binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Ufanano wa kutisha Kati ya vidole vya binadamu na vidole vya nyani/sokwe

    Ndio maana baadhi ya Wana nzuoni huwa wana toa hoja kwamba maandiko yanapo SEMA binadamu aliumbwa Kwa sura na mfano wa Mungu ni kwamba Kuna kitu kimepotoshwa hapo na kwamba ukweli ni kuwa binadamu aliumbwa ama alitengenezwa Kwa sura Na mfano WA Nyani/sokwe . "humans were created in the images...
  2. GRAMAA

    Ndoa ndiyo taasisi hatari kuundwa duniani kwa lengo kutesa maisha ya binadamu

    Ni hivi, hakuna msomaji yoyote yule wa uzi huu ndani ya JF aliyepata furaha ya maisha kutokana ya yeye kuoa au kuolewa na hii inatokana na ukweli kwamba lengo lililojificha la ndoa ni kufarakanisha watu na sio kuunganisha watu kama watu wengi walivyoaminishwa. Baada ya kifo kitu kingine...
  3. Bushmamy

    Maduka ya Dawa za binadamu yanapogeuka kuwa zahanati kwa kuendesha matibabu

    Kutokana na mfumo wa maisha ya sasa, ikiwemo hali ngumu ya maisha watu wameamua kuvunja sheria ili kujiingizia kipato kwa namna yoyote ile iwayo. Maduka haya yamegeuka kuwa zahanati kwa kuendesha shughuli za. Matibabu tofauti na leseni waliyopewa Mengi sana yamejificha nje ya maduka haya...
  4. beth

    Ripoti: Ongezeko la Ufisadi linakandamiza Haki za Binadamu

    Ripoti ya Transparency International inasema janga la COVID-19 limetumiwa na Nchi nyingi kama kisingizio cha kuacha kufanya ukaguzi, ikionya kuwa ipo haja ya kuharakisha mapambano dhidi ya ufisadi ili kudumisha Haki za Binadamu na Demokrasia Imesisitiza Serikali duniani kote zinapaswa kuwa wazi...
  5. Narumu newz

    Shetani alikuwepo duniani kabla ya kuumbwa binadamu

    Habarini wakuu. E bwana kuna kitu nimekifuma mahali nimeona nikilete mezani najua tutajuzana mengi. Ni hivi kuna dhana kuwa,shetani alikuwepo duniani kabla binadamu hajaumbwa. Kivipi,baada ya ile vita kuu mbinguni kutokea ,na shetani akashindwa ,alitupwa duniani ambapo kulikua ukiwa na...
  6. J

    Madaktari bingwa wafanikiwa kumpandikiza binadamu moyo wa nguruwe

    Sijajua kama hapa Tanzania itakubalika labda Moshi. -- Moyo wa nguruwe wapandikizwa kwa binadamu nchini Marekani Katika picha hii iliyotolewa na Chuo cha kikuu cha Tiba cha Maryland, timu ya upasuaji inaonyesha moyo wa nguruwe tayari kupandikizwa kwenye mgonjwa Kwa mara ya kwanza duniani...
  7. B

    Rais Samia kama binadamu ana mapungufu ila ana sifa zote za kuwa Kiongozi wa Nchi yetu

    Hakuna binadamu aliyekamikika, hivyo hata Mama Samia hajakamilika. Ila kiuongozi nitakuwa wa mwisho kukosoa na kusema Hana sifa ya kuwa Rais wa Nchi. Urais wa Nchi unaongozwa na sifa Moja kuu, Rais ni Mzazi Kwa Taifa bila kujali ana umri Gani. Mama anasimama kama mzazi kwetu. Jambo la pili...
  8. The king mswati

    Nimeamini Binadamu wa kwanza duniani alikuwa mweusi, lakini vitabu vya Dini vinachanganya. Je, ukweli ni upi hasa?

