binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanawake ni Binadamu wa pekee sana, nawapa Pongezi muishi miaka mingi ya Kobe

    Kabla sijaenda kwenye mada, niseme tu ukweli, mimi ni kati ya wale wanaume wahongaji. Nikiombwa pesa na mtoto wa kike, kama ninayo, nampa bila kusita.kwanini?, fatilia andiko langu. Wiki kadhaa zilizopita nilisafiri kikazi ktk wilaya X inayopatikana mkoa flani hapa tz. nilifikia ktk lodge moja...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko ya fikra za Vijana katika kujishughulisha na kilimo

    Picha na farming Africa. UTANGULIZI Nchi nyingi katika dunia ya leo hasa zile zinazoendelea zikiwemo nchi za AfriKa hasa katika ukanda wa Sahara ikiwemo Tanzania watu wake hutegemea sana kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wao kutokana na ukweli kwamba watu wake wanakaa katika maeneo ya...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuenea kwa usugu wa vimelea na vimelea sugu vya magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu kupitia matumizi ya mbolea za wanyama katika kilimo

    DIBAJI Katika dunia ya leo ambayo muingiliano wa shughuli za kilimo na maisha ya binadamu vinaongeza utegemeano ongezeko la magonjwa sugu linaongezeka siku hadi siku kutokana na hali kwamba , matumizi ya mbolea kutoka kwa wanyama na biandamu katika kilimo hususani kilimo hai yanaongezeka na...
  4. JamiiForums Tanzania NASA ARTEMIS: Project ya kumpeleka binadamu katika mwezi

    Artemis program ni programu ya anga za mbali ambayo inakwenda kufanyia uchunguzi mwezi 🌒. Program hii inaongozwa na NASA wakishirikiana kwa ukaribu kabisa na mashirika ya tafiti za anga kutoka nchi mbalimbali duniani Africa tukiwakilishwa na South Africa. Artemis program pia inazishirikisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani anapoiona picha hii bila shaka tumbo linakuwa moto

    Hao ni Rais Putin wa Urusi na Rais Ebrahim Raisi wa Iran!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waishitaki Hungary kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu kwa kuwanyima uhuru mashoga/LGBT

    Kwa Ulaya hilo ni kosa kubwa sana, yaani kuwanyima uhuru mashoga kuongelea hadharani uchafu wao!! Lakini hili la hangary linashangaza zaidi, iko hivi: Hungary ilipitisha sheria ya kuwalinda watoto chini ya miaka 18 dhidi ya propaganda za mashoga. Walizuia kuongea au kuwaonesha au kuwafundisha...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama ya ECOWAS: Zuio la Twitter Nchini Nigeria lilikiuka Sheria na Haki za Binadamu

    Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imesema zuio la Mtandao wa Twitter Nchini Nigeria mwaka 2021 lilienda kinyume na Sheria Marufuku hiyo iliyodumu kwa takriban miezi 7 inatajwa kukiuka Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu, pia uliwanyima Wananchi Haki...
  8. JamiiForums Tanzania WHO yaonya ongezeko la Magonjwa ya Binadamu kutoka kwa wanyama barani Afrika

    Shirika la Afya Duniani, (WHO) limeonya kuwa Afrika inakabiliwa na hatari ya kuongezeka ya milipuko ya Magonjwa, ambayo huenea kutoka kwa Wanyama hadi kwa Binadamu kwa asilimia 60 kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita Kesi nyingi zimehusisha Virusi vya Ebola, Magonjwa mengine ya Virusi ya Kuvuja...
  9. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini binadamu hakuumbwa kwa neno moja tu la Mungu?

    Ipo hivi mifugo wezangu, hivi kwanini Mungu hakutamka tu hivi "na awe binadamu mwanaume na mwanamke na wakaishi kwenye bustani ya edeni” ikawa asubui ikawa jioni, siku ya sita? Mbona vitu vyote Mungu alikuwa anatamka neno tu na vinatokea lakini ilipofika siku ya sita kwenye kipengele cha...
  10. JamiiForums Tanzania Albert Msando: Wanahabari kuweni watetezi wa Haki za Binadamu, msiegemee upande mmoja

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza. Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi sisi waafrika ni binadamu kamili au bado tuko katika transition stage?

