birthday

A birthday is the anniversary of the birth of a person, or figuratively of an institution. Birthdays of people are celebrated in numerous cultures, often with birthday gifts, birthday cards, a birthday party, or a rite of passage.
Many religions celebrate the birth of their founders or religious figures with special holidays (e.g. Christmas, Mawlid, Buddha's Birthday, and Krishna Janmashtami).
There is a distinction between birthday and birthdate: The former, other than February 29, occurs each year (e.g., January 15), while the latter is the exact date a person was born (e.g., January 15, 2001).

View More On Wikipedia.org
  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Auza kiwanja ili afanye birthday ya mtoto wake

    Hivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli? NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari alipewa yeye baada ya kuongea na dada yake wa mkoani akamshauri anunue kiwanja maana wanaume dar...
  2. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unasemaje 'Happy birthday to me'?

    Hivi wanangu mnaanzaje kuandika maneno kama haya mkitaka watu wawa wish? Are you okay au dish limeyumba somewhere!?
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to you, President Donald J. Trump!

    Better late than never... Happy birthday to you, President Donald J. Trump! As Philippians 4:8 reminds us, “Whatever is true, whatever is noble, whatever is right, whatever is pure, whatever is lovely, whatever is admirable—if anything is excellent or praiseworthy—think about such things.”...
  4. Chakorii

    JamiiForums Tanzania It’s my birthday today

    Karibuni tusheherekee pamoja siku hii muhimu kwangu wapendwa. Ninapokea zawadi kwa mikono miwili. Thank you 🫶🫶 😘😘 🥂🥂
  5. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday To you

    Heeey,. Hope you good. Najua haiwahusu lakini leo ni birthday ya wazazi wangu wote wawili😍😍😍.. ( Wanashare birthdate lakini kila mmoja na mwaka wake)... But naandika huu uzi special kwajili ya Baba yangu Cause najua atasoma kwasabu yupo humu,. Dear Dad,. As we celebrate your 65's birthday...
  6. Smart911

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Mahondaw Wangu

    Today is all about you, Mahondaw, the light of my life, the one who makes my world brighter just by being in it... Every moment with you feels like a beautiful gift, and today, I celebrate the amazing person you are... Your heart, your smile, your strength, and your love inspire me more than...
  7. trudie

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me Trudie

    Kwanza namshukuru sana mwenyezi Mungu kuiona siku ya leo. Happy birthday to me, leo nimetimiza miaka kadhaa duniani hapa. Nimeingia floor ya tatu na zaidi, sina mengi niliyofanikiwa ila namshukuru Mungu kwa machache niliyo nayo na ninajivunia. Kama kuna member nashare nae siku ya kuzaliwa leo...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Halafu mwanaume unawezaje kwenda photoShop kupiga picha za kupost siku ya Happybirthday yako?

    Ni kweli hainihusu kabisa lakini lazima uambiwe ukweli bana. Mwanaume unatakiwa uwe tofauti na jinsia ya kike bana. Mods ni Vyema na haki sasa mkawaorodhesha watu wenye I'd zaidi ya moja maana tunapata upinzani mkali sana kumbe unashindana na jamaa yuleyule mwenye ID 3 😁 Mkiwaorodhesha...
  9. realMamy

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to me Realmamy

    Najiombea mafanikio mengi zaidi katika maisha yangu. 🙏
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Magige Nyerere

    Leo April 21 ni birthday ya Magige Nyerere mtoto wa tatu Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Magige yupo Dar es Salaam sasa hivi. Ni graduate wa UDSM ambapo alipata shahada ya Bsc. Electrical Engineering.
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Leo April 13 ni birthday ya Mwalimu Nyerere. 103

    Hawa waasisi wa Taifa hili wamekuja wamekwenda. Tuna wajibu wa kudumisha amani waliyotuachia. Kama yupo taahira,punguani,muovu, anayetaka kuvuruga amani ya nchi,bado tuna wajibu wa kudumisha amani ya nchi. Kwamba yupo punguani alitaka kuleta vurugu isiwe kisingizio cha kuleta maafa. Leo hii...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Steven Seagal! 🎉

    A very happy Birthday Steven Seagal 🎉 What's your favorite film he's starred in?
  13. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Aliko DANGOTE - Simba wa Afrika

    Leo ni siku ya kuzaliwa ya Aliko Dangote – bilionea namba moja Afrika na mfano wa kuigwa kwa wawekezaji wadogo. Kupitia safari yake ya kibiashara, tunajifunza kuwa mafanikio makubwa yanaweza kuanzia Kwa hatua ndogo kabisa. Dangote alianza na biashara zake Kwa mkopo, aliaminiwa na kukopeshwa na...
  14. Binti Kimoso

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Taikon Master

    Happy birthday Darling. I'm not good in writing sorry for this. To me wewe ni special gift and I always thanks God to have you🥰🥰. You know how much I love you. Mungu akupe maisha Marefu My Micky My super T. Mwaaah!
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Yvonne

    Heri ya Siku ya Kuzaliwa ya Miaka 60 kwa Mwimbaji Mashuhuri wa Afrika Kusini, Mtunzi wa Nyimbo na Mwigizaji Yvonne Chaka Chaka Tunamtakia mwimbaji, mtunzi wa nyimbo wa Afrika Kusini, mwigizaji, mjasiriamali, mfadhili wa kibinadamu, na mwalimu Yvonne Chaka Chaka siku njema ya kuzaliwa leo...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Apigwa na sufuria kisa kukataa kula keki ya birthday

    Mwanamume mmoja huko Kayole, Kenya anayetambulika kama Evans Kidero Okoth anauguza majeraha mabaya kichwani baada ya ugomvi mkali baina yake na muuza bar, anayetambulika kama Mary Angara. Siku ya tukio, Bi Angara alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na alikuwa akiwakarimu vipande vya...
  17. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Video: Birthday kwa mwizi

    Hapa ni maandalizi ya kwenda kukata cake😅
  18. K

    JamiiForums Tanzania Waliozaliwa Februari 29 hawana birthday mwaka huu!

    Habari Wana JF,Leo ni tarehe 01_03_2025 Siku ya Jumamosi, Kwa wale Wasabato niwatakie Sabato Njema. Nilimsikiliza mwanahistoria mmoja,nae aliniambia hivi,hapo zamani siku zilihesabiwa kuanzia tarehe Moja hadi thelasini,Maana yake miezi yote ilikuwa na siku thelasini.Lakini kutokana na...
  19. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Happy birthday the Weeknd

    https://youtu.be/e2PsmMlSP5s?si=9kcGRMlCdNEIXk6A Asantee sana kwa kutupa album kalii ya hurry up tomorrow hapa tunasubiria movie yetu sasa ya hurry up tomorrow happy birthday Ethiopia finest https://youtu.be/ljxYE-aJD3A?si=HsztdoldHBJpglZk Je nyimbo gani kalii unayo ikubali kutoka kwa the Weeknd?
  20. Heci

    JamiiForums Tanzania Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

    Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January. Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb. Inafuata birthday ya mama watoto, she is very much demanding, yaani kwake birthday yake ni kama kamungu kake kadogo, utake usitake...
Back
Top Bottom