binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wengi Hawahoji Maisha? – Safari ya Kifalsafa, Kisaikolojia na Kihistoria ya Udadisi wa Akili ya Binadamu

    Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo ambalo linapaswa kuchunguzwa kwa undani? Hili ni swali la msingi ambalo kila binadamu anapaswa...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

    Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania. katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
  3. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya nyuklia ya Marekani yaleta tishio zaidi kwa ustaarabu wa binadamu

    Wizara ya Nishati ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kukamilika kwa utengenezaji wa bomu jipya la nyuklia aina ya B61-13. Wakati dhana ya jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu inazidi kukubaliwa duniani, Marekani inaenda kinyume na kutishia usalama wa binadamu wote kwa kuboresha silaha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania HAKI za Binadamu na UHURU wa Kisiasa

    Mandhari ya haki za binadamu na uhuru wa kisiasa nchini Tanzania yanaweza kuathiri ikiwa Lissu atakabiliwa na mashtaka ya Uhaini, Njia ya nchi katika kukabiliana na upinzani na wapinzani inaweza kubadilika, na matukio mapya yanaweza kutokea ambayo yanaweza kusababisha mashtaka au taratibu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa binadamu hajajua alitokea wapi!

    Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi? Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la...
  6. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania HAYA WIMBO WA WANAUME WATETEA HAKI ZA BINADAMU, THE LAST MAN TZ ASHIKA KIJITI CHA ROMA MKATO

    YouTube https://youtu.be/lr1WEEFWsR0?si=j7pi7_Rb-5u9jwcI Full video
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania GROK: Mjue Faustin Mafwele na matendo yake dhidi ya binadamu

    Je Faustin Mafwele ni nani? Kwa nini analalamikiwa sana? Kwa mujibu wa AI ya GROK iliyopo mtandao wa X:- Faustine Mafwele ni afisa wa jeshi la polisi la Tanzania, ambaye kwa sasa ana cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (Assistant Commissioner of Police - ACP). Ameshikilia nyadhifa mbalimbali...
  8. Qs Cathbert

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi binadamu hatuna plate number kama yalivyo magari na vyombo vingine vya moto?

    Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
  9. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  10. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Leo nimeshangaa kumbe Kuna binadamu wanaishi kwenye kiwanja ukubwa wa mita 10x10 hivi unajengaje kwenye hiki kiwanja ukaishu

    Naomba kuuliza hivi unawezaje kuishi kwenye kiwanja Cha ukubwa huu yaani nashindwa kuwaelewa Hawa jamaa Leo nimepita sehemu nimekuta hiki kituko tena familia kubwa tu inafanya usafi kwenye kiwanja chao aisee tafuteni hela acheni ujinga viwanja vya 10x10 ni kiwanja kweli
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maoni ya mashirika ya haki za binadamu na jumuiya za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu

    Kukamatwa kwa Tundu Lissu mnamo Aprili 9, 2025, kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa mashirika ya haki za binadamu na jumuiya ya kimataifa. Mashirika haya yameelezea wasiwasi wao kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu na kudhoofika kwa demokrasia nchini Tanzania. Kauli za Mashirika ya Haki za...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Binadamu ameumbiwa kukumbuka, basi, tusijisahaulishe na kujitoa ufahamu!

    Anaamka mtu na pombe zake kichwani na kutamka eti, tuna Rais katili sana, nacheeka sana, wanasahau ya kwamba, hata mikutano yao ilizuiliwa, wengine walipasuliwa mifupa, wengine walikimbia nchi mazima, wengine waliwekwa kwenye viroba, kweli shukurani ya punda ni mateke, eti wanasahau kabisa, ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu 'Kurejea kwa watu wasiojulikana'

    https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka 2024. Ripoti hiyo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ripoti ya 23 tokea walipoanza utaratibu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa na Kamisheni ya Afrika ya haki za binadamu kwa kukuza na kulinda haki za kiraia

    Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna Nchini ya Tanzania inavyokuza na kulinda Haki za Kiraia, Kisiasa, Kiuchumi, Kiutamaduni na Kijamii. Hayo yamewekwa bayana na Mwenyekiti wa Kamisheni...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Syria ikipenda wanaweza kuwafunza adabu Israel nayo ikaanza kuwaheshimu binadamu wenzao

    Inachofanya Israel kwa mataifa jirani ni utovu wa nidhamu mkubwa na kudharau utu wao.Mtua anayekudharau kupitiliza na kukuvunjia heshima lazima utafute mbinu naye umfedheheshe hadharani. Kuingilia mambo ya ndani ya Syria kiasi hiki ni jeuri kubwa ambayo inapasa kujibiwa kwa namna bora...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kwa nini binadamu tulinyimwa uwezo kama waliopewa viumbe hivi?

  17. Right Marker

    JamiiForums Tanzania "Elimu na connection" ni kama binadamu na ngozi yake.

    "ELIMU NA CONNECTION" NI KAMA BINADAMU NA NGOZI YAKE. Salaam kwa wasomi... Salaam kwa mliopo Vyuoni... Nawasalimu kwa jina la "elimu na connection" - Itika "Mtaani kugumu". Tusiwanyime ubuyu wadogo zetu waliopo vyuoni. Sikuhizi "elimu na connection" ni kama binadamu na ngozi yake...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Binadamu tupo gereza la akili halafu matatizo yapo huru

    Fundi samico nakueleza haya uyatambue. Ukipanda juu ya mti mrefu, ghorofa au kilele kirefu cha mrima ili uweze kuona pande zote nne zinazokuzunguka hapo ndipo utaona kila kitu kipo wazi pande zote hadi ukomo wa macho yako tu. Pia Ukishuka chini ukatoswa ndani ya shimo refu utaona eneo pekee la...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

    Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they...
Back
Top Bottom