    Hivi sisi ni binadamu kamili kweli au bado tuko katika transition stage? Huko Uganda binadamu wanakulana wenyewe kwa wenyewe kama wanyama pori. Sikiliza clip hiyo hapo nimeiambatanisha.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani ingewafanya binadamu na wanyama wengine kujamiina endapo tendo la ndoa lisingekuwa na ladha iliyomo sasa?

    Kulingana na ukweli kuwa iko starehe katika kufanya tendo la ndoa na ni starehe hiyo huwafanya binadamu na viumbe wengine kukimbizana usiku & mchana kusaka mbususu Je ni mbinu gani angeitumia muumba kuwafanya binadamu & viumbe wengine kungonoka endapo kusingekuwa na starehe yoyote kama ilivyo sasa
  13. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Wadau wa Haki za binadamu watoa wito kwa wafungwa 9,000 kuachiwa huru Tigray

    Shirika la kutetea haki za binadamu nchini humo limetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa maelfu ya watu wa Tigray wanaozuiliwa katika kambi mbili katika eneo la kaskazini-mashariki la Afar tokea Desemba 2021 kinyume cha sheria. Inaelezwa kuwa ukosefu wa huduma za kimatibabu katika kambi hizo...
  14. JamiiForums Tanzania Unapaswa ujue haya mapema kuhusu Binadamu

    Kwema Wakuu! Leo sina mengi, kwenye maisha mambo haya unapaswa uyajue mapema Sana kuwahusu binadamu, hii itakusaidia katika harakati zako za kimaisha; 1. Usiwe na mazoea na binadamu. Iwe ni kazini au unapoishi usiruhusu majirani au wanaokuzunguka kukuzoea zoea. Heshimu kila mtu lakini...
  15. JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kutengeneza kompyuta yenye akili ya binadamu

    Wanasayansi wa China wamejisifu ktengeneza super computer ambayo ina akili bandia na uwezo sana na akili ya mwanadamu. Komputer hiyo ina storage na memory ya kutosha. Na wengine mmezoea quad cores hii ina 37 milion CPU Cores. = Today in "Skynet does Asia" news, Chinese scientists are boasting...
  16. JamiiForums Tanzania COVID-19: Pfizer wasema " tulihamia kwa binadamu na kuacha kufanyia majaribia ya chanjo kwa wanyama kwa sababu waliendelea kufa."

    Maneno hayo yamesemwa ndani ya kikao cha baraza la senate nchini marekani na mwakilishi wa Maabara ya Pfizer akielezea changamoto wanazokutana nazo. Inasemekana kwa sasa kumeanza kuibuka visa mbalimbali vitokanavyo na maudhi ya chanjo kwa wengi waliopatiwa chanjo hizo hapo awali...
  17. JamiiForums Tanzania Binadamu tumeumbwa kusahau, hebu tujikumbushe kidogo

    Mikia tunawakumbusha huku
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

    Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa! Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba...
  19. JamiiForums Tanzania Kigoma: Watu 9 washikiliwa kwa kukutwa na viungo vya binadamu

    Watu tisa Wilayani Kakonko, Kigoma wanashikiliwa kwa kukutwa na viungo vya binadamu ikiwemo mbavu na mguu ambavyo vinadaiwa vilikuwa vikipelekwa Mwanza. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma, James Manyama amesema: “Watuhumiwa walikamatwa katika kizuizi baada ya askari kutilia shaka gari lao T948...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti: Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa Nchini Mali

    Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022. Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali ya usalama si nzuri, ikiwa ni ishara kuwa Jeshi limeshindwa kuwa na nguvu ya kudhibiti Nchi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…