binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni kama macho ya taifa zima sasa hivi yamegeukia kwenye makalio ya huyu binti, sasa hivi hata kama ukija na uvumbuzi wa kisomi watu hawatakuelewa🤣

    Bongo ni nchi ya trend sanaa🤣🤣🤣 Its crazy kwamba ina just overnight makalio ya mtu yanaweza mbadirishia maisha ila kuna jamaa konki kichwani tangu 2018 anasaka ajira na anapita aptitude na oral tests zote ila wapi, LIFE🤣
  2. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

    Wasalaam We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6. Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda...
  3. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa vijana, kutoka kwa Binti kiziwi

    Kwa vijana ambao ndio mnatafuta maisha basi hakikisha usitafute mwanamke wa kujenga naye maisha, tafuta maisha yako mwenyewe ukipata omba Mungu au shirikisha mizimu na ushirikishe akili upate mwanamke wa kujenga naye familia.
  4. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 20 ukimkuta Bikra huyo ni Wife material. Muoe. Usikubali kuoa mwanamke asiye na bikra

    coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe. Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine. Bikra Matter
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mpumbavu ni yule anaye mfukuza binti yake kisa kapata ujauzito au kumlazimisha binti yake aolewe na jamaa aliyempa ujauzito

    Bwana ni mwema wakati wote. Wewe mwanaume mpumbavu unayemfukuza nyumbani binti yako kwa sababu kapata ujauzito akiwa nyumbani nakukumbusha tu kuwa DUNIA HAINA HURUMA. Iwapo wewe mzazi umeamua kumtimua na kumbwaga aende mtaani kumbuka huko ndo ataharibikiwa zaidi na hakika machozi yake...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Anahitajika binti wa kufanya kazi stationery

    Anahitajika Binti wa kufanya kazi stationery, SIFA: Awe na uzoefu wa kufanya kazi stationery Anajua kutumia computer Mwaminifu Awe na umri 20-25 Awe ni mkazi kati ya haya maeneo Mbezi kimara, Kinyerezi Malamba Mawili na Segerea. Mwenye SIFA hizo aje PM
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuruhusu Binti yako aolewe na kizee ni ishara umedharaulika na wewe ni Maskini wa Kutupa!

    KURUHUSU BINTI YAKO AOLEWE NA KIZEE NI ISHARA UMEDHARAULIKA NA WEWE NI MASKINI WA KUTUPA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unapoambiwa utafute pesa na nguvu, na kujenga Milki, himaya yako watu humaanisha kweli. Na hulenga Mambo mengi Sana Pesa sio ulinzi tuu kwako bali pia ni ulinzi kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mama mzazi ni mdogo kuliko mume wa binti yake

    Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu. Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
  9. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Huyu binti wa kilokole nimemuoa anataka aende round 20 kwa siku kwenye tendo la ndoa, me nifanyaje?

    Kwan wana ndoa wapya kwa siku mnaenda round ngap? 2 au 3? Mbona mwenzenu amepata mke anataka round 20 kwa siku? Afanyaje? Mshaurini? Ila binti wa kwa Yesu unataka round 20 aje sasa? Au alikuwa hajaokoka binti wa watu?
  10. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi wapo?Anachozungumza huyu binti anakiamini?

    Ni kweli wanawake mnaamini katika analosema huyu binti?
  11. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

    Buenas Domingo amigos! Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005 Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli...
  12. Mkuna mgongo

    JamiiForums Tanzania Sitasahau Kwa mara ya kwanza nilishindwa kusimamisha mbele ya binti

    Mjimushileee....!! Ilikuwa maisha ya chuo yaani maswala ya kuishi geto la kupanga uswahilini. Nyumba niliyokuwa nimepanga kulikuwa na nyumba kubwa ambayo akiishi baba mwenye nyumba na familia yake pamoja na baadhi ya wapangaji, na nyumba ndogo ya uwani ambyo iliweza ku accommodate watu 3. mimi...
  13. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania EWE BINTI TAMBUA THAMANI YAKO.

    Habari wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojibainisha, kwenye jamii ya leo kumekuwa na mabinti au wanawake wengi wasiotambua thamani yao. Ndo maana leo hii huko mashuleni, vyuoni na makazini mabinti wengi wamejengewa sifa zisizo nzuri. Mabinti wengi wanaruhusu miili yao kuchezewa na wanaume...
  14. mudytawaleni1802

    JamiiForums Tanzania Matukio katika jamii zetu, Mabinti wawili wakipiga story ndani ya daladala

    Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala: Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ? Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄 Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔 Binti 2: Awe milionea ..! 🙄 Binti 1: Je asipopatikana ? 🤔 Binti 2: Awe japo na laki tano ..! 🙄 Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Vijana mnafeli wapi mpaka binti kama huyu anafika 29 yupo single ?

  16. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti au mchumba

    LEO ULIJUE HILI Tofauti Sahihi (Kibiashara): 1. New Phone (Mpya Kabisa) Haijawahi kutumika. Imefungwa (sealed) moja kwa moja kutoka kiwandani. Inakuja na warranty ya kiwandani. Hii ndiyo aina ya juu zaidi na bei kubwa zaidi. 2. Refurbished (Referb) Simu iliyowahi kutumika (labda ilikuwa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti yangu; ukiona Dalili hizi kwa Mchumba anayetaka Kukuoa kimbia haraka Sana

    BINTI YANGU; UKIONA DALILI HIZI KWA MCHUMBA ANAYETAKA KUKUOA KIMBIA HARAKA SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwanza nilikuambia unatakiwa ujitegemee na uweze kujimudu mahitaji yako ya msingi. Huo ndio UTU wako. Na hiyo ni Moja ya sifa kuu ya Mwanamke Bora atakayekuwa Mama Bora na Mke...
  18. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania JE single Father nae anaruhusiwa kuowa Binti kigoli ambaye ni mgeni kwenye ntansinia ya mapenzi?

    Salam kwenu wakuu! Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae...
  19. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

    I hope everyone is doing well. Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga. Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe. Huyu binti ana 22years, amesoma...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wazazi wangapi wasomi hapa Tanzania wanaolea mtoto kama ambavyo huyu binti anavolelewa ?

    binti wa miaka saba akiwa anakamua maziwa kwenye ngombe wa nyumbani kwao binti akiwa bandani anafuga zake kuku
Back
Top Bottom