Unapaswa ujue haya mapema kuhusu Binadamu

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,412
52,064
Kwema Wakuu!

Leo sina mengi, kwenye maisha mambo haya unapaswa uyajue mapema Sana kuwahusu binadamu, hii itakusaidia katika harakati zako za kimaisha;

1. Usiwe na mazoea na binadamu.
Iwe ni kazini au unapoishi usiruhusu majirani au wanaokuzunguka kukuzoea zoea.
Heshimu kila mtu lakini usiruhusu mazoea na kila mtu.

2. Watu hawapo vile unavyowaona/wanavyojionesha.
Kamwe usije ukajidanganya kuwa vile mtu unavyomuona ndivyo alivyo. Binadamu ni kiumbe pekee chenye uwezo wa kujigeuza kitabia tofauti na viumbe wengine wanaonekana.

3. Jihami na mtu anayependa umuonee huruma.
Watu wengi wanaopenda kuonewa huruma kisaikolojia ni Wasaliti, wakatili na hawastahili huruma.
Watu wanaopenda kuonewa huruma ni waovu na hawapendi haki. Huona wao hawastahili Mateso wayapatayo.

Kama utakuwa mtu mwenye huruma, basi Taikon ninakushauri waonee huruma wasiopenda kuonewa huruma, wanaoona Hali zao za maisha ni halali Yao.

4. Watu watakushobokea Kwa sababu unakitu Fulani.
Ukiona watu wanakushobokea Kwa sababu aidha unapesa, umzuri, umaarudu, au unacheo au mamlaka Fulani.
Ni afadhali Mbwa anayekupenda hata Kama huna chochote kuliko binadamu anayekupenda Kwa sababu ya kitu.

Ndio maana Watu wenye pesa hawapendi shobo Kwa sababu wanajua Kama sio pesa zao wala usingewashobokea.

Sio ajabu ukiwa unasota hakuna anayekuona Ila subiri uwe maarufu uone.

Au Baba anaweza kukutelekeza na asikutafute ikiwa unamaisha duni lakini akisikia unamaisha mazuri atakufuata.
Au mtoto uliyemtelekeza akipata pesa au hata asipopata akasikia wewe Baba yake hunalolote hatakutafuta lakini akisikia wewe ni Tajiri atakutafuta.

Ndugu wanaweza kujitenga na wewe kipindi unasoma bila kukusaidia, lakini subiri ufike Chuo na upate kazi utaona hizo shobo

5. Ambaye Hapendi mafanikio yako ni ndugu yako, au rafiki yako wa karibu kwani hawapendi umzidi. Kiufupi hakuna ndugu au rafiki ambaye atapenda umzidi kimafanikio.
Ndio maana unaambiwa usipende kusema mipango yako Kwa watu. Maana adui yako ni Yule wa karibu.

Amini kuwa ndugu zako wengi wao ndio wanaokuombea uanguke ili uende ukawalilie, wakakuchambe kuwa ulikuwa unajifanya.

Niliwahi kuandika hapa, 👇👇

6. Watu hujigeuza malaika(wazuri) wakiwa na shida.
Usipumbazwe na Machozi ya mtu anayeomba Msaada, hata kama anatia huruma vipi au kujifanya mwema usimsaidie.
Msaidie mtu ambaye anamipaka kwenye Kuomba, lakini mtu anayelia au kufikia hatua mpaka anapiga magoti au kukusujudia usimsaidie.

Wanaume tunapotongoza wanawake tunajigeuza kuwa Wema kuanzia Maneno tunayoyatoa, kujali na kuhudumia Kwa sababu ya shida ya ngono, tukishapata tunarudi kwenye Tabia zetu mbofumbofu.

Pia wanawake nao wanaotafuta ndoa, hujigeuza Malaika, wife material ili uingie Kingi, ukishamuoa wengi wao huanza kubadilika.

