Ethiopia: Wadau wa Haki za binadamu watoa wito kwa wafungwa 9,000 kuachiwa huru Tigray

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Shirika la kutetea haki za binadamu nchini humo limetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa maelfu ya watu wa Tigray wanaozuiliwa katika kambi mbili katika eneo la kaskazini-mashariki la Afar tokea Desemba 2021 kinyume cha sheria.

Inaelezwa kuwa ukosefu wa huduma za kimatibabu katika kambi hizo unasababisha milipuko ya magonjwa na kuhatarisha maisha ya wafungwa hao.

Aidha, Serikali imesema wafungwa hao wanazuiliwa kwa usalama wao na pia kuruhusu uchunguzi wa kuwapata wahalifu wakiwemo watu wanaohusishwa na mapigano tokea kuanza kwa vita vya Tigray.

............

The Ethiopian government-appointed human rights watchdog has called for the immediate release of thousands of Tigrayans who are being held in two detention camps in the north-eastern region of Afar.

The Ethiopian Human Rights Commission described their detention as illegal.

It says around 9,000 Tigrayans have been held there since December last year. They were from areas bordering Tigray where there has been a civil war.

The Addis Ababa government has said the detainees were being held for their own safety and also to allow screening to find criminals including people linked to the fighting.

Some of the detainees have previously told the BBC that the lack of medical help in the camps was causing outbreaks of diseases - something the rights commission has also said.

Earlier this week the government announced a negotiating team in a bid to end the war in Tigray.

SOURCE: BBC
 
Back
Top Bottom