binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joannah

    JamiiForums Tanzania Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

    Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa. Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee...
  2. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu huwa nawaona wanao zipinga dini za uislamu na ukristo kama binadamu walio firisika akili

    Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli Watu wengi wamekuwa na kasumba hii...... Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RIPOTI: UN yasema 44% ya ukiukaji wa haki za binadamu ulifanywa na Serikali ya Congo DR

    Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi. Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mimi si binadamu wa kawaida. Tena si Mtanzania Halisi.

    Yaani sina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Ukifanya vizuri hata kama juzi tumetukanana nitakusifia kuwa hapo umefanya vizuri. Ukikosea hata kama asubuhi nimeamka na wewe na ni mrembo sana nitakuambia ukikasirika shauri yako mi nimeshakuambia. Hata kama ni jamaa,mshkaji,ndugu au rafiki wa...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya Binadamu: Raia 22 wa Kenya waokolewa Barani Asia

    Mamlaka zinasema kuwa raia 22 wameokolewa kutoka kwa Mashirika ya #BiasharaYaBinadamu huko Laos Kusini-Mashariki mwa Asia pamoja na Raia wa Uganda na Burundi katika operesheni ya kudhibiti biashara hiyo Haya yanajiri wiki kadhaa baada ya kundi jingine la Wakenya kuokolewa kutoka kwa walanguzi...
  6. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Binadamu huwa tuna mipango mingi sana lakini hatujui kesho yetu

    Ilisikika sauti toka ndani ya kaburi " Lete dongo, Lete reli, Lete ubao, lete majani". Nilikuwa miongoni mwa watu watano ambao wali bahatika kuchaguliwa kuingia ndani ya kaburi kumzika huyu shangazi yangu,na ndiyo ilikuwa mara ya Kwanza kufanya hivyo Amekufa akiwa na Miaka 96 yaani bado minne...
  7. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu tunawafagilia Malaika?

    .
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Bunge kujadili Muswada utakaoruhusu Upandikizaji Viungo vya Binadamu

    Muswada huo uliowasilishwa Bungeni una mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambazo endapo zitapitishwa, kwa mara kwanza wananchi wake wataweza kujitolea viungo vya mwili na kuruhusu upandikizaji wake. Gharama za upasuaji nje ya nchi ikiwa ndio chaguo pekee kwa sasa ni Tsh. Milioni 69.9 kiasi...
  9. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Je, binadamu anawezaje kufanya miujiza?

    Toka kujielewa kwangu mimi nimependa sana kurahisisha kazi ila kama tujuavyo mashine zinaturahisishia kazi ila sidhani kama inazidi miujiza najua kuna wataalamu wengi humu waje watueleze mimi binafsi napenda miujiza ya kunyanyua vitu bila kushika ni jinsi gani nitafanya hili bila kutumia...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kupokea malalamiko zaidi ya 6000 ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema jumla ya malalamiko ya wananchi kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu 6,928 yalipokelewa katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019. Dk Ndumbaro ameyasema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu. Najua Mkuu wa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha adhabu ya kifungo cha maisha kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu

    Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa usafirishaji wa binadamu. Aidha, watakaotiwa hatiani watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi wanachofanya Panya Road hakiwahusu Taasisi za Haki za Binadamu? Wapo kimya kama kila kitu kiko poa

    Kwa sasa Dar es Salaam ni kama imeanza kutikisika, haijafikia kiwango hicho lakini kiuhalisia kuna mambo hayako sawa hasa yanayohusu ulinzi. Hawa vijana wa Panya Road sijui niseme wanachekewa au mamlaka hazijapata jibu hasa la kudili nao, wenyewe mamlaka za ulinzi zinajua zinachokifanya. Juzi...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

    Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya. Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

    Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Oparesheni uhalifu yanasa silaha 997

    JUMLA ya silaha 997 zimekamatwa kutokana na oparesheni mbalimbali za kuzuia na kutanzua uhalifu mkoani Morogoro kuanzia Januari mwaka 2019 hadi Juni mwaka huu. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu alisema hayo juzi katika taarifa yake kwa mkuu wa mkoa huo, Fatma Mwasa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Msingi wa binadamu katika maisha

    Afya ni msingi wa kila binadamu katika maendeleo ya kila siku hvyo bas tunatakiwa kulilinda kwa nguvu zote. Lakini ni ngumu kuilinda kutokana na mazingira na maisha ya kila siku kwamaa vyakula tunavyokula na kadharika. VYAKULA vipo vyakula ambazo sio vzuri kula ila kwenye maisha yetu ya kila...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna binadamu asiyekufa? Kwanini tusikitike wakati kifo ni lazima na ibada?

    samia_suluhu_hassan Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Malkia Elizabeth II. Kwa niaba ya Watanzania wote, natuma salamu za pole kwa Familia ya Kifalme na raia wote wa Uingereza. Malkia atakumbukwa duniani kote kama nguzo ya Amani, Umoja na Utulivu.
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: China ilifanya Uhalifu mkubwa dhidi ya Binadamu

    Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa Xinjiang. Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanaishutumu Beijing kwa dhuluma dhidi ya Wauyghur...
  20. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Saikolojia ya kujifunza kuhusu tabia za binadamu

    1. Ikiwa mtu amekukasirikia na ukatulia, anaweza kuwa na hasira zaidi. Lakini hatakuwa na jinsi zaidi ya kujionea aibu. 2. Ikiwa mtu anaendelea kuzungumza na huwezi kuingia kwenye mazungumzo,jifanye unaangusha kitu chini (ufunguo, kalamu, nk), jifanye unainama ili kukichukua na kuanza...
Back
Top Bottom