Top Bottom