binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

    Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Watafiti wanasema kunguru anaweza kuwa na kinyongo na binadamu miaka 17 🐦

    Kunguru anapokutizama sio kwamba anakutizma ilimradi hapana ana uwezo wa kutunza kumbukumbu. Katika utafiti wa muda mrefu ukiongozwa na Profesa John Marzluff katika chuo Kikuu Cha Washington, watafiti waliweza kugundua kuwa kunguru (crows) Wana uwezo wa kutambua sura za binadamu na kuwa ba...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ni rahisi zaidi binadamu kukorofishana, kuchukiana au kutengana kabisa na baba zao kuliko mama zao?

    Ukifuatilia familia nyingi ambazo zina utengano mara nyingi utakuta baba ndio katikati ya migogoro. Watu wengi sana huwa wanatengana na baba zao kabisa ila ni nadra kutokea hivyo kwa mama zao hata kama wanatofautiana huwa ni kwa kipindi kifupi tu kisha mahusiano yanarejea ila upande wa baba ni...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Binadamu wote tupo kwenye ‘Death row’

    Wafungwa waliohukumiwa kifo huwa wanaitwa ‘Death row inmates’, na mara nyingi hawajui watatekelezewa hukumu yao lini. Sasa tofauti ya wafungwa wa ‘Death row’ na binadamu wote kwa ujumla ni ipi hasa? Bila shaka uhai ni adhabu kwa kosa flani tulilofanya huko nyuma..
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Leo niwazungumzie binadamu wa njano

    Hawa ni watu ambao maneno mengi vitendo hakuna au vitendo vichache. Tuna makundi naam! Manne ya binadamu leo ni hawa yellows. Wengine ni: 2. Reds 3. Greens 4. Blues Nitawachambua mmoja mmoja. Ila leo fahamu. Kama pale kazini kwenu unae mtu ambae ni maneno mengi, basi fahamu huyo ni Yellow...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Udafisi: Mbinguni ni wapi endapo binadamu tukifa tunazikwa Ardhini?

    Maneno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mashetani ndani ya miili ya binadamu

    MASHETANI HUVAA MIILI YAKAWA KAMA BINAADAMU HULA VIAPO NA KISHA HUISHI KINYUME NA VIAPO YAKIWA MAKALI KINYUME NA MAELEKEZO YA MWENYEZI MUNGU KUHUSU UTII NA UNYENYEKEVU HAYO NDIYO MASHETANI Nakumbuka Tarehe 01/06/2021 Dkt Josephat Mathias Gwajima Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Na...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Nigeria imeshindwa kuwalinda raia wake Wakristo dhidi ya magaidi wauaji na kwa dunia imepuuza uhalifu huo dhidi ya binadamu?

    Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
  11. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

    Shalom, Salam alaikum. Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu). Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito). Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Binadamu tulikuwa na makosa gani hadi tukaletewa Shetani huku duniani ?, tuanze kupambana kwenda mbinguni, kwa nini hatukuumbiwa huko huko mbinguni ?

    Vita ya Mungu na shetani ilianzia huko mbinguni, Mungu kashindwa kumuangamiza shetani akiwa nae huko huko mbinguni ila kamtupia huku duniani sisi binadamu viumbe dhaifu ndio tupambane nae. imagine mfano upo Baba unaishi na familia yako, ndani ya chumba chako baba anatokea nyoka ambaye...
  14. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Majaribu yapo kwaajili ya Binadamu, likikupata ujue ndio wakati wako ulikuwa umefika.

    Maisha Ni Fumbo Katika kutembelea mitandao, nimekumbana na video moja inayogusa moyo na maisha pia. Katika video hii kuna huyu mama akiwa na mwanae huyu anaonekana hana mikono yote, kwani imekatikia kwenye viwiko. Katika masaibu yaliyomkuta mimi na wewe msomaji hatujui, anafahamu yeye mwenyewe...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

    Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata...
  16. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

    Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa inawezekana dunia kuumbwa upya, kati ya wanyama na binadamu, nani ungependa atawale dunia baada ya binadamu kuiharibu?

    Japo tunawadharau, wanyama ni viumbe bora kitabia kuliko wanadamu. Hawafanyi uchafu hasa chuki na uroho, roho mbaya, tabia mbaya, fitina, majivuno, kunyonyana, kunyongana, wala kuawana kama binadamu. Nadhani ndiyo maana hawatishwi na hekaya za peponi na motoni. Wanaaminika kuliko binadamu...
  18. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki. Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja...
  19. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Ninachojua Binadamu ndo kiumbe pekee ambaye hana Akili

    Huwa nashangaa Sana MTU akisema Binadamu Ana akili Sana kuliko wanyama wa kawaida hii hapana Human being is toxic creature. Binadamu alibidi kuishi kwa Upendo na kuyatawala mazingira na sio Kama ilivyo sasa. Hajitambui
  20. Now and then

    JamiiForums Tanzania Huu mradi wa Binadamu aliyeuanzisha alikuwa na lengo gani ikiwa Binadamu wanateseka ,wanauana , wanakuwa malaya n.k?

    Hivi huu mradi wa uwepo wa Binadamu ulikuwa Una lengo gani ? Ikiwa sasa ni zaidi ya miaka 2000+ Watu wanauana Wanakuwa malaya Wanakufa kwa ukimwi Na mwisho unakufa doesn't matter you are rich or poor What the meaning of this project?
Back
Top Bottom