    Wanajamvi habarini na asubuhi. Naomba niandike uzi wangu wa mwisho kwa mwaka huu, lakini uzi wenyewe unanichanganya sana kwamba BINADAMU WA KWANZA KUWEPO DUNIANI ALIKUWA MWEUPE (MZUNGU) AU ALIKUWA MWEUSI TII (MWAFRICA). Juzi kati hapa niliandika uzi kumhusu mtu mweusi, lakini watu kadhaa...
  9. Cannabis

    Kampuni ya Disruptive Subdermals nchini Sweden yatengeneza chip itakayowezesha kuhifadhi taarifa za chanjo ya Corona ndani ya miwili wa binadamu

    Sweden, Kampuni ya DSurptive Subdemals nchini Sweden imetengeneza chip itakayoingizwa mwilini mwa binadamu ili kuweza kuhifadhi na kuhakiki taarifa za muhusika kuhusu kupokea chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid-19. Teknolojia hiyo inatumia NFC, ambayo pia hutumika kwenye mifumo mbali mbali ya...
  10. LIKUD

    Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

    Tofauti Kati ya Dini Na sayansi/filosofi kuhusu Sababu ya Sisi kuwepo duniani Na Nani ametuleta mahali hapa Ni Moja: Approach ya Dini katika kuelezea Sababu yetu kuwa hapa duniani inaanzia kwenye hitimisho (Religion approach is from the conclusion) kwamba Mungu ndio ametuleta hapa duniani ili...
  11. I

    Wazee wa Kwamsisi Handeni walitaka sado tatu za mate ya binadamu!

    Mbali na Shs. milioni 21 walizozidai wazee wa kijiji cha Kwamsisi pia walitaka sado tatu za mate ya binadamu ili waruhusu ujenzi wa barabara ya Afrika ya mashariki. Baada ya kubembelezwa kwa muda mrefu na Mkuu wa wilaya ya Handeni wazee hao wameamua kuondoa madai hayo na sasa watalipwa Shs...
  12. beth

    Desemba 10: Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu

    Desemba 10 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu, ikiwa ni Siku ya kukumbuka kupitishwa Azimio la #HakiZaBinadamu Duniani. Azimio hilo linaweka msisitizo kwenye Haki ambazo kila mtu anastahili kuwa nazo bila kujali Rangi, Dini, Jinsia, Lugha, Maoni ya Kisiasa, Asili ya Kitaifa...
  13. Idd Ninga

    Ukatili wa kijinsia ni uvunjigu wa haki za Binadamu

    Dunia, mataifa makubwa na mataifa madogo, ulimwengu mzima unakubali kuwa haki za binadamu ni jambo lolote ambalo binadamu anastahili kuwa nalo tangu anapozaliwa bila ya kujali jinsi ya mtu. Kiimani na kiutamaduni pia, inatambulika kuwa haki za binadamu zitaendelea kuwepo hadi pale binadamu...
  14. Victor Mlaki

    Ufugaji wa wadudu kama chakula cha mifugo na binadamu kilimo kilichokosa nafasi Tanzania

    Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe unaonekana kuwa wa chini sana ukilinganisha na nchi nyingine Duniani. Tanzania inaonekana kuwa nyuma sana...
  15. J

    Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

    Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji. Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku. Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu...
  16. Frumence M Kyauke

    Mfahamu Robert Pershing Wadlow binadamu mrefu aliyewahi kuishi hapa duniani

    Robert Pershing Wadlow Kuzaliwa (Februari 22, 1918 Kufariki 15 Julai 1940), anayejulikana pia kama Jitu la Alton na Jitu la Illinois, alikuwa mwanamume wa Marekani ambaye alikuwa mtu mrefu zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza kukanushwa. Alizaliwa na kukulia...
  17. Faana

    Arusha: Kinyesi cha Binadamu Chatumika Kutengeneza Mkaa

    Kutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu. Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida. Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine Hauna moshi...
  18. K

    Kwanini binadamu hawazi kufa kwake bali kwa wenzake tu?

    Huwa najiuliza: kwa nini binadamu hawazii hata kidogo kufa kwake bali kwa wenzie tu: Mifano ifuatayo:- 1. Mume ana miaka 70, mke ana miaka 67. Mume anauza shamba milioni 30. Mke anakodi majambazi wanamuua mume abaki na hizo milioni 30(wastani wa maisha ya mtu ni miaka 80) Mmeoana mkiwa 17 & 20...
  19. C

    Kwanini Tanzania watu huhusisha paka, bundi na fisi na uchawi tofauti na Ulaya?

    Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu. Naomba jibu.
  20. R

    Tunataka Paul Makonda awe accountable kwa matendo yake ya kuvunja haki za binadamu

    Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia. Tunataka awajibishwe
Back
Top Bottom