binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Msingi wa binadamu katika maisha

    Afya ni msingi wa kila binadamu katika maendeleo ya kila siku hvyo bas tunatakiwa kulilinda kwa nguvu zote. Lakini ni ngumu kuilinda kutokana na mazingira na maisha ya kila siku kwamaa vyakula tunavyokula na kadharika. VYAKULA vipo vyakula ambazo sio vzuri kula ila kwenye maisha yetu ya kila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna binadamu asiyekufa? Kwanini tusikitike wakati kifo ni lazima na ibada?

    samia_suluhu_hassan Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Malkia Elizabeth II. Kwa niaba ya Watanzania wote, natuma salamu za pole kwa Familia ya Kifalme na raia wote wa Uingereza. Malkia atakumbukwa duniani kote kama nguzo ya Amani, Umoja na Utulivu.
  3. JamiiForums Tanzania Ripoti: China ilifanya Uhalifu mkubwa dhidi ya Binadamu

    Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa Xinjiang. Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanaishutumu Beijing kwa dhuluma dhidi ya Wauyghur...
  4. JamiiForums Tanzania Saikolojia ya kujifunza kuhusu tabia za binadamu

    1. Ikiwa mtu amekukasirikia na ukatulia, anaweza kuwa na hasira zaidi. Lakini hatakuwa na jinsi zaidi ya kujionea aibu. 2. Ikiwa mtu anaendelea kuzungumza na huwezi kuingia kwenye mazungumzo,jifanye unaangusha kitu chini (ufunguo, kalamu, nk), jifanye unainama ili kukichukua na kuanza...
  5. JamiiForums Tanzania Binadamu wenye uthubutu duniani

    Kama ulidhani umemaliza kusikia kuhusu Binadamu wenye uthubutu duniani basi nikwambie hujaona kitu bado 😃, hii ni baada ya Watu watano kukamatwa na Polisi nchini India kwa tuhuma za kutengeneza kituo bandia cha Polisi na kuendesha shughuli zote za Jeshi la Polisi kwa miezi nane bila kugundulika...
  6. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi anaweza kushtakiwa kwa kosa la kuvunja haki za binadamu ikiwemo udhalilishaji

    Mange Kimambi anaweza kuishtakiwa kwa kuvunja haki za binadamu ikwemo udhalilishaji, ndio maana Instagram waliondoa account yake kwa kosa la kudhalilisha binadamu. Biashara ya kuuza video mtandaoni ni ngumu kwasababu Watumiaji wanaweza kuvujisha kwa kutumia simu nyingine kurekodi video hiyo...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya waitaka Uingereza kulipa Tsh. Tril 466 kama fidia ya Ukoloni

    Jopo la raia wa Kenya wamefungua kesi Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) dhidi ya serikali ya Uingereza wakiituhumu kwa unyanyasaji wa kikoloni Kati ya madai yaliyotajwa ni pamoja na wizi wa ardhi ambayo wamedai bado inatumiwa na makampuni ya chai, pia jopo hilo limeilaumu serikali ya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa bure wa haki za binadamu kama kazi haiwalipi acheni kuliko kufanya kazi kwa visirani kwa wateja wenu

    Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea! Wizara na serikali kwa ujumla! Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria! Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa! Wako too...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu jiwe la ajabu Bosnia na ukweli kuhusu kutengenezwa na binadamu au kutokana na mabadiliko ya Tabia nchi (asili)

    Mwanaakiolojia Sam Osmanagich maarufu kwa jina la “Bosnia indiana jones" alitamka kuwa jiwe la Bosnia ni jiwe la ajabu katika Bara la Ulaya , ambapo alieleza amefanya utafiti wa jiwe kwa miaka 15 , mwaka 2016 jiwe la Bosnia liligunduliwa katika. Jiwe hilo lina upana wa mita 3 ambapo...
  10. JamiiForums Tanzania Kuzima intaneti ni kuminya haki za binadamu

    Na Simon Mkina MARA zote serikali zenye kuongozwa na watawala dhalimu duniani, huzima mtandao wa intaneti kwa madai makubwa matano; kuimarisha usalama wa taifa, kulinda uchaguzi, kuepusha vurugu, kuzuia udanganyifu kwenye mitihani na kukwamisha kusambaa kwa taarifa za uzushi. Hata hivyo, madai...
  11. JamiiForums Tanzania Taasisi za haki za binadamu ziangalie vimaneno dhidi ya mchezaji mzungu kutoka Simba, Tanzania haijawahi kuwa na ubaguzi wa rangi

