Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro.
-----------------------------------------------------------------------------------------
NGORONGORO: TAMKO...
Moja ya jambo ambalo nakaaa muda na kuwaza ni kuwa Maisha na vilivyomo ndani yake.
Niukweli usio pingika na Uko wazi kuwa haya maisha yanatuendesha yatakavyo.
Naukifuatilia kwa karibu ni kuwa anayeendesha Maisha ni Mungu au Shetani.
Mfano tu labda unataka kiwa mtakatifu uwe Mwaminifu kwa...
Habari Wanajamvi baada ya kukaa na kufikiria nilipitia nyuzi nyingi zinazo husiana na web development ila sikupata nilicho hitaji.
Kwenye huu uzi nitafundisha HTML, CSS na JAVASCRIPT kwa lugha isiyo sanifu na fupi kufanya kueleweka sana.
Pia Uzi huu utumike kama mahala pa kuuliza chochote...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la mauaji ya Juma Ramadhan (35) kupigwa risasi na askari wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma likidhibiti vurugu, Machi 14, 2022 katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
LHRC imetoa wito hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya afisa...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa kuna watu zaidi ya milioni 45 ambao wametumbukizwa katika biashara hii inayoingiza kiasi cha dola bilioni 32 kwa mwaka, na hivyo, kuchuana kwa karibu sana na biashara haramu ya silaha na dawa za kulevya. Wanawake, na watoto wadogo ndio walengwa wakuu.
Kundi hili la...
Kila kukicha ni malalamiko ya wananchi juu ya ndugu zao kuumizwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa jeshi la polisi.
Mbaya zaidi hakuna hatua zinazochukuliwa ili kuwashitaki wanaofanya haya matendo maovu.
Rais Samia alishakiri hadharani kuwa kuna nguvu ya ziada inayotumika na inaleta madhara kwa...
Namnukuu waziri wa katiba na sheria hapa chini:
"Sio vizuri sisi tusiwe ndani ya Mahakama [ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu-AfCHPR] ikiwa ipo kwetu, Rais wake ni Mtanzania. Jambo la msingi tupeni muda serikali tutaonesha kwa matendo."- Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene...
Huwa tunajidanganya sana kuwa binadamu ni kiumbe aliyestaarabika. Kwamba ni kiumbe anayesikiliza reasons. Kujidanganya kabisa. Kwenye saikolojia kuna kanuni inasema, "Mind gets what it want." Kuwa akili inapata inachotaka.
Mfano. Kwenye mechi ya Simba na Yanga. Mshabiki wa Yanga atasema ni...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17.
Pia soma
Binadamu hana jipya lolote hapa duniani zaidi ya kuwa ni mazao au mifugo inayofugwa na kile kinachoitwa Mungu ili apata chakula kitakacho muhakikishia uwepo wake.
Kama unavyoona unafuga ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku,bata n.k ili tu mwisho wa siku upate kitoweo.
Pia kama unavyohangaika kulima mazao...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekamata mtandao wa watu 9 ambao wametajwa kuhusika na tuhuma za mauaji pamoja na kuendesha biashara ya mauziano ya viungo mbalimbali vya sehemu ya mwili wa binadamu.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, ACP. RICHARD ABWAO amesema mtandao huo umekamatwa...
Maandiko yanasema Mungu ndio muumba wa kila kitu, alimuumba mwanamume na baadae akaona siyo vyema aishi peke yake akamletea msaidizi mwanamke.
Kuna video nimeiina mitandaoni inasikitisha sana vijana wadogo wakiume sasa ni mashoga, kuna mmoja wao wakati anahojiwa akadai amezaliwa akiwa na homoni...
Maisha ya binadamu ya sasa hivi tuliopo inaelezwa kuwa historia yetu ilianza miaka 200,000 iliyopita, lakini hakukuwa na rekodi halisi zilizowekwa kwa kuwa rekodi za nini kilifanyika na kwa kiwango gani zimeanzia miaka 6,000 iliyopita.
Hivyo kwa mujibu wa baadhi ya wanahistoria ni kuwa hiyo...
Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu, ila nimeandika kwa msukumo fulani kutoka awamu ya tano ya uongozi katika nchi yetu.
Wakati wa awamu ile walitokea watu watukutu ambao hawakujali haki za wenzao na Kuna wakati waliwafanyia binadamu wenzao vitendo unaweza kuhisi sio binadamu wenzao.
Kifupi...
Kila mwaka, maelfu ya Wanawake, Wanaume na Watoto hujikuta mikononi mwa wanaojihusisha na Biashara hii haramu katika Mataifa yao na Nje. Karibu kila Nchi duniani inaathiriwa na Biashara haramu ya usafirishaji binadamu
Kwa mujibu wa UN, Mwaka 2018 takriban wahanga 50,000 walibainika na...
Eneo la hifadhi ya Ngorongoro ni zao la mkataba kati ya Serikali ya kikoloni ya Uingereza na viongozi wa kimila wa jamii ya kimasai na makubaliano yalikuwa ni kwamba, wananchi wenyeji wa Ngorongoro waondoke eneo la Serengeti na wasirudi tena waende Ngorongoro
Mkataba wa Serikali ya kikoloni ya...
#NGORONGORO SIO SEHEMU YA MAKAZI YA BINADAMU BALI NI HIFADHI YA WANYAMA POLI Naa Joseph #Yona
Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki Ngorongoro ni 30! Moja ya utajiri wa kipekee duniani ni kuwa na wanyama Mwitu kama hawa ambao sisi wabongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.