Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 718
- 1,643
Watu wanasema ukimfanyia mtoto birthday hasa kuanzia akiwa mdogo ni agano. Unatakiwa uendelee hivyo hivyo kila mwaka mpaka atakapo ingia kaburini au wewe utakapo ingia kaburini. .. usipo mfanyia hata mwaka mmoja ( hasa hasa akiwa bado mdogo anasoma) inaweza kumuathiri kisaikolojia pakubwa sana kiasi cha kutikisa hata future yake .
Je kuna ukweli wowote kuhusu hilo.
N.b: hii inawahusu hata wapenzi na wake . Ukianza utaratibu wa kumfanyia birthday mpenzi wako inabidi uendelee hivyo hivyo kila mwaka. Siku ukiacha italeta tabu kwako kwa sababu ataihusisha n.a. wewe kumchoka kima penzi