    Naona kama huyu ndugu hatendewi sawa, na ni kama vile inaelekea katika hali ya kubaguliwa na kinyanyaswa kwa rangi yake na asili yake. Taasisi za haki za binadamu zitoe angalizo kwa watanzania na wadau wote wa michezo ....waende nalo kwa tahadhari, na ikibidi, watakaoendelea, Tume ya haki za...
  12. JamiiForums Tanzania Fiston Mayele na Litombo Bangala walichomfanyia Inonga ni kumkosea Heshima na kukiuka haki za Binadamu, TFF iingilie kukomesha hii tabia

    Huu ni mpira inabidi uwe fair na haki za binadamu zizingatiwe na hata FIFA wanahimiza sana. Cha ajabu Klabu ya Yanga inajiona ipo juu ya sheria na kufanya kinyume, Inonga baada ya mechi alikuwa anawahi kwenda kutafuta sehemu ya mapumziko lakini ghafla mbele yake akazingirwa na wachezaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani yaonesha wasiwasi kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini Rwanda

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, ametoa wito kwa Rais Kagame kushughulikia Ulinzi wa Kisheria Nchini humo hasa usawa katika usikilizwaji wa Kesi akimrejelea Paul Rusesabagina, anayetumikia kifungo kwa tuhuma zinazodaiwa kuwa zenye msukumo wa kisiasa Paul Rusesabagina...
  14. JamiiForums Tanzania Nikiona binadamu anazikwa nachanganyikiwa mno

    Poleni sana na majukumu. Nikiona watu wanachimba kaburi then kumfukia binadamu mwenzangu navurugwa sana kichwani. Nafikiria mambo mengi mno... Mbaya zaidi azikwe mtu ambaye namfahamu. Nikienda makaburuni na kutizama namna udongo unavyotumeza, inasikitisha na kufikirisha mno. Maisha baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ujerumani yaisaidia Tanzania Euro mil 10 sawa na TSH Bil 23.7 kwa ajili ya Mradi wa kukabiliana na migongano kati ya wanyamapori na binadamu

    Serikali ya Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani zimetiliana saini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 10 sawa na shilingi bilioni 23.7 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa kukabiliana na migongano kati ya wanyamapori na binadamu, Mradi wa kuwezesha upatikanaji...
  16. JamiiForums Tanzania Ijue Tangawizi na faida zake katika mwili wa binadamu

    Tangawizi ni mzizi wa mmea wenye faida nyingi katika mwili wa binadamu, ambapo tafiti zinaonesha unaweza kusaidia mambo haya: Tafiti kadha wa kadha zimefanyika na zimeainisha yafuatayo juu ya matumizi ya tangawizi: 1. Huondoa sumu mwilini haraka sana 2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini...
  17. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uboreshaji wa Binadamu

    Miongoni mwa filamu zenye watazamaji wengi duniani ni zile ambazo huwa na wahusika ambao ni binadamu wenye uwezo wa ajabu kama vile; kupaa angani, kukimbia kwa kasi sana, kutoonekana, kuona mbali nakadhalika. Wahusika hawa ni kama Spiderman, Wonder woman, Captain America, Iron man, Batman, Black...
  18. JamiiForums Tanzania Julai 30: Siku ya Kimataifa ya Kupinga Biashara ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Usafirishaji Haramu wa Binadamu unatajwa kuwa janga linaloendelea kukua, hususan kwa Wanawake na Wasichana ambao ni wahanga wakubwa Mapigano, Mabadiliko ya Tabia Nchi, Umasikini na Ukosefu wa Usawa vimeacha Mamilioni ya watu bila matumaini. Wanaofanya Biashara hii haramu wanatumia changamoto...
  19. JamiiForums Tanzania Eti mtatumia mkaa wa kinyesi cha binadamu??

    Watu wajf je mtatumia mkaa wa vinyesi vya binadamu??
  20. 0

    JamiiForums Tanzania Fumbo la kuku

    Pamoja na udhalimu wote ambao kuku anafanyiwa na bidamau bado kuku hajawahi kuuwaza Uhuru wake..!! Sio kuku tu hata binadamu hajawahi kufikiria kumpatia kuku Uhuru wake ili akaishi mbali kwa amani pasi na hofu ya kisu chake..! Kwa hifadhi ya mabanda machakavu pamoja na shibe ya masalia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…