binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatuweze kuwa na ligi binafsi nje ya TFF?

    Huyu kidao bifu zake binafsi na roho mbaya imezidi
  2. R

    JamiiForums Tanzania Anayekwenda Moshi mchana kwa usafiri binafsi toka Dar jumatatu ijayo tuwasiliane

    Habari wakuu, Kama kuna yeyote anayesafiri kwa usafiri binafsi (Noah au gari nyingine yenye nafasi ya kutosha) kutoka Dar kwenda Moshi mchana kuanzia saa tisa siku ya jumatatu tarehe 20/03/2023 na ana nafasi ya watu wawili tafadhali tuwasiliane inbox. Shukran.
  3. JamiiForums Tanzania Malezi: Salamu kwa Serikali na Mashirika Binafsi

    Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana, lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu walitokea familia za aina gani? Utagundua familia hizo ni za walevi au baba...
  4. JamiiForums Tanzania Hili la Mgombea Binafsi tusipopaza sauti zetu hakuna mwansiasa wa kulisemea

    Katika harakati za kudai na kukumbusha katiba mpya suala la mgombea binafsi haliungumzwi kabisa. Si CHADEMA, ACT, CCM au chama chochote cha siasa wa kulisemea hili. Hii ni kwa sababu wote wanaangalia maslahi yao hivyo hawawez kulipigania hili. Sisi ambao tungetamani sura halisi ya uwakilishi...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakukubali wewe binafsi ila CCM hapana. Utaondoka na roho yako nzuri ya upendo ila CCM katili inaweza kubaki au kurudi tena!

    Mh Rais Mimi kama mwananchi wako sina tatizo na Samia Suluhu Hassan Nina tatizo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiondoka wewe anaweza kuja mtesi mwingine Watanzania tukalia tena. Binafsi kwangu umenimaliza kama Samia Suluhu Hassan ila kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Je, maridhiano ya CHADEMA ni kwa maslahi binafsi au kwa maslahi ya Wananchi?

    Chadema wana furaha, wana tabasamu usoni mwao, je nini wanafurahia!? Kula asali ni kuongea maneno ya busara, sasa Chadema wanaongea mambo ya busara na kutenda kwa busara, je wanakosea? Amani ndiyo msingi. Je, Chadema wameacha harakati zao kutaka kushika dola, ndio hawana dhamira ya kushika dola...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Raisi Samia anatumia akili kukuza uchumi na sio hisia binafsi

    Namshukuru Raisi Samia kwa kutumia akili na maarifa kukuza uchumi wetu bila kuweka mbele hisia binafsi. Hisia binafsi ni pamoja na kuweka ukanda, ukabila na uchama mbele ya Tanzania kwa ujumla wake. 1. Kitendo cha kuelewa katiba ni muhimu kwa uchumi wetu. Hasa kwenye sheria za kibiashara na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Sekta Binafsi inasaidia kukuza Uchumi?

    Mikopo inayotolewa kwa sekta binafsi imezidi kuongezeka kutoka 7.8% mwaka 2021 hadi 22.5% mwaka 2022 pia imeongezeka zaidi hadi kufikia january 2023 imefikia 23.1%. Hii inaashiria kuimarika kwa uchumi na utendaji wa sekta binafsi unaochagizwa na sera bora za serikali ya Rais Samia Suluhu...
  9. JamiiForums Tanzania Samia awapiga ‘stop’ mawaziri kuajiri maofisa habari binafsi

    Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka wizara kujibu kauli za upotoshaji zinazotolewa na wanasiasa kuhusu utendaji wa Serikali. Katika kulitekeleza hilo, amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi, badala yake wavitumie vitengo vya habari kutoa taarifa za Serikali. Rais Samia...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kadyrov wa Chechnya ana mpango wa kuanzisha Jeshi binafsi kwa kuwa Wegner wamemkosha

