binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kumbana Mange kumepunguza sana kasi ya maandamano

    Kwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano. Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa maandamano aliyopanga yeye, na hii Mo 29 kaplay big part, tuliona namna alivyoweza kuunganisha watu...
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti WA kazi amapakua chakula miguu ikiwa amepanua

    Habari wana JF Kuna ishu siipendi lakin pia nina mashaka nayo kwa dada wa kazi nyumbani kwangu. Akiwa anapakua chakula anapanua miguu halafu sahani sufuria kila kitu anaweka katikati ya miguu anaanza kupakua ....? hii haijakaa kishirikiana?
  3. Mwanamke wa mithali 31

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaongea na binti zenu?

    Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ? Siku moja nipo saloon Alifiki binti m,moja Baada ya kuketi Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi HER > GOOD MORNING DADY HIM > MORNING DOTAA HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ? HER > SIM...
  4. Quimica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

    Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea. Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana...
  5. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Nimejitolea kumsaidia BINTI kiasi cha flani cha pesa sasa roho inaniuma najihisi HATIA

    Msaada kisaikolojia tafadhali! Leo niliitwa na mmoja wa waalimu wake kuwa kuna safari wanafunzi wanapaswa waende wiki hii inayoanza. Mwalimu wake alinikuta na watu wa3 tulikuwa tunazogoa. Alivyonitajia kuwa kuna binti mwanafunzi mmoja anatamani kwenda ila pesa hana nikamjibu palepale kuwa...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania NIFFER: Binti Mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji kikubwa cha kudance

    Sio biashara tuu, Niffer pia anaujuzi mkubwa sana wa kudance midundo mbali mbali! Tazama hapa katika video akionyesha umahiri wake katika nyanja ya kudance akiserebuka mdundo wa amapiano kutoka kusini mwa Africa.
  7. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Eti acha wakae na binti yao, mahali hiyo hapana

  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Binti aitwaye Farida ametekwa

    Kwa wanaomfuatilia alikua anahamasisha maandamo na pia alikua anaikosoa serikali, binti mdogo sana huyu sijui atarudi au ndio basi tena KAMA MNASOMA HII MLIENAE HUYU BINTI TUNAOMBA MSIJE MKAMBAKA TUU NA KUMUINGILIA KINYUME NA MAUMBILE HUKU MKIMREKODI MAANA TUNASIKIA NDIO MICHEZO YENU.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kosa la binti huyu mwanachuo lilikuwa nini mpaka atekwe na kuuawa mkoani Mbeya?

    Shyrose alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kumpigia Baba yake simu kumuomba Pesa ili wamuachie huru huku wakimtumia Video fupi wakimuonesha wanavyomtesa. Baada ya kupata Video hizo Baba Mzazi Dkt. Mabula Mahande alituma kiasi kidogo cha pesa ili Mwanae asiumizwe lakini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kibinadamu ilinibidi nilimrudishe binti wa dukani baada ya kujifungua lakini kibiashara nahisi nilikosea heri ningempa mtaji

    Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja, n.k. Akiwa na mimba ya miezi 7 nilimwacha aende kupumzika kwao huku nikiendelea kumlipa, niliweka...
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya binti Iryna Zarutska huko Marekani yamezua gumzo

    Kuna video inaumiza kweli, binti mdogo ambae mi mkimbizi kutoka Ukraine, ameuwawa kwa kukatwa shingoni na jamaa mweusi kwenye train. Ni wazi kua ameuwawa kutokana na rangi ya ngozi yake "White", weusi wengine waliokuepo hawakuonesha kumsaidia binti, alianguka kwenye kiti chake, akavuja damu...
  12. adriz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

    Moja kwa moja . Mimi ni kijana wa Kiume umri miaka 24 nipo Dar , Moja kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni Kufunga ndoa kwani naamini ni katika njia kuu ya kujizuia na zinaa , kujenga heshima na kuishi maisha Bora ya kiuwanadamu na kujenga familia imara pamoja ya yote ndoa ni ibada kubwa...
  13. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

    ( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee Salaam wana jamvi. Mara trekta milioni 10. Mara kusikiliza kero kidigitali. Mara nishati Safi ya kupikia. Tena mitaa ya viwanda sijui...
  14. Mr nobby

    JamiiForums Tanzania Ile post ya Daby kuhusu Best couple ya jf, Mimi naona "BRITANICA na BINTI WA ZAMAN" inafaa kua couple. Nafafanua..👇

    ,
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: MAGAIDI WA KIHOUTHI WAKIWAFUKUZA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA SHULENI KWA MAANA CHINI YA SHARIA HAIPASWI BINTI AENDE SHULE

  16. Zemanda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

    Nazungmzia tukio hili ambalo hadi sasa bado tunasikilizia mrejesho wa kamanda wa jeshi la polisi huko morogoro atupe kisa kizima cha mchumba wa binti huyu kufanyiwa mashambulizi kadhaa ya kimwili. Kwanza niweke bayana kuwa violence dhidi ya wanawake ambao physically ni dhaifu kwa mwanaume si...
  17. Doto12

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

    Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui. Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu. Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
  18. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi la binti alie mwembamba lipo genuine na original kuliko penzi la tipwa tipwa

    Kosa tipwa tipwa ajue unababaika kuhusu yeye Au ajue maisha yako ni ya kuunga kuunga Au ajue wewe ni mnyonge utapelekeshwa balaa mnoo kama gari taka. Naona kila siku mabinti wembamba ndio wanaolewa na unene wanaenda kuupatia ndoaani na hata wakiwa wanaoelewa wakiwa wanene hauwezi kuta wana...
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta binti Salaf wa kuoa

    NATAFUTA BINTI WA KUOA. Email yangu natafutamke872@gmail.com Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi Urefu: 158 cm Umri: 30 Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa. Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani. Elimu ya...
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Una neno gani la kumtia moyo huyu binti?

    ]
Back
Top Bottom