birthday

A birthday is the anniversary of the birth of a person, or figuratively of an institution. Birthdays of people are celebrated in numerous cultures, often with birthday gifts, birthday cards, a birthday party, or a rite of passage.
Many religions celebrate the birth of their founders or religious figures with special holidays (e.g. Christmas, Mawlid, Buddha's Birthday, and Krishna Janmashtami).
There is a distinction between birthday and birthdate: The former, other than February 29, occurs each year (e.g., January 15), while the latter is the exact date a person was born (e.g., January 15, 2001).

View More On Wikipedia.org
  1. Happy heavenly birthday Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Siku kama ya leo miaka 64 iliyopita alizaliwa mtoto aliyekuja kufufua matumaini ya Watanzania,shida za Watanzania zikapata ufumbuzi,matatizo ya Watanzania akayanunua na kuwa matatizo yake,ikawa kila mwenye tatizo alikwenda kwake na kutatuliwa tatizo lake,alikuwa mwenye kipaji cha Uongozi toka...
  2. Happy Birthday. Leo ni birth day ya Dr. Slaa.

    Leo ni birth day ya Dr Slaa. Nimeona katika internet. Ingawa yeye alitamka October 28 ndiyo birth day yake. Namtakia Dr. Slaa afya njema na mambo yote mema;yeye,familia yake na rafiki zake.
  3. Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

    Kheri ya siku ya mfanano wa Kuzaliwa Kwako , Comrade Hayati Dkt JOHN POMBE MAGUFULI. Uli wanyoosha sana chawa wa ccm
  4. R

    Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

    Mhe. Kikwete amewaleta kwenye uwanja wa siasa vijana na wazee wengi wanaongara leo. Lakini wasipokumbishwa kumtakia happybithday huyu father may be wanaweza kupotezea. Sisi jukumu letu nikuwakumbusha kuandika hata KINAFIKI kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba mzee kazaliwa. Naona...
  5. Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”

    https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea tena siku yake ya kuzaliwa. Mwigizaji huyo ametoa taarifa hii “Nia na Madhumuni yangu ilikuwa ni...
  6. Happy Birthday to Me…

    Miaka 25 si Haba. Thank God 🙏
  7. A

    Happy birthday Dr Rev Eliona Kimaro

    Heri ya Kuzaliwa Mtumishi wa Mungu Dr Rev Kimaro. Mungu azidi kukupa miaka mingi ya Neema na baraka uzidi kutimiza kusudi lake hapa duniani.
  8. Happy Birthday Tido Muhando, mwamba imara kwenye tasnia ya Habari

    Alianzia redio ya Taifa, Radio Tanzania Dar Es Salaam, kabla ya kuelekea Kenya ambako alifanya kazi kwa miaka mingi kabla ya kujiunga na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC katikati ya miaka ya 1990. Mojawapo ya maswali aliyoomuuliza Rais Magufuli ilikuwa kuhusu Demokrasia nchini na...
  9. B

    Jamani eti ni kweli kumfanyia mtoto birthday ni agano?

    Watu wanasema ukimfanyia mtoto birthday hasa kuanzia akiwa mdogo ni agano. Unatakiwa uendelee hivyo hivyo kila mwaka mpaka atakapo ingia kaburini au wewe utakapo ingia kaburini. .. usipo mfanyia hata mwaka mmoja ( hasa hasa akiwa bado mdogo anasoma) inaweza kumuathiri kisaikolojia pakubwa sana...
  10. Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  11. Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  12. Happy birthday to you To yeye

    Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu, Asante Jehova Asante Mama Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi. Tuitafute amani sikuzote Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini. Mwenyezi Mungu...
  13. Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

    sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu. Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce &...
  14. Birthday and deathday

    Je siku, mwezi na mwaka uliozaliwa unaweza kupredict siku,mwezi na mwaka utakaokufa? According to my research watu wengi hufariki mwezi ule waliozaliwa (sio wote). Kama vile tunavoshare siku za birthday na mtu fulani au watu fulani meaning siku,mwezi na mwaka vikawa sawa basi na deathday ni...
  15. Happy birthday to me.

    Aloooooooooooooo. its my birthday. shukrani kwa mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardho kwa kunifikisha siku hii ya leo. siku muhimu katika maisha yangu. lakini pia nitumie nafasi hii kuwashukuru wazazi wangu huko walipo na Mungu awape umri mrefu zaidi. happy birthday to me.🧁🧁🧁🎂🎂
  16. Happy birthday to me 🎂🎉

    Signed out
  17. Happy birthday to me

    Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kwa kujipongeza kufika mwaka mwingine tena. Nawashukuru wazazi wangu walionileta duniani huko waliko waendelee kupumzika kwa amani. Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kunilinda pamoja na mapungufu mengi ninayo mtendea kwa namna yeyote ile. Na...
  18. Hesabu za Mimba na Birthday

    Anayeelewa hili fumbo. Mimba hadi kuzaliwa miezi ni Tisa. Ila birthday yako ni kila baada ya miezi kumi na mbili. SWALI Sasa pale kwenye tisa ya tumboni na huku kumi na mbili mbona kama tunaiba miezi mitatu isiyo husika katika umri wetu au nyie mnaonaje ?
  19. Happy birthday Bantu Lady

    Helloowww guyss!!! Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday! Mary God bless you and grant you many more years to celebrate! Happy birthday Bantu Lady
  20. Happy birthday to JF member Mwachiluwi

    Wish yah all the best young bro Mwachiluwi, imeisha hiyoo!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…