A birthday is the anniversary of the birth of a person, or figuratively of an institution. Birthdays of people are celebrated in numerous cultures, often with birthday gifts, birthday cards, a birthday party, or a rite of passage.
Many religions celebrate the birth of their founders or religious figures with special holidays (e.g. Christmas, Mawlid, Buddha's Birthday, and Krishna Janmashtami).
There is a distinction between birthday and birthdate: The former, other than February 29, occurs each year (e.g., January 15), while the latter is the exact date a person was born (e.g., January 15, 2001).
As is the tradition since its launch in 2014, thousands of Ugandans yesterday hit the various streets running in commemoration of the 13th edition of Kabaka Ronald Muwenda Mutebi's 71st birthday run.
Photo credit: Nile post
Sunday’s turnout reflected sustained progress. For the first time in...
Hello April born babies.🥰
Kila mwaka ikifika mwezi kama huu Huwa nakuwa na furaha sana.
Huu ni mwezi wangu wa kuzaliwa na Huwa naufurahia sana.
Naendelea kukua na kuwaza mambo makubwa zaidi.
Mliozaliwa mwezi mmoja na mimi tuendelee kufurahia na kumshukuru Mungu kwa uzima na afya.
Wanawake nimewanyooshea mikono aisee
Yaani hawa wanawake ni hatari aisee
Yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia, gesi imeisha na ndani ya wiki hii ana birthday kwahiyo nimnunulie keki ya happy birthday
Aisee ndugu zangu...
Salaam!
Yaliyotokea October 29,ujasiri ule wa wananchi kutoka kudai haki siku ya uchaguzi,inasemekana ilichangiwa na roho ya uzalendo aliyoipanda hayati Magufuli.
Sasa tunaelekea March 17 siku tuliyotangaziwa kifo Cha Magu, na ukizingatia akiba ya dhahabu mzalendo Magu aliyoitunza benki kuu...
No reform No election
Miaka niliyoingia mwaka huu inaniogopesha kuliko last year
Am 28 years old
Sina ninachomiliki
Age goo
Mit 4:23
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Nilikuwa sina hili wala lile, ghafla sms kutoka Voda ikaingia kwa simu na kunikumbusha kuwa leo ni Bday yangu
Kwa furaha nikatoka ndani ya chumba changu na kusimama nje ya nyumba ya Mzee Matula, nikapiga kelele kwa sauti kuu "Happy Birthdaaaaay to meeeee". Ile kugeuka nyuma nashangaa majirani...
Wana Jf mambo vipi ndugu mko poa nyie mi Niko poa kabisa labda nyie vipi kwenu Ebwana Leo ni siku yangu ya kuzaliwa nimepata ujumbe toka kwenye mitandao yangu aisee wananijali sana wamenikumbuka😭 Sasa Wana JF nimeamua kuja mnitakie pamoja na nyie pamoja na ndugu zangu tuliozaliwa Leo🎉🎊 Happy...
To my man my forever love a partner in crime.To the light of life my Prince Charming, To my soulmate my rock.
To my entire world the man of my dreams. You have always been my number one my favorite.
Happy birthday to my friend my best friend a best friend in deed! Tamu yangu ya muda wote😋💕 I...
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamemfanyia 'suprise' ya Birthday Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche kwa kumletea keki mahakamani ambapo baada ya kesi inayokihusu chama hicho Heche alikata keki akiwa eneo la parking ya Mahakama Kuu Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Happy birthday 🎉 to me..
Happy birthday to me mama mchungaji wa JF...
Asante Mungu kwa kuniongezea zawadi ya mwaka mwingine...
NB: Ujana wangu umeurejesha kama Tai
Swali: Je, wewe Ujana wako umerejeshewa kama Tai...?
Nawasilisha
Kama shughuli au jambo lako la happy birthday kwa mwaka huu bado halijapita naomba nigharamie shughuli nzima, kuanzia ukumbi au kama utaka kwenda beach, vinywaji hata kama unataka kufunga rusha roho au kigoma mm nipo tayari kugharamia.
Nisiengee sana wasije sema Sina Hela watu wa...
Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!.
Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama Alivyonusurika LISSU , hamna asiyemjua.
Jicho la Dunia lote liko linamlinda, popote anapoenda , Mguu wake...
Hivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli?
NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari alipewa yeye baada ya kuongea na dada yake wa mkoani akamshauri anunue kiwanja maana wanaume dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.