    Kiongozi wa Chechnya ambaye ni kipenzi mkubwa wa Putin amepongeza na kusema kuwa shughuli za jeshi binafsi la Wegner zimemfurahisha hivyo anasema ataanzisha jeshi maka hilo pale atakapotoka madarakani Chechnya's Kadyrov plans mercenary group, praises Wagner Story by dw.com • Sunday 248218 The...
  11. JamiiForums Tanzania Maoni yangu binafsi kuhusu dini

    Nimelelewa nikiaminishwa kwamba mimi ni bora kuliko kundi lingine la kidini (Nikiwa Mkirsto) nikaaminishwa kuwa jamii yetu ni jamii bora na nikaaminishwa kuwa hakuna la muhimu kwa wengine ila kwetu tu. Lakini nikawa ninajiuliza ni vipi Dini inafundisha utengano mkubwa kiasi hiki. Niliishi na...
  12. JamiiForums Tanzania Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Ina Maana Gani Kwako Kama Mwananchi?

    Hatimaye Tanzania imepata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo na wanaharakati wengi wa masuala ya haki za binadamu waliokuwa wanataka sheria hiyo iwepo ili taarifa binafsi za watu ziweze kuwa salama. Mnamo Januari 31, 2023, Spika wa Bunge Tulia Ackson...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wenye mamlaka wanapogeukia mambo binafsi

    Kufuatana na kichwa hapo juu, nimeandika kwa wanajamii forums yaliyonikuta ili kupeana mawazo. Nilikumbana na usumbufu sana kutoka kwenye wenye mamlaka kunishinikiza nimlipie mwanangu ada kwenye shule za kulipia! Huyu mwanangu alikuwa akisoma shule ya kata hapa Dodoma, lakini mama yake na...
  14. JamiiForums Tanzania Tumia njia zako binafsi kutatua changamoto zako, usipige kampeni wote tutumie njia zako

    Kama wewe binafsi umeona CHANGAMOTO ZA NDOA zinakwepwa kwa kutokuoa...basi BAKI HIVYO HIVYO NA UFUSKA WAKO USIOE... Sio kutwa kushinda kusambaza kampeni ya KISHETANI usioe...eti kisa ndoa ina changamoto nyingi... Mkimaliza kukimbia changamoto za ndoa kwa wanawake...mtakuja kupiga kampeni juu...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ina chakujifunza kutoka sekta Binafsi

    Wote tunajua kuwa Serikali haina fedha na ndio sababu Mama Yetu mpendwa anajitahidi Kwenda huko nje kukopa ILA cha kushangaza kila mwaka unasikia Mabilioni yameibiwa…. Na kingine cha kushangaza, nikupata hizo taarifa za wizi ulifanyika baada ya miezi kadhaa napengine miaka kadhaa. Hii...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kushirikiana kibiashara kupitia sekta binafsi

    07 Feb, 2023 SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo mbili yaliyofanyika hivi karibuni mjini Washington...
  17. JamiiForums Tanzania Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

    Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria? Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa...
  18. JamiiForums Tanzania Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wanaotuambia wanachama kuzifanyia promo shule za binafsi nchini watoto wao wanasoma shule za serikali?

    Nimeona imetolewa hoja kwamba kutangaza mwanafunzi Bora au kutangaza shule Bora nikuzifanyia marketing shule binafsi. Aliyetangaza au kutoa TANGAZO hili simfahamu historia yake lakini natabiri kwamba watoto wake aidha wanasoma au walisoma shule nzuri za private . Ametuambia NI vigumu...
  20. JamiiForums Tanzania NECTA yaacha Utaratibu wa Kutangaza Wanafunzi bora na Shule bora kwa Kidato cha 4

    Baraza la mitihani NECTA limesitisha utaratibu wa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora wa matokeo ya kidato cha nne Kaimu katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania NECTA Athumani Salumu Amasi amesema utaratibu huo wa kutangaza shule bora ulikuwa unazitangazia biashara baadhi ya shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…