Wanawake wengi 90% watakupenda Kwa sababu ya kitu Fulani hasa Mali.
Ndio maana wanaume wote wenye akili hawawachukulii Sirius Wanawake waliowaoa, muda wowote ukifilisika anaweza kukukimbia.
Ingawaje wapo wanawake wachache Sana 10% ambao wanaweza kukupenda vile ulivyo bila ya sababu maalumu

7. Ogopa watu wanaopenda kuomba omba Msamaha, wanaouchukulia Msamaha ni kitu rahisi.
Watu hao ni Wabaya kuliko Shetani.
Yaani amekosea Leo alafu kesho anafanya Jambo lilelile.

8. Watu hupenda kukujua Kwa undani ili wakudharau.
Binadamu ni kiumbe ambaye hajiamini pale anapoishi na mtu asiyemjua vizuri, lakini ni kiumbe ambaye atafanya juu chini akujue ili akudharau.

Atataka Ajue unafanya kazi gani?
Atataka kujua Unalipwa kiasi gani?
Atataka Ajue unaishi wapi?
Atataka Ajue Mkeo/mumeo ni Nani?

Na kiasili binadamu anapenda kuheshimiwa.
Ndio maana anapenda kazi yenye Mshahara mnono,
Aishi mahali pazuri na akiwa na usafiri,
Awe na Mke au mume mzuri.

Kukosa moja Kati ya hicho kunaweza mfanya mtu akadharaulika,
Mfano, mwanamke hawezi mdharau mwanamke mwenye mume mwenye kipato kikubwa au Mtawala au mwanaume Mzuri.
Sio ajabu wanawake Kupenda wanaume wenye vipato au wenye umashuhuri Fulani.
Lengo ni kutaka heshima.

Kuwa na Mke Mzuri pia ni moja ya heshima kubwa Kwa Mwanaume.
Mwanaume kukosa mke Mzuri inaweza kushusha heshima yake.

9. Watu hukumbuka mabaya zaidi kuliko Mema.

10. Binadamu wengi hufuata mkumbo. Hivyo usiwaamini.
Ikiwa wakwanza watasema Nyeupe basi watu wote wanaweza kusema nyeupe hata Kama ni nyeusi.

11. Binadamu walioshindwa au kufeli hupenda kuwaelekeza/kufundisha watu waliowashinda/waliowazidi ili nao waonekane wanaakili au nao wamo.
Mfano Masikini hupenda kufundisha matajiri
Wasiosoma hupenda kuwaelekeza wasomi,
Watawaliwa hupenda kuwaelekeza watawala au viongozi.

12. Watu wengi hupenda kujisifu Kwa vitu ambavyo hawana, Ila wanatamani kuwa navyo.
Mfano, ukisikia mtu anajisifia kuhusu Kabila lake linawasomi usishangae yeye hajasoma.

Wanaume wengi wanaojisifu wanakitu au Jambo Fulani wengi wao hawana Ila wanataja matamanio Yao.
Mfano, wanaume wanaojiona wao ni Handsome boy 90%hawapo hivyo,

Wanawake wanaojisifu ni wazuri 90% sio wazuri Ila wanaongea kile wanachotamani. Angalia hata watu mashuhuri mfano Wasanii, 90% wanaojiona ni wazuri ukiwaangalia ni kwamba hawana lolote yaani sio wazuri Kama wanavyojisifu.

Utafiti wangu unaonyesha pale nilipowahoji wanawake kuhusu wanaume wanaojisifu Wana nguvu za kiume, majibu yalionyesha kuwa Wanaume 99% ya wanaojisifu wananguvu za kiume za kuwagaragaza wanawake kunako 6*6 hawana hizo nguvu.

Kisaikolojia Mtu hawezi kujisifu kitu ambacho ni chakwake, kitu alichonacho, kitu alichokizoea.
Mtu atajisifu Kwa kitu ambacho amebahatisha kukioata, au kwao yeye pekee ndiye mwenye nacho.

13. Watu wanaojionyesha ni Wema wengi wao ndio Wabaya.
Na Wale wengi wao unaoambiwa ni Wabaya wengi wao ni Wema.
Wabaya ndio usema ubaya wa watu wengine.
Ukisikia mtu anakuambia ubaya wa watu wengine ujue yeye ndiye mbaya.
Kama angekuwa mwema angekuambia wema wa watu hao hata Kama watu hao ni watenda mabaya.

Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa 90% ya watu niliowahi kuambiwa ni Wabaya walikuwa watu wema na wazuri nilipokuwa karibu nao na kuwadadisi.

Zingatia, wanadamu wengi huongozwa na Wivu wenye chuki unaowafanya kuwapa sifa mbaya watu wengine.

Watu wema hawasemi mabaya ya watu, isipokuwa watu Wabaya wanaojifanya wema ndio husema mabaya ya watu.

14. Hakuna ambaye yupo kwa maslahi yako.
Binadamu ni kiumbe ambaye yupo Kwa ajili yake yeye mwenyewe.
Hakuna ambaye yupo Kwa ajili ya kukutafutia maisha, hata Baba yako ni Kwa vile kuna kifo ndio maana Hana namna lazima akurithishe Kwa wenye mioyo ya kufanya hivyo.

Nipumzike sasa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Kwema Wakuu!

Leo sina mengi, kwenye maisha mambo haya unapaswa uyajue mapema Sana kuwahusu binadamu, hii itakusaidia katika harakati zako za kimaisha;

1. Usiwe na mazoea na binadamu.
Iwe ni kazini au unapoishi usiruhusu majirani au wanaokuzunguka kukuzoea zoea.
Heshimu kila mtu lakini usiruhusu mazoea na kila mtu.

2. Watu hawapo vile unavyowaona/wanavyojionesha.
Kamwe usije ukajidanganya kuwa vile mtu unavyomuona ndivyo alivyo. Binadamu ni kiumbe pekee chenye uwezo wa kujigeuza kitabia tofauti na viumbe wengine wanaonekana.

3. Jihami na mtu anayependa umuonee huruma.
Watu wengi wanaopenda kuonewa huruma kisaikolojia ni Wasaliti, wakatili na hawastahili huruma.
Watu wanaopenda kuonewa huruma ni waovu na hawapendi haki. Huona wao hawastahili Mateso wayapatayo.

Kama utakuwa mtu mwenye huruma, basi Taikon ninakushauri waonee huruma wasiopenda kuonewa huruma, wanaoona Hali zao za maisha ni halali Yao.

4. Watu watakushobokea Kwa sababu unakitu Fulani.
Ukiona watu wanakushobokea Kwa sababu aidha unapesa, umzuri, umaarudu, au unacheo au mamlaka Fulani.
Ni afadhali Mbwa anayekupenda hata Kama huna chochote kuliko binadamu anayekupenda Kwa sababu ya kitu.

Ndio maana Watu wenye pesa hawapendi shobo Kwa sababu wanajua Kama sio pesa zao wala usingewashobokea.

Sio ajabu ukiwa unasota hakuna anayekuona Ila subiri uwe maarufu uone.

Au Baba anaweza kukutelekeza na asikutafute ikiwa unamaisha duni lakini akisikia unamaisha mazuri atakufuata.
Au mtoto uliyemtelekeza akipata pesa au hata asipopata akasikia wewe Baba yake hunalolote hatakutafuta lakini akisikia wewe ni Tajiri atakutafuta.

Ndugu wanaweza kujitenga na wewe kipindi unasoma bila kukusaidia, lakini subiri ufike Chuo na upate kazi utaona hizo shobo

5. Ambaye Hapendi mafanikio yako ni ndugu yako, au rafiki yako wa karibu kwani hawapendi umzidi. Kiufupi hakuna ndugu au rafiki ambaye atapenda umzidi kimafanikio.
Ndio maana unaambiwa usipende kusema mipango yako Kwa watu. Maana adui yako ni Yule wa karibu.

Amini kuwa ndugu zako wengi wao ndio wanaokuombea uanguke ili uende ukawalilie, wakakuchambe kuwa ulikuwa unajifanya.

