Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
Kila nikimsikiliza rais Samia kuhusu mtazamo wake kushirikisha sekta binsfsi kutoa huduma kwa umma nakua na mashaka.
Sekta binafsi ni watafutaji wa faida. Dhana ya kusema serikali ishirikiane na sekta binafsi kutoa huduma kama afya elimu etc lazima itafsiriwe vyema isiweze kutumika vibaya...
Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu.
Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za bure na kwa namna fulani tumekuwa tukifurahia na kuunganisha vifaa vyetu kwa na mitandao hiyo. Maeneo...
Rais Samia akitoa hotuba katika kongamano la kumuenzi Hayati Benjamini Mkapa linalofanyika Zanzibar leo 14/ 7/ 2022 amesema kuwa watu wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha kasi ya maendeleo ya taifa letu.
Lakini Serikali imekuwa na uzito katika kuwaamini sekta binafsi, wanapotaka...
Yaani unamiliki Simu ya Tsh 700,000/= halafu unaingia Mghahawani Kula unakosa Hela ya 'Kiepe' na kusubiri 'Kudoea' kwa Shoga (Rafiki).
Na ndiyo hawa hawa hata ukikutana nao katika 'Daladala' wanatumia muda mwingi kutafuta "timing' ya Kumkwepa Kondakta ili tu asimlipe Tsh 400/= yake.
Na hata...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee ameshauri Serikali kupunguza kodi katika ndege zinazotumika kwa utalii Nchini akisema inatakiwa kushuka na ikiwezekena ifike hatua kumiliki ndege binafsi liwe jambo la kawaida.
“Kamati imesema ndege za kukodi zimepungua kutoka 200 hadi 105, ifike kipindi...
Observation hii nimeifanya kwa muda mrefu, nimeongea na watumishi waliojiriwa na kufanya kazi private sector Kisha wakajiriwa serikalini, waliofanya kazi maisha yao yote private sector na wafanyakazi waliojiriwa serikalini kisha wakajiriwa private sector na waliojiriwa na kufanya kazi maisha yao...
Salaam Wakuu,
Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini:
Picha> USB Cables za aina mbalimbali
Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
Waziri wa Fedha amesema kuna matato ya Serikali yanaingia kwenye mifuko binafsi ya watu badala ya kwenda Serikalini.
Amesema kuwa hali hiyo hutokea kwenye ukadiriaji wa kodi au uuzaji wa bidhaa, amesema unakuta mtu anamwambia mteja nikupe bei ya Kupata na risiti au bei ya bila risiti?
Unakuta...
Kwenye mfumo wa AC kuna kitu kinaitwa Cabin Air Filter, Hichi kifaa kinasaidia upate hewa safi kwa kuchuja vumbi, uchafu na chochote kisichotakiwa kufika ndani ya gari[harmful pollutants].
.
Sasa watu wengi hatukijui so huwa kinakaa kinajaa uchafu kinaziba au kinafanya upenyo wa hewa kuwa wa...
Wakuu habari!
Naulizia Kama Kuna mwenye usafiri wa private kutoka DSM kwenda MWANZA ndani ya wiki hii tuchekiane PM,Nina kiasi Cha kuchangia mafuta na ninahitajika kufika Mwanza kabla au siku ya Alhamisi.
Ahsante!
Kuna mamia kama siyo maelfu ya mabilionea wa kirusi wamepokonywa mali zao na marekani na washirika wake kwa kisingizio eti wako karibu na Putin!! Huu ni unyang'anyi na ujambazi
Mtu kama Abramovich amepokonywa mabilioni ya dola pamoja na meli zake binafsi, majumba, klabu yachelsea, ndege binafsi...
Taarifa Binafsi ni maelezo fulani ambayo yanamtambulisha mtu, au kueleza jambo fulani kuhusu maisha yake.
Taarifa Binafsi huweza kuwa majina ya mtu, namba ya simu, mwaka na tarehe ya kuzaliwa, dini, kabila, mahali anapoishi na mengineyo yanayombainisha mtu fulani.
Aidha, vifungashio...
Japo kwa uchache jitahidi kupata private moment ya kufanya tafakuri wewe mwenyewe (saivi wanasema wewe kama wewe), ukiwa kwenye utulivu mbali kabisa na makelele ya binadamu mwingine awaye yeyote yule not even your wife, michepuko or even your kids.
Inasaidia kuipa akili utulivu stahiki wa...
Hili lipoje , mnapomaliza chuo na mkafanikiwa kuajiriwa , mmoja akijiriwa sekta binafsi na mwingine akajiriwa serikalini hasa hizo ajira za local government, maisha ya aliyeajiriwa private sector huwa mazuri ukilinganisha na wale wa serikalini,lakini as time goes on wajiriwa wa serikali maisha...
Dada mdogo wa marehemu mke amesema dada yake alimwambia kashachoka kutukanwa na mumewe na hadhani kama ndoa ina manufaa, mdogo mtu aliendelea kumshinikiza amalize mgogoro kwani yeye anaona wanagombania kitu ambacho hakipo hivyo rahisi kusuluhisha. Mdogo mtu alikuwa anaishi kwenye nyumba nzuri ya...
Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata sifa hawana. Tulifikia mahali ambapo wahitimu form six walikua wanapangiwa vyuo vikuu binafsi kwanza...
Katika Mambo tuliyopumbazwa na mabeberu ni kuacha shughuri za uzalishaji na kutegemea kukusanya Kodi Pekee Hilo kosa kubwa Sana na ,tunatakiwa kubadilisha mind set zetu Mambo mengine ni mtambuka siyo Kila kitu sekta binafsi, project ya baharini kuvuna Gesi inagharimu Kama trillion 7 lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.