Niliwahi kuandika hapa,

6. Watu hujigeuza malaika(wazuri) wakiwa na shida.
Usipumbazwe na Machozi ya mtu anayeomba Msaada, hata kama anatia huruma vipi au kujifanya mwema usimsaidie.
Msaidie mtu ambaye anamipaka kwenye Kuomba, lakini mtu anayelia au kufikia hatua mpaka anapiga magoti au kukusujudia usimsaidie.

Wanaume tunapotongoza wanawake tunajigeuza kuwa Wema kuanzia Maneno tunayoyatoa, kujali na kuhudumia Kwa sababu ya shida ya ngono, tukishapata tunarudi kwenye Tabia zetu mbofumbofu.

Pia wanawake nao wanaotafuta ndoa, hujigeuza Malaika, wife material ili uingie Kingi, ukishamuoa wengi wao huanza kubadilika.

Wanawake wengi 90% watakupenda Kwa sababu ya kitu Fulani hasa Mali.
Ndio maana wanaume wote wenye akili hawawachukulii Sirius Wanawake waliowaoa, muda wowote ukifilisika anaweza kukukimbia.
Ingawaje wapo wanawake wachache Sana 10% ambao wanaweza kukupenda vile ulivyo bila ya sababu maalumu

7. Ogopa watu wanaopenda kuomba omba Msamaha, wanaouchukulia Msamaha ni kitu rahisi.
Watu hao ni Wabaya kuliko Shetani.
Yaani amekosea Leo alafu kesho anafanya Jambo lilelile.

8. Watu hupenda kukujua Kwa undani ili wakudharau.
Binadamu ni kiumbe ambaye hajiamini pale anapoishi na mtu asiyemjua vizuri, lakini ni kiumbe ambaye atafanya juu chini akujue ili akudharau.

Atataka Ajue unafanya kazi gani?
Atataka kujua Unalipwa kiasi gani?
Atataka Ajue unaishi wapi?
Atataka Ajue Mkeo/mumeo ni Nani?

Na kiasili binadamu anapenda kuheshimiwa.
Ndio maana anapenda kazi yenye Mshahara mnono,
Aishi mahali pazuri na akiwa na usafiri,
Awe na Mke au mume mzuri.

Kukosa moja Kati ya hicho kunaweza mfanya mtu akadharaulika,
Mfano, mwanamke hawezi mdharau mwanamke mwenye mume mwenye kipato kikubwa au Mtawala au mwanaume Mzuri.
Sio ajabu wanawake Kupenda wanaume wenye vipato au wenye umashuhuri Fulani.
Lengo ni kutaka heshima.

Kuwa na Mke Mzuri pia ni moja ya heshima kubwa Kwa Mwanaume.
Mwanaume kukosa mke Mzuri inaweza kushusha heshima yake.

9. Watu hukumbuka mabaya zaidi kuliko Mema.

10. Binadamu wengi hufuata mkumbo. Hivyo usiwaamini.
Ikiwa wakwanza watasema Nyeupe basi watu wote wanaweza kusema nyeupe hata Kama ni nyeusi.

11. Binadamu walioshindwa au kufeli hupenda kuwaelekeza/kufundisha watu waliowashinda/waliowazidi ili nao waonekane wanaakili au nao wamo.
Mfano Masikini hupenda kufundisha matajiri
Wasiosoma hupenda kuwaelekeza wasomi,
Watawaliwa hupenda kuwaelekeza watawala au viongozi.

Nipumzike sasa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Bro very well explained
 
Taikon leo umeongelea maisha yangu halisi Kabisaaa
Mfano wakati namaliza chuo niliahidiwa kazi mbele ya rafiki angu wa shida na raha kumbe jamaa hakufurahia baada ya mwaka nikiwa nimekosa ile kazi akafunguka kua siku nimeahidiwa kazi mbele yake hakulala usiku ivo alikesha akiomba mungu nisiipate na kweli alishukuru siku ipata... Aiseeeh nilibaki speechless 🤔🤔🤔
 
Uzi mzuri yafaa uule Huku ukishushia na kinywaji ukipendacho aidha maji au k vant au konyagi au Pepsi ama maziwa mtindi au Serengeti lager au safar.
 
Back
